Usijaribu kununua gari ya mwanamke, utajuta

Habari wakuu, huu Uzi ni maalum kwa ndg zangu wote ambayo pengine munatarajia kukunua gari kwa mtu (yaani gari iliyo tumika bongo)

Madalali wamekuwa na tabia ya kuzisifia sana gari ambazo zimekuwa zikimilikiwa na wanawake, utaskia hii ni gari ya mdada iwai chap.

Wengi wanaamini gari ambayo imaendeshwa na mwanamke pengine inaweza kuwa ni nzuri yaani nzima, haijatumika vibaya.

Ukweli ni kwamba wanawake hawajui kutunza magari, wanajua kuendesha kwa taadhari, lakini hawawezi kuitunza gari, yaani kuzingatia service

Nimewahi kununua gari kwa mwanamke (nilijuta sana) kwa mwonekano ilikuwa nzuri lakini hakuwa akizingatia service (gari ilikuwa mbovu mbovu tuu).

Nina jamaa yangu ambae wiki iliyo pita amenunua gari kwa mwanamke, kwasasa jamaa unaweza kusema ni mgonjwa (gari ipo inampasua kichwa mno )

Kama hutaki stress basi nakushauri ukiskia hii ni gari ya mdada basi nenda na jopo la mafundi kwenye ukaguzi..

NB Wadada hawajui kutunza magari
Gari ununue kwa wahíndi wale wanakaa down town bwana. Nimewahi nunua gari mbili kwa wahindi. Moja huyo mhindi alikuwa anasema ya mtoto wake mdogo. Kazi ilikuwa ni kumpeleka na kunfuata shule.
Ya pili nilininua kwa mhindi alikuwa anaitumia mwenye anatoka nayo kwake anaenda dukani yan hata haina shughi nyingi.
 
Mwenzio kuna siku gari ikanizimia ghafla njian nikampigia fund nikidhan ni ishu ndogo arekebishe nisepe. Fundi kuja anasema engine inabid ifanyiwe overhaul sijui cyllinder head sijui kitu gan kimepinda sijui kisa sikuwa nacheki maji wala oil.Mimi ni kutia funguo na kusepa😂 Hannah
Pole dear, maji uwe unakagua hasa kama una masafa marefu na oil pia.
Ila sisi wenye visafari vya hapa hapa town maji hata sio issue labda mfumo wa gari iwe mbovu
 
Habari wakuu, huu Uzi ni maalum kwa ndg zangu wote ambayo pengine munatarajia kukunua gari kwa mtu (yaani gari iliyo tumika bongo)

Madalali wamekuwa na tabia ya kuzisifia sana gari ambazo zimekuwa zikimilikiwa na wanawake, utaskia hii ni gari ya mdada iwai chap.

Wengi wanaamini gari ambayo imaendeshwa na mwanamke pengine inaweza kuwa ni nzuri yaani nzima, haijatumika vibaya.

Ukweli ni kwamba wanawake hawajui kutunza magari, wanajua kuendesha kwa taadhari, lakini hawawezi kuitunza gari, yaani kuzingatia service

Nimewahi kununua gari kwa mwanamke (nilijuta sana) kwa mwonekano ilikuwa nzuri lakini hakuwa akizingatia service (gari ilikuwa mbovu mbovu tuu).

Nina jamaa yangu ambae wiki iliyo pita amenunua gari kwa mwanamke, kwasasa jamaa unaweza kusema ni mgonjwa (gari ipo inampasua kichwa mno )

Kama hutaki stress basi nakushauri ukiskia hii ni gari ya mdada basi nenda na jopo la mafundi kwenye ukaguzi..

NB Wadada hawajui kutunza magari
na pia wakti unanunua kiwanja au shamba,hakikisha haupakani na mwanamke ni watata wa kusogeza mipaka na kesi mara kwa mara!!
 
Habari wakuu, huu Uzi ni maalum kwa ndg zangu wote ambayo pengine munatarajia kukunua gari kwa mtu (yaani gari iliyo tumika bongo)

Madalali wamekuwa na tabia ya kuzisifia sana gari ambazo zimekuwa zikimilikiwa na wanawake, utaskia hii ni gari ya mdada iwai chap.

Wengi wanaamini gari ambayo imaendeshwa na mwanamke pengine inaweza kuwa ni nzuri yaani nzima, haijatumika vibaya.

Ukweli ni kwamba wanawake hawajui kutunza magari, wanajua kuendesha kwa taadhari, lakini hawawezi kuitunza gari, yaani kuzingatia service

Nimewahi kununua gari kwa mwanamke (nilijuta sana) kwa mwonekano ilikuwa nzuri lakini hakuwa akizingatia service (gari ilikuwa mbovu mbovu tuu).

Nina jamaa yangu ambae wiki iliyo pita amenunua gari kwa mwanamke, kwasasa jamaa unaweza kusema ni mgonjwa (gari ipo inampasua kichwa mno )

Kama hutaki stress basi nakushauri ukiskia hii ni gari ya mdada basi nenda na jopo la mafundi kwenye ukaguzi..

NB Wadada hawajui kutunza magari
[emoji2] Ungesema tu tusinunue gari kwa mtu bila kuhakiki ubora wake sijaona haja ya kuchomeka "ya mwanamke"
 
Pole dear, maji uwe unakagua hasa kama una masafa marefu na oil pia.
Ila sisi wenye visafari vya hapa hapa town maji hata sio issue labda mfumo wa gari iwe mbovu
Thanks ila hiyo ni muda sasa hivi niko makini kidogo
 
Habari wakuu, huu Uzi ni maalum kwa ndg zangu wote ambayo pengine munatarajia kukunua gari kwa mtu (yaani gari iliyo tumika bongo)

Madalali wamekuwa na tabia ya kuzisifia sana gari ambazo zimekuwa zikimilikiwa na wanawake, utaskia hii ni gari ya mdada iwai chap.

Wengi wanaamini gari ambayo imaendeshwa na mwanamke pengine inaweza kuwa ni nzuri yaani nzima, haijatumika vibaya.

Ukweli ni kwamba wanawake hawajui kutunza magari, wanajua kuendesha kwa taadhari, lakini hawawezi kuitunza gari, yaani kuzingatia service

Nimewahi kununua gari kwa mwanamke (nilijuta sana) kwa mwonekano ilikuwa nzuri lakini hakuwa akizingatia service (gari ilikuwa mbovu mbovu tuu).

Nina jamaa yangu ambae wiki iliyo pita amenunua gari kwa mwanamke, kwasasa jamaa unaweza kusema ni mgonjwa (gari ipo inampasua kichwa mno )

Kama hutaki stress basi nakushauri ukiskia hii ni gari ya mdada basi nenda na jopo la mafundi kwenye ukaguzi..

NB Wadada hawajui kutunza magari
Wanawake hawajui kutunza vingi tu
 
Ninakerwa sana na maskini wanaolazimisha mambo kwenye maisha. Mtoa mada na huyo rafiki yako ni maskini mnaolazimisha mambo. Jipange agiza gari Japan sio kulialia. Hakuna baba yako hapa acha kutulilia.
 
Mwenzio kuna siku gari ikanizimia ghafla njian nikampigia fund nikidhan ni ishu ndogo arekebishe nisepe. Fundi kuja anasema engine inabid ifanyiwe overhaul sijui cyllinder head sijui kitu gan kimepinda sijui kisa sikuwa nacheki maji wala oil.Mimi ni kutia funguo na kusepa😂 Hannah
Sishauri mtu kufanya overhaul engine Kwa hizi gari ndogo, best option ni kununuwa engine nyingine used Kwa watu wa Dar mtaa wa Lindi tena Waarabu na Wapemba ni waaminifu sana kwenye biashara hii ya engine used unapata engine nyingine bomba kuliko uliyokuwa unatumia.
 
Okay.

Mimi walifanya,wakapiga pasi hiyo cyllinder head na vikombe sijui vikorokoro gani vikarekebishwa ila tokea ilivyofanyiwa overhaul nikawa siielewi elewi nikaiuzaga.
 
Mwenzio kuna siku gari ikanizimia ghafla njian nikampigia fund nikidhan ni ishu ndogo arekebishe nisepe. Fundi kuja anasema engine inabid ifanyiwe overhaul sijui cyllinder head sijui kitu gan kimepinda sijui kisa sikuwa nacheki maji wala oil.Mimi ni kutia funguo na kusepa😂 Hannah
Wanaita umeikaanga dah
 
Okay.

Mimi walifanya,wakapiga pasi hiyo cyllinder head na vikombe sijui vikorokoro gani vikarekebishwa ila tokea ilivyofanyiwa overhaul nikawa siielewi elewi nikaiuzaga.
Mafundi ni tamaa zao tu, fundi anapaswa kukushauri siyo kuangalia pesa, hata ukibadiri engine bado atapata pesa.

Verhaul ni Kwa magari kama Land cruiser engine used million 20 au heavy duty truck kama hi Scania.

Anayekununulisha spair Kwa gari ndogo ufanye overhaul ni mshenzi tu wakati engine zipo Kwa 1 million tu.
 
Kama kuna ka ukweli hivi ndani yake. Halafu wengi hawana kabisa uelewa kuhusu service ya gari. Yaani wanachojua wenyewe ni kuendesha tu gari kutoka point moja kwenda nyingine.

Gari ikifikia muda wa kuipeleka service, utakuta wanatoa tu fedha kwa ajili ya service! Huku baadhi ya mafundi wasio waaminifu wakifanya service ya bora liende. Kimsingi ni tofauti kabisa na sisi wanaume, ambao wengi huwa tunakaba mpaka penati kwenye service ya gari.
 
Back
Top Bottom