Usichukulie poa suala la uchumba, itakugharimu

Mpaka hapa mleta uzi umefeli kwenye tasnia ya kupenda.
Upendo halisi ni pale unapompenda mtu kutokana na mapungufu yake.

Pili haya mambo ya kuchunguzana yalikuwa ya zamani sio leo.

Tuchukulie leo, unakuta wachumba wanatoa nchi tofauti. Familia Nazi ziko nchi tofauti; hivvi hapo utaweza kufanya uchunguzi kweli?
 
Baada ya Corona itabidi Mabaharia na Mabachela tukutane kikao cha Kamati kuu.

Agenda
1. Kila aliyefikia umri wa kuoa, usikose kwenye kikao.
2.
3.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mpaka hapa mleta uzi umefeli kwenye tasnia ya kupenda.
Upendo halisi ni pale unapompenda mtu kutokana na mapungufu yake.

Pili haya mambo ya kuchunguzana yalikuwa ya zamani sio leo.

Tuchukulie leo, unakuta wachumba wanatoa nchi tofauti. Familia Nazi ziko nchi tofauti; hivvi hapo utaweza kufanya uchunguzi kweli?

Ni busara kwa mwanaume makini kufanya uchunguzi wa kutosha na kujiridhisha kabla ya kuingia kwenye ndoa.

Sioni sababu ya kufanya haraka kwenye maamuzi ambayo utaishi nayo maisha yako yote.

Ebu fikiria kuna wanawake wanatokea kwenye familia zenye hereditary diseases, I am sure you don't want to pass that to your off springs.
 
" Ukitaka kumla bata, usimchunguze" safi kabisa ata usimnuse we kula tu

Leo nimeachana na demu wawili kila mtu na kisa tofaut,
 
Mpaka hapa mleta uzi umefeli kwenye tasnia ya kupenda.
Upendo halisi ni pale unapompenda mtu kutokana na mapungufu yake.

Pili haya mambo ya kuchunguzana yalikuwa ya zamani sio leo.

Tuchukulie leo, unakuta wachumba wanatoa nchi tofauti. Familia Nazi ziko nchi tofauti; hivvi hapo utaweza kufanya uchunguzi kweli?
Unajua upendo unaouzungumzia ni tofauti na maana halisi ya ndoa.

Hata zamani za kale...kijana alichaguliwa Binti kulingana na historia ya familia husika.

Sizungumzii upendo hapa, nazungumzia ndoa. Asante.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ni busara kwa mwanaume makini kufanya uchunguzi wa kutosha na kujiridhisha kabla ya kuingia kwenye ndoa.

Sioni sababu ya kufanya haraka kwenye maamuzi ambayo utaishi nayo maisha yako yote.

Ebu fikiria kuna wanawake wanatokea kwenye familia zenye hereditary diseases, I am sure you don't want to pass that to your off springs.
Uko sawa mkuu...ila mi nimejikita kwenye tabia hasahasa...issue ya magonjwa ya kurithi hiyo yaweza vumilika as long as unaweza kumudu kwa kufuata ushauri wa wataalam wa afya.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom