Jumamosi nimetoa zangu vitu ili nihame nikaenda kuita mkokoteni ile narudi nikaambiwa Gari Ya Taka imevibeba๐คฆโโ๏ธ๐
Jumamosi nimetoa zangu vitu ili nihame nikaenda kuita mkokoteni ile narudi nikaambiwa Gari Ya Taka imevibeba๐คฆโโ๏ธ๐
Inaelekea viti vyako vilichoka mno mpaka kubebwa na gari la taka, unaishije mkuu?Jumamosi nimetoa zangu vitu ili nihame nikaenda kuita mkokoteni ile narudi nikaambiwa Gari Ya Taka imevibeba๐คฆโโ๏ธ๐
Kama ya kweli hayo basi unisamehe! Nimecheka bila kutarajia.Jumamosi nimetoa zangu vitu ili nihame nikaenda kuita mkokoteni ile narudi nikaambiwa Gari Ya Taka imevibeba๐คฆโโ๏ธ๐
Godoro lilikuwa sambusambu!?Jumamosi nimetoa zangu vitu ili nihame nikaenda kuita mkokoteni ile narudi nikaambiwa Gari Ya Taka imevibeba๐คฆโโ๏ธ๐
Pole...Jumamosi nimetoa zangu vitu ili nihame nikaenda kuita mkokoteni ile narudi nikaambiwa Gari Ya Taka imevibeba๐คฆโโ๏ธ๐
Hahhhhhhhhhh. Chai na kahawa haviendani...au sio wazeeeAHSANTENI sana , Kwa kushirikiana na Polisi siku ya leo majira ya Saa 10;00 tulipata taarifa vipo Dampo la Tabata .๐๐ NISHAVICHUKUA .
WAKUU MUWE NA HESHIMA NA VITU VYA WATU HAMJUI NILIPO VITOA .๐ฅ
Mshamba huyoUme copy na kupaste toka instagram
Mshamba huyoAcha kutunza nyumba za panya mkuu..!! ๐น๐น๐น
Wameona havina hadhi ndio manaa wameenda kuvipeleka dampo, ptuuuuuu๐คฎ๐คฎ๐คฎ๐คข๐คข๐คขAHSANTENI sana , Kwa kushirikiana na Polisi siku ya leo majira ya Saa 10;00 tulipata taarifa vipo Dampo la Tabata .๐๐ NISHAVICHUKUA .
WAKUU MUWE NA HESHIMA NA VITU VYA WATU HAMJUI NILIPO VITOA .๐ฅ
Hahaha ๐๐คฃmimi nacheka na hayawezi nikuta kwanini unatunza uchafu ndani kiongozi
Vipi mkuu KUKU MAJI hujamaliza tu chuo?๐๐๐ wakati naanza maisha, nilihamia kwenye nyumba nikiwa na ndoo na begi tu, mwenye nyumba akasema vipi ndio unakuja kufanya usafi,? Nikasema hapana ndio nimeamia.
Baadae nasikia anaongea na jirani wananisemq๐