Perception ya watawavilikuwa ni Binti kupata ndoa ya Kikatoliki lakini wanasahau kuwa katika jamii ile anayoishi yeye ni mmanga katikati ya wamatumbiNi haki yake kufanya alichofanya!
Watawa hawapaswi kulalamika, unless kama kulikuwa na agreement (jambo ambalo ni gumu as walimchukua akiwa minor), sheria inampa favor minor.
Lakiniii, kama namfahamu ngoja nilalale tena niote nimkumbuke
Ukweli mchungu, aka ngumu kumeza, hawana namna! Na wasimtenge kiutu labda ajitenge (usihukumu usije ukahukumiwa)Sidhani Ila daraja alilovuka kwenda upande wa pili ni sawa na maji na mafuta
Loo! Hapo sasa!Hii ndiyo familia pekee anayoijua Bunti na watawa wanajitafakari kwenda kwenye harusi ya Kiislamu
Wewe je?Unaendelea au utarudi kumalizia baada ya daku?
Hahahh mate bana stori imenikumbusha maisha ya milimani kuleee usambaani tulikuwa nao wengi ujue wengi walikuja kuacha katoliki wakaendelea na maisha.Hii ndiyo familia pekee anayoijua Bunti na watawa wanajitafakari kwenda kwenye harusi ya Kiislamu
ahahahahahahaSitaki kumtaja kwa jina hapa nitamwakilisha kwenu kama binti. Binti alizaliwa katika familia ya Magoa. Sielewi kilichotokea lakini akiwa na umri wa miaka miwili aliachwa kwa watawa wa kanisa Katoliki akiwa yatima.
Mapenzi, malezi na elimu aliyopewa pale yalimuendeleza mpaka kuhitimu chuo cha ualimu. Alipangiwa shule ya kufundisha na watawa walimpatia pesa kidogo na mahitaji muhimu ya kuanza maisha.
Katika kile kituo cha kazi Binti amekutana na kijana wa Kiarabu kutoka katika familia yenye kuendesha shughuli nyingi za biashara katika sehemu ile. Kipingamizi kilichoko jwa Binti kutokuolewa na Mwarabu ni dini. Ameamua kuslimu watawa wamebaki wanyonge mtoto waliyemlea amekataa wokovu wa Yesu.
Ninakumbuka walikuwa wengi masikini walikuwa wanatamani kuja Dar shule zikifungwa. Watawa wamesaidia sana jamiiHahahh mate bana stori imenikumbusha maisha ya milimani kuleee usambaani tulikuwa nao wengi ujue wengi walikuja kuacha katoliki wakaendelea na maisha.
Watawa wasiwe na mioyo migumu wamwachilie Mungu wetu ni mmoja tunatofautiana lugha na makandokando mengine. Wanaweza wasiende kwenye shughuli lakini wampe baraka zao akaanze maisha.