Usijaribu kununua gari ya mwanamke, utajuta

Gari ununue kwa wahíndi wale wanakaa down town bwana. Nimewahi nunua gari mbili kwa wahindi. Moja huyo mhindi alikuwa anasema ya mtoto wake mdogo. Kazi ilikuwa ni kumpeleka na kunfuata shule.
Ya pili nilininua kwa mhindi alikuwa anaitumia mwenye anatoka nayo kwake anaenda dukani yan hata haina shughi nyingi.
Bora kununua gari inayotembea highway kila siku kuliko gari inayoendeshwa kwa umbali mfupi daily.
 
Hili suala la kuwasha gari tu asubuhi na kuondoka bila kuangalia maji wala tairi zina upepo hapo miezi inaenda bila servive hata wale wanaume ambao ndo wamemiliki gari kwa mara ya kwanza aisee ni shida kubwa sanaa....!! ukinunua gari soft ni majangaa... ila ukishaendesha miezi kadhaa kidogo kujitambua kunakuja... mimi nilikuwa naendesha gari sina maji hata litre moja kwenye buti...service nilifanya miezi imeenda balaaa.
 
Mafundi ni tamaa zao tu, fundi anapaswa kukushauri siyo kuangalia pesa, hata ukibadiri engine bado atapata pesa.

Verhaul ni Kwa magari kama Land cruiser engine used million 20 au heavy duty truck kama hi Scania.

Anayekununulisha spair Kwa gari ndogo ufanye overhaul ni mshenzi tu wakati engine zipo Kwa 1 million tu.
Na vile wanajua wanawake hatujui kitu wanatuonea sana
 
Habari wakuu, huu Uzi ni maalum kwa ndg zangu wote ambayo pengine mnatarajia kukunua gari kwa mtu (yaani gari iliyotumika bongo)

Madalali wamekuwa na tabia ya kuzisifia sana gari ambazo zimekuwa zikimilikiwa na wanawake, utaskia hii ni gari ya mdada iwai chap.

Wengi wanaamini gari ambayo imaendeshwa na mwanamke pengine inaweza kuwa ni nzuri yaani nzima, haijatumika vibaya.

Ukweli ni kwamba wanawake hawajui kutunza magari, wanajua kuendesha kwa tahadhari, lakini hawawezi kuitunza gari, yaani kuzingatia service.

Nimewahi kununua gari kwa mwanamke (nilijuta sana) kwa mwonekano ilikuwa nzuri lakini hakuwa akizingatia service (gari ilikuwa mbovu mbovu tuu).

Nina jamaa yangu ambae wiki iliyopita amenunua gari kwa mwanamke, kwasasa jamaa unaweza kusema ni mgonjwa (gari ipo inampasua kichwa mno )

Kama hutaki stress basi nakushauri ukiskia hii ni gari ya mdada basi nenda na jopo la mafundi kwenye ukaguzi..

NB: Wadada hawajui kutunza magari
Ilinitokea na mimi hiyo.

Najuta haswaa
 
Mwenzio kuna siku gari ikanizimia ghafla njian nikampigia fund nikidhan ni ishu ndogo arekebishe nisepe. Fundi kuja anasema engine inabid ifanyiwe overhaul sijui cyllinder head sijui kitu gan kimepinda sijui kisa sikuwa nacheki maji wala oil.Mimi ni kutia funguo na kusepa😂 Hannah
Heheheee au ndo wewe nimenunua gari kwako....maana kuna gari imekufa injini nimeuziwa kwa bei chee ila sijaifuata bado ipo mkoa. Aloniuzia ni Mr wako (kama ni wewe kweli)
 
Hili suala la kuwasha gari tu asubuhi na kuondoka bila kuangalia maji wala tairi zina upepo hapo miezi inaenda bila servive hata wale wanaume ambao ndo wamemiliki gari kwa mara ya kwanza aisee ni shida kubwa sanaa....!! ukinunua gari soft ni majangaa... ila ukishaendesha miezi kadhaa kidogo kujitambua kunakuja... mimi nilikuwa naendesha gari sina maji hata litre moja kwenye buti...service nilifanya miezi imeenda balaaa.
Hii nilifanyaga pindi nimeanza kazi miaka hiyo nikanunua Toyota Exiv ya mfanyakazi mwenzangu. Kabla sijajua hata kuendesha vizuri nikahamishwa kwenda mkoa mwingine. Wenzangu wakanishauri nitafute driver, basi mi Uroho wa kuendesha gari nikaikanyaga wakati sijui hata kufungua boneti. Njiani nilikua nakoswakoswa na buses na malori balaa. Mpaka leo najiulizaga ilikuaje nikafanya ule upumbav.. Uzuri gari haikuaga na tatizo,ila nilivyoanza kuyajua magari nikawaga najiona mpuuzi sana kupiga ile safari na sijui chochote zaidi ya kukaa kwenye usukani na kukanyaga
 
Heheheee au ndo wewe nimenunua gari kwako....maana kuna gari imekufa injini nimeuziwa kwa bei chee ila sijaifuata bado ipo mkoa. Aloniuzia ni Mr wako (kama ni wewe kweli)
Sio mimi mkuu
 
Kuna gari used Kwa mtanzania mwenzio ni kujitafutia stress kama una Hela agiza nje tu
 
Habari wakuu, huu Uzi ni maalum kwa ndg zangu wote ambayo pengine mnatarajia kukunua gari kwa mtu (yaani gari iliyotumika bongo)

Madalali wamekuwa na tabia ya kuzisifia sana gari ambazo zimekuwa zikimilikiwa na wanawake, utaskia hii ni gari ya mdada iwai chap.

Wengi wanaamini gari ambayo imaendeshwa na mwanamke pengine inaweza kuwa ni nzuri yaani nzima, haijatumika vibaya.

Ukweli ni kwamba wanawake hawajui kutunza magari, wanajua kuendesha kwa tahadhari, lakini hawawezi kuitunza gari, yaani kuzingatia service.

Nimewahi kununua gari kwa mwanamke (nilijuta sana) kwa mwonekano ilikuwa nzuri lakini hakuwa akizingatia service (gari ilikuwa mbovu mbovu tuu).

Nina jamaa yangu ambae wiki iliyopita amenunua gari kwa mwanamke, kwasasa jamaa unaweza kusema ni mgonjwa (gari ipo inampasua kichwa mno )

Kama hutaki stress basi nakushauri ukiskia hii ni gari ya mdada basi nenda na jopo la mafundi kwenye ukaguzi..

NB: Wadada hawajui kutunza magari
Nunua gari za Serikali, zinatunzwa vizuri hasa za idara, wakala, wizara sio Halmashauri
 
Mwenzio kuna siku gari ikanizimia ghafla njian nikampigia fund nikidhan ni ishu ndogo arekebishe nisepe. Fundi kuja anasema engine inabid ifanyiwe overhaul sijui cyllinder head sijui kitu gan kimepinda sijui kisa sikuwa nacheki maji wala oil.Mimi ni kutia funguo na kusepa[emoji23] Hannah

Uzembe na kutozingatia matunzo! Service isiyozidi laki 2 imekukost zaidi ya Mil
 
Mwenzio kuna siku gari ikanizimia ghafla njian nikampigia fund nikidhan ni ishu ndogo arekebishe nisepe. Fundi kuja anasema engine inabid ifanyiwe overhaul sijui cyllinder head sijui kitu gan kimepinda sijui kisa sikuwa nacheki maji wala oil.Mimi ni kutia funguo na kusepa😂 Hannah
Ndio zenu maji na oil hamnaga habari navyo
 
Back
Top Bottom