Okrap
JF-Expert Member
- Jul 13, 2022
- 1,112
- 2,315
Ni wakati wa kubadilika sasa kutoka kwa hasi hadi kuwa chanya. Jitahidi uwe mwema kwa wengine. Jipende kwa ukubwa wowote.
Ikiwa una uwezo wa kupenda, jipende mwenyewe kwanza.
Usimuendekeze mwanaume, mwanaume hakupendi ukiwa mchafu, anakupenda ukiwa uko smart.
Cha ajabu wanapenda wanawake wazuri na smart lakini kuhudumia hawawezi kabisa!
Wanaume wasikuizi ni wa ovyo sana!