Usicheze na maji yaliyotulia

Usicheze na maji yaliyotulia

Maneno tu hayo, hata kwenye kanga yapo. Mkihitimu vyuo vikuu nendeni veta
Hawataki, wanataka tushindane kuninginiza vyeti ukutani na sisi wazazi wao huku tukisubiria misosi iive!
 
  • Kicheko
Reactions: G4N
Mtungi wenyewe una maji ya metulia na watu wanayanywa
 
Mkuu unaongelea anomalous expansion and contraction of water between 4°c and 0°c au😀😀
 
Tutapima Utulivu Wake Na Kina Kwa Utaratibu Maalumu Kwa Kutumia
FIMBO YA UKWAJU
 
Back
Top Bottom