zubedayo_mchuzi
JF-Expert Member
- Sep 2, 2011
- 4,873
- 1,221
Naomba kuuliza kwanini sehemu nyingine zote zipo kamili ila hapo katikati tu, au ametoboa kwa makusudi maalumu? si mnaona wenyewe alichotoka kufanya punde tu.
Naomba kuuliza kwanini sehemu nyingine zote zipo kamili ila hapo katikati tu, au ametoboa kwa makusudi maalumu? si mnaona wenyewe alichotoka kufanya punde tu.
Haya bwana jivalie nguo zako uende huku watu wanakuchungulia.
Umeifanya siku yangu imekua Njemaa!
Yaani mimi nimecheka mpaka watu wamenishangaa!
Skutaman kucheka ila mkuu umevunja mbavu...Air conditioner
Passing the gas results