Usije ukasema hukuambiwa

Usije ukasema hukuambiwa

Kuoa last born haijawahi kua suluhisho la matatizo africa labda tuache uafrika kwandza.......
Mafrst born wengi hawajafanikiwa hiyo makaka na madada wengi unakuta ni msaada zaidi kwa wakubwa wake...
Mungu alipokea sadaka ya Abely lkn hakuikubali ya Cain, hali kadhalika DAUDI alichaguliwa kua kiongozi/m,falme akiwaacha kaka zake watano na ndugu wengine wa kike......MIFANO IPO MINGI HATA MIMI NI MFANO HALISI

Uongozi kwenye familia kwenye jamii ni mipango ya Mungu iliyo hayo yote yatukuzwe katika yeye
 
Hivi ndivyo niaminivyo ; Suala la kuoa na kuolewa halina Universal law kama mwongozo .Yaani ni Utashi wa wanandoa wenyewe
 
Back
Top Bottom