Kuna rafiki yangu anafanya kazi Umoja wa Mataifa alienda mogadishu,Somalia kikazi kwa siku 3 karudi juzi anasema pamoja na vita vya miaka 20 muda wote alipokuwepo Mogadishu umeme ulipatikana kwa uhakika na katika tembea yake kaona flyovers mbili zilizojengwa miaka ya 80's.,