Usicheze na Mwanamke akiamua ameamua

Dada Khantwe naomba nisaidie yani moyo unaniuma hatari nikimkumbuka
Hivi leo asubuhi nimemkumbuka nimempigia simu imeita weeee bila kupokelewa.. nikaamua kumtumia text.."I hope you're fine, nilitaka kukusalimia tu" nayo pia kimyaaa hahaha daaah wakati zamani nikimpigia tu anapokea au akikutaga text alikuwa ni lazima anitafute
Daah...nimeanza kuwaheshimu from now
Unakuwa na mtu unamuheshimu hata utongozwe vipi unamfikiria yeye haukubali, ukimpigia simu sasa kupokea kwa shida mara asipokee anakuta miss cal zako hapigi sms hajibu watsap anasoma baada ya wiki na hajibu unajiuliza huyu mtu ananiona boya? Ukimwambia mbona upo hivyo mawasiliano hamna majibu sasa unanifikiria vibaya na ugomvi inafika mahali hautaki hata kumuona
 
Unakuwa na mtu unamuheshimu hata utongozwe vipi unamfikiria yeye haukubali, ukimpigia simu sasa kupokea kwa shida mara asipokee anakuta miss cal zako hapigi sms hajibu watsap anasoma baada ya wiki na hajibu unajiuliza huyu mtu ananiona boya? Ukimwambia mbona upo hivyo mawasiliano hamna majibu sasa unanifikiria vibaya na ugomvi inafika mahali hautaki hata kumuona
Kwakweli. Duh.
 
Aisee pole sana, kikubwa kwenye mahusiano ni communication , wanaume wengi mnafeli apo, yaani unampigia mtu hajibu huwa inafika point tunachoka sisi pia tuna thamani,
Ni kweli ulisemalo mpendwa.
Nilimpuuzia sana sikujua kama alichukua nafasi kubwa sana kwenye moyo wangu
 
Daah.....
Tena akanitamkia kabisa nimeshampata mwengine ww naona uko bize tu na kutafuta pesaa hahaha nilifkiri masihara ujue
Ungekuwa busy na yeye huku hauna muda wa kutafuta pesa na maisha yako yangekuwa duni angekuona haufai vilevile.
Mizani kati ya kutafuta maisha bora na kutumia muda wako kwenye mapenzi ni ngumu sana kuielewa kutoka kwa moyo wa mwanamke.
Wanawake wenyewe bado hawana uhakika wachague kipi kati ya hivyo viwili. Kuvichagua vyote kwa usawa haiwezekani mkuu.
 
Wanawake wote mwalimu wao ni mmoja, anyway mi yashanikuta na imepita miezi ananitangazia anaolewa mi nambembeleza ila kweli nishampotezea huyu mwanamke nilimcheat ila niliogopa kumwambia ukweli akaja kujua after 4year kutoka kwa m2 ile deep love yote kaivunja kama kioo dadeki
 
Habari wakuu

Twende kwenye mada.

Kama ww ni me uko na mpenzi wako na anaonyesha mapenzi yote kwako, anakujali, anakupenda yaani ile kwelikweli..., nakusisitiza rudisha upendo kwake na muoneshe kumjali kama anavyokujali.

Mwanamke anaweza akawa anakutumia text hauzijibu, anakupigia unapuuzia kupokea na pengine huoneshi upendo kwake, unajali kazi tu na kutafuta pesa, my dear huyo mwanamke siku akija kubadilika akaamua kutazama pembeni ndugu yangu huwa ni ngumu sana kumfanya arejee... it is very hard thing.

Mwanamke akiamua kupenda anawekeza kila kitu, hisia, maisha yake na cha muhimu kingine anachowekeza ni muda wake pia..., ni vizuri kama una malengo nae ukamuonesha upendo pia.

Daah inauma..

Yaani nilikuwa najifanya niko bize na kazi, simu zako sipokei si asubuhi, sio mchana usiku ndo kabisaa nakuwa nimechoka balaa nikifika home naishia kulala hoiiiii... ila sijilaumu ni nature ya kazi yangu. asubuhi nakuta ulinitafuta jana yake daah naishia kukupigia tunaongea dk 2 then napotea daaaah siamini kumbe ndo nilikuwa nakupoteza.

Nilijiamini kwamba hutoweza kuniacha kwa jinsi nilivyokuwa nakujali, niliamini vile vizawadi nilivyokuwa nakuletea siku mojamoja visingekufanya ubadili mawazo...

Ilianza kama utani inapita siku mbili mara tatu mara wiki bila kunitafuta mmh nafsi ikaguna maana nilizoea kuona missed calls zako. Yaani siamini leo hii mm ndo nakutafuta hata simu yangu hupokei daah hata text hujibu duuh.

Sasa ndo nimeelewa communication ni kiungo muhimu sana kwenye relationship.

Leo yapata miezi miwili ndo nimeamini rasmi umeniacha duh.

Wakuu mapenzi sio pesa namaanisha mapenzi ya kweli sio pesa, ukiwa na mwanamke anaekupenda kweli pesa inakuwa haina thamani yoyote.
Bado haujakuwa wewe!kuna wanawake wanaigiza kwenye mapenzi zaidi ya tamthilia za kihindi
 
Wanawake wote mwalimu wao ni mmoja, anyway mi yashanikuta na imepita miezi ananitangazia anaolewa mi nambembeleza ila kweli nishampotezea huyu mwanamke nilimcheat ila niliogopa kumwambia ukweli akaja kujua after 4year kutoka kwa m2 ile deep love yote kaivunja kama kioo dadeki
Kumbe wewe ndo ulianza kuaribu kazi Aiseee noma sana sema ukichokwa sababu ya kusamehewa inakuwa ndo sababu kubwa ya Kuachwa..
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom