Chassarsenal
Member
- Apr 14, 2012
- 91
- 3
Ulizaliwa sokoni ukafunikwa na maganda ya kabeji
nini wewe domo ka bikini ya mbu
unapenda mtoko kama jk....
Siku zote jitahidini kufuata instruction....... wewe uliyefungua thred hiii
" Mashavu ka sidiria!!!!"
umezoea kuedesha bodaboda mpaka ukiwa kwenye gari ukifikia kona unatoa mguu njee
nini wewe ulimi ka mwiko wa mama ntilie