Usijaribu kununua gari ya mwanamke, utajuta

Habari wakuu, huu Uzi ni maalum kwa ndg zangu wote ambayo pengine mnatarajia kukunua gari kwa mtu (yaani gari iliyotumika bongo)

Madalali wamekuwa na tabia ya kuzisifia sana gari ambazo zimekuwa zikimilikiwa na wanawake, utaskia hii ni gari ya mdada iwai chap.

Wengi wanaamini gari ambayo imaendeshwa na mwanamke pengine inaweza kuwa ni nzuri yaani nzima, haijatumika vibaya.

Ukweli ni kwamba wanawake hawajui kutunza magari, wanajua kuendesha kwa tahadhari, lakini hawawezi kuitunza gari, yaani kuzingatia service.

Nimewahi kununua gari kwa mwanamke (nilijuta sana) kwa mwonekano ilikuwa nzuri lakini hakuwa akizingatia service (gari ilikuwa mbovu mbovu tuu).

Nina jamaa yangu ambae wiki iliyopita amenunua gari kwa mwanamke, kwasasa jamaa unaweza kusema ni mgonjwa (gari ipo inampasua kichwa mno )

Kama hutaki stress basi nakushauri ukiskia hii ni gari ya mdada basi nenda na jopo la mafundi kwenye ukaguzi..

NB: Wadada hawajui kutunza magari
Mara nyingi uwezo wetu Wabongo ni kuagiza gari used toka nje ya nchi hasa Japan. Ikishatumika Bongo hiyo ni used squared. Haijalishi ya Me au Ke. Wengine wanadai nunua ya Mhindi. Agiza nje tu.
 
Nilinunua mwaka juzi kwa mwanamke, kilichonikuta ni hatari, nimeliuza mwaka jana..gari zuri kwa nje, km chache..ndani limeoza kabisa.Nilidanganywa kisa ni la mama litakuwa vizuri....Nilikoma
 
kwanini watu wanasema ukinunua gari ya mwanamke lazima itakuwa na kilometer chache? ina maana wanawake hawana mizunguko sana tofauti na wanaume?
 
Habari wakuu, huu Uzi ni maalum kwa ndg zangu wote ambayo pengine mnatarajia kukunua gari kwa mtu (yaani gari iliyotumika bongo)

Madalali wamekuwa na tabia ya kuzisifia sana gari ambazo zimekuwa zikimilikiwa na wanawake, utaskia hii ni gari ya mdada iwai chap.

Wengi wanaamini gari ambayo imaendeshwa na mwanamke pengine inaweza kuwa ni nzuri yaani nzima, haijatumika vibaya.

Ukweli ni kwamba wanawake hawajui kutunza magari, wanajua kuendesha kwa tahadhari, lakini hawawezi kuitunza gari, yaani kuzingatia service.

Nimewahi kununua gari kwa mwanamke (nilijuta sana) kwa mwonekano ilikuwa nzuri lakini hakuwa akizingatia service (gari ilikuwa mbovu mbovu tuu).

Nina jamaa yangu ambae wiki iliyopita amenunua gari kwa mwanamke, kwasasa jamaa unaweza kusema ni mgonjwa (gari ipo inampasua kichwa mno )

Kama hutaki stress basi nakushauri ukiskia hii ni gari ya mdada basi nenda na jopo la mafundi kwenye ukaguzi..

NB: Wadada hawajui kutunza magari
ukweli mtupu mkuu... wao ikishawaka ni kuweka D na kusepa...
 
Ukitaka kununua gari unatakiwa uikague na kujua hali yake. Hata siku moja usifuate maneno unayoambiwa na dalali au mmiliki.
 
Back
Top Bottom