Kabila ambalo limebaki bila scandal ni Wasukuma tu. Ngoja niende Shinyanga.
Angalizo tunaposema wanawake ni shida lazima na sisi tujitathmin vilivo, mkuu siku hz asilimia kubwa ya wanawake ni shida tupu ukienda moshi, mwanga, makanya kule hadi ndungu uende babati ukienda bukoba njoo hyo singida panda mbeya , iringa, songea kwa wamatengo na wangoni hapa dar ndo kabisa hata meatu na bariadi yani kila eneo nimepita lkn hawakatai kabsa japo sio wote cjui kwa nini
mimi nadhani walio keketwa hawana stimulated!!!
kenyewe kanafundisha shule moja ipo mbagala
Duh wazigua wanatabia gani mdau? nina mchumba wa kizigua asee embu saidia kwa hili.Ooooh! mama yangu unajidanganya mkuu kama unataka kuoa msukuma nenda mwanza. Wanyantuzu wana sifa za kifedhuri baraaa!
Usishangae ipo siku atakuachia kichanga/watoto ndani na yeye kutoloshwa. Wanazuzuka na hela hao na niwepesi kurubuniwa kwasababu ya ushamba wao.
Mimi ni asili yangu huko na kama unataka kuelezewa vijitabia vya dadazetu kanda ya ziwa basi kwangu umefika.
Kwa taarifa tu ni kwamba wajita na wakerewe tabia zao hazipishani na wazigua!
Habarini za usiku wanajf,,kwa kweli nimefika hapa kuwahabarisha wanaume wenzangu,,katika maisha yetu tusifikirie kuoa msichana wa kirangi maana hata umpe kila kitu na umgegede vipi mwisho wa siku atakusaliti tu,,tena siyo na mtu mmoja,,ukiweza tu kuingia nae chumbani msichana wa kirangi basi umeshamgegeda labda ushindwe wewe,,yamenikuta jamani,,sitaki yamkute mwanaume mwenzangu maana kugongewa inauma sana,,,
kwa hiyo waolewe na nani sasa mkuu
mimi nadhani tabia sio kabila bali ni mtu hivo kusema warangi si wa kuoa umefanya collective liability ambapo ukifanya hata utafiti bado utaona kuwa si kweli ulichosema
ila pole kwa kutendwa mkuu
Habarini za usiku wanajf,,kwa kweli nimefika hapa kuwahabarisha wanaume wenzangu,,katika maisha yetu tusifikirie kuoa msichana wa kirangi maana hata umpe kila kitu na umgegede vipi mwisho wa siku atakusaliti tu,,tena siyo na mtu mmoja,,ukiweza tu kuingia nae chumbani msichana wa kirangi basi umeshamgegeda labda ushindwe wewe,,yamenikuta jamani,,sitaki yamkute mwanaume mwenzangu maana kugongewa inauma sana,,,
mkuu mm nimetoa tahadhari na maneno yangu siyo sheria,,ila sitaki kuona mwanaume mwenzangu anagongewa mke,,bora mm nimegongewa mpenzi tu,,,cha ajabu kuna mwanajamii forum humu humu tumeshare nae
Ukitaka kuowa oa mmakonde utulie
Habarini za usiku wanajf,,kwa kweli nimefika hapa kuwahabarisha wanaume wenzangu,,katika maisha yetu tusifikirie kuoa msichana wa kirangi maana hata umpe kila kitu na umgegede vipi mwisho wa siku atakusaliti tu,,tena siyo na mtu mmoja,,ukiweza tu kuingia nae chumbani msichana wa kirangi basi umeshamgegeda labda ushindwe wewe,,yamenikuta jamani,,sitaki yamkute mwanaume mwenzangu maana kugongewa inauma sana,,,
mmh.sasa sijui nivuke boda nikajaribu kwa nchi jirani maana kila napogusa naambiwa nimekosea.