Usicheze na ajali ya mafuta, we acha tuuu

JoJiPoJi

JF-Expert Member
Aug 8, 2009
2,907
3,261
Ajali_ya_mafuta.jpg
Ndugu watanzania::Tunashauriwa kutosogelea maroli ya mafuta pindi yapatapo ajali! Hii ni moja kati ya madhara yatokanayo na matukio kama hayo
 
Mmmh, mkuu uwe unaweka warning kwenye title basi. Picha kama hii si ya kuangalia kila mtu. Andika kwenye title wenye moyo wa chuma tu.
 
ee mungu mwenyezi zpokee roho za maiti hawa wotee. Waponye na wakumbatie. Wafiwa wote wape moyo wa subira na uvumilivu.
R I P
 
Jehanam kutakuwa moto mkali kuliko huo wa mafuta kama yanenavyo maandiko matakatifu. Pia kumbuka mfalme nebukadneza na wale walokole (wenzangu) watatu Meshaki, Abednego na Shadraki walivyotupwa kwenye tanuru la moto uliochochewa mara saba (namba saba ni lugha ya kiroho). "Trust in Jesus Ye shall be saved."
 
Aaaah umeniharibia siku yangu,umesababisha leo nishindwe kula kongolo.
 
sitaki kuamini nilichokiona, sasa ni kama wamevaa sare? Ok mungu atuepushe jamani, nawatakia heri Jf wote.
 
kama kutakuwa na makosa katika uwasilishahi majibu ujumbe, basi nisamehewe kwa kuwa leo ndio kwanza moja siku katika jamii hii kubwa. Aksanten nyote.
 
Back
Top Bottom