Usichague UKAWA, Usimchague Lowassa, Chagua CCM, Chagua Magufuli, Chagua Amani

Mkamba Mmasai

JF-Expert Member
Apr 18, 2015
384
65
[h=3]
12096573_909272762498211_1836753239551894534_n.jpg
[/h]Hizi zana za Kivita ni za UKAWA ambao wamepania kuvunja amani baada ya uchaguzi. Kamwe usiwachague watu wenye nia mbaya na nchi yako. Tanzania ni nchi ya amani na hatutaki iwe kama Libya.

CHAGUA AMANI, CHAGUA MAGUFULI
 
Acheni propaganda za kifala nyie misukule wa ccm, mnawatisha watanzania ili iweje sasa?
 
yale yale ya Omari Mahita na majambia uchaguzi wa mwaka 2000 serikali ilibuka na propaganda za ati CUF imeingiza makotena ya majambia ondoa hiyo propaganda ya kizamani badilisheni mbinu mwaka huu mmenoa Lowassa anaenda kuwa Rais hatutishwi na siasa zenu za maji taka ama kweli imeishiwa.
 
Majambazi nyie mnaonunua magari ya vita kisa uchaguzi badala ya kununua Ambulance
 
Sawa hamna tatizo sisi ni majambazi, na hamna kumchagua magufuli hapa
 
12096573_909272762498211_1836753239551894534_n.jpg

Hizi zana za Kivita ni za UKAWA ambao wamepania kuvunja amani baada ya uchaguzi. Kamwe usiwachague watu wenye nia mbaya na nchi yako. Tanzania ni nchi ya amani na hatutaki iwe kama Libya.

CHAGUA AMANI, CHAGUA MAGUFULI

Hivyo si ndio jamaa yenu Sele Kova alisema vijana wa chadema wamekamatwa na silaha za kivita kama visu, mapanga na manati.......Yule mzee nilimdharau sana tangu siku ile. anakuwa anaendeshwa kama ROBOT na yeye anaenda tu bila hata ya kushirikisha moja ya mia ya ubongo wake masikini na ndio haya haya misukule ya ccm mnatuletea humu
 
Huyu kijana hapa chini aliye beba Panga ni mwanachama wa CHADEMA akifuata maamrisho ya viongozi wake wa UAKWA ya kuvunja sheria na amani ya Tanzania.
12088144_908672535891567_1356519730308701718_n.jpg
 
Acheni propaganda za kifala nyie misukule wa ccm, mnawatisha watanzania ili iweje sasa?

yale yale ya Omari Mahita na majambia uchaguzi wa mwaka 2000 serikali ilibuka na propaganda za ati CUF imeingiza makotena ya majambia ondoa hiyo propaganda ya kizamani badilisheni mbinu mwaka huu mmenoa Lowassa anaenda kuwa Rais hatutishwi na siasa zenu za maji taka ama kweli imeishiwa.

Majambazi nyie mnaonunua magari ya vita kisa uchaguzi badala ya kununua Ambulance

Angalia watu walivyokuponda, aibu yako

Sawa hamna tatizo sisi ni majambazi, na hamna kumchagua magufuli hapa
Huyu hapa ni CHADEMA amekamatwa na Mapanga kwa ajili ya kulinda kura wakati wa Uchaguzi
12140688_10203843378683180_2326019798956959523_n.jpg
 
[h=3]
12096573_909272762498211_1836753239551894534_n.jpg
[/h]Hizi zana za Kivita ni za UKAWA ambao wamepania kuvunja amani baada ya uchaguzi. Kamwe usiwachague watu wenye nia mbaya na nchi yako. Tanzania ni nchi ya amani na hatutaki iwe kama Libya.

CHAGUA AMANI, CHAGUA MAGUFULI

M@vi yako Huna adabu gamba ww mjinga mkubwa ww usilete uhuni wako hapa
 
Mleta mada pamoja na walikokutuma akili zetu ni sifuri, acheni upuuzi. Yakitokea mnayoyataka mkumbuke wote hatutabaki salama. Mods ondoeni huu upuuzi
 
Muvi za ccm za kitoto kweli,kila nyumba ina kisu na panga.Haya tukamateni wote basi.
Hata mume anachoka staili moja lazima umpe staili tofauti tofauti, Sera zenu ccm ndo hizohizo kila awamu ...safari hii talaka 3 inawahusu.... ...hamfai hata kurumangia....
 
Na haya ni ya UKAWA? Manati na kisu ni silaha za kivita? CCM kweli mmekuwa chui wa karatasi. Mnaleta magari ya kijeshi mnaogopa manati.
Mimi kura yangu kwa UKAWA.
 
Attachments

  • 1445430172517.jpg
    1445430172517.jpg
    34.1 KB · Views: 236
Muvi za ccm za kitoto kweli,kila nyumba ina kisu na panga.Haya tukamateni wote basi.
Hata mume anachoka staili moja lazima umpe staili tofauti tofauti, Sera zenu ccm ndo hizohizo kila awamu ...safari hii talaka 3 inawahusu.... ...hamfai hata kurumangia....

Mh Nyerere gari yake imekutwa na Milipuko upelelezi unaendelea
 
duuh!! aisee.. wanaccm tayar mmesha-expire date.. huo uzushi wenu kawadanganye chekechea na cyo sisi
 
ukichagua ccm umekubali bei ya kununua cement 16000,mm12 ya nondo 18000,kilo1 ya sukari 2500,wagonjwa 2kitanda1,dawa ukanunue maduka ya dawa nk
 
Baada ya kutafuna rasilimali za watanzania kwa ufisadi uliotukuka chini ya mbawa za Rais kikwete na familia yake, Ghalib S Mohamed Mwenyekiti wa kampuni ya Alosco inayomiliki makampuni mengine zaidi ya kumi ikiwemo Supermarket za Home Shopping Centre, sasa ndio ataongoza kamati ya ufundi ya wizi wa kura kuanzia tar 24 oktoba.

Ghalib akiwa pamoja na Faroukh Bagonza wa kampuni za mafuta ya TSN na Supermarket za TSN wame ratibu wizi wa kura kwa kuagiza masanduku yaliyo jaa makaratasi ya kupigia kura kutoka Msumbiji na vifaa vingine haramu vya kupigia kura ambavyo vimehifadhiwa kwenye Godauni (maghala) ya Faroukh Mtaa wa Gerezani, Mnazi moja.

Ghalib na Faroukh wakishirikiana na jangili mwenzao Abdulrahman Kinana wiki iliyopita wamenunua magari manne kutoka kampuni ya Toyota Tanzania Ltd iliyopo barabara ya Pugu. Magari hayo yatatumika kusafirisha makaratasi ya kura batili na kutumika kama magari feki ya wasimamizi wa kimataifa wa SADC. Mpango ni kupeleka gari mbili Zanzibar na mbili zitakuwa Tanzania Bara. Gari hizo aina ya Toyota Landcruiser Hardtop (2) zenye namba za usajili T 471 DFC na T 469 DFC zenye chasis namba TEEB71 – 90 - 7026583 na TEEB71 – 00 – 7026617. Pia wamenunua Toyota Hilux Double Cabin (2) zenye namba za usajili T 468 DFC na T 470 DFC zenye chasis namba AHTFR22G10 – 6105538 na AHTDR22G00 – 6105546.

Ghalib S Mohamed, fisadi na jangili ambae tangu rais Jakaya Kikwete aliposhika hatamu mwaka 2005, alipewa fursa za kufanya biashara bila kulipia ushuru bidhaa alizokuwa akiingiza nchini kwa ubia na familia ya Rais Jakaya Kikwete. Leo hii kupitia mianya hii ya kifisadi na unyonyaji wa jasho la watanzania, Ghalib ni moja kati ya matajiri wa kubwa Tanzania anae miliki Mali nyingi za kifahari, Majengo, Magari na biashara nyingi za nyuma ya pazia.

Ghalib ana miliki jumba lenye gharama ya bilioni 13 za kitanzania iliyo jengwa kwenye eneo la heka 11 huko Kinyerezi. Eneo hilo ambalo lilimefanya familia zaidi 33 kuhamishwa bila kibali maalum kwa ajili ya ujenzi wa jumba moja la mtu mmoja.

Ghalib huyu huyu ana miliki nyumba 4 Masaki na sasa ana malizia jumba lingine la kifahari mtaa wa Lincoln Masaki ambalo lina jengwa na wakandarasi kutoka china.

Ghalib ana miliki magari tofauti ya kifahari ikiwemo Rolls Royce, Bentley, Ferrari magari kadhaa aina ya Range Rover yenye thamani zaidi ya billioni 3 za kitanzania.

Kazi kubwa ya kifisadi ni ile ya usafirishaji bidhaa bila kulipa ushuru kupitia kampuni yake ya usafirishaji ya Silent Ocean inayosimamiwa na mdogo wake anaye itwa Salaah ambayo makao makuu yake yapo China. Salaah ambae kwa sasa amefanywa balozi mdogo wa Tanzania nchini China bila kuzingatia hiztoria yake ya uhalifu wa kutumia silaha na kutishia kuuwa watu kwenye kumbi tofauti za starehe, zaidi ya hapo salaah hana elimu wala historia ya kidiplomasia lakini uswahiba wa familia yao na JK umempa nafasi hii kubwa kabisa katika Taifa letu.

Leo hii Ghalib ndio nguzo kuu ya ufadhili wa CCM na familia za viongozi wa CCM. Kwa Lugha nyepesi, ghalib ndio anafanya mipango yote na mikakati ya CCM na Serikali iliyopo madarakani. Mkakati mkubwa alionao sasa ni huu wa kuartibu wizi wa kura ambao Ghalib na maswahiba wake wamemwaga pesa nyingi sana ili kufanikisha wizi mkubwa wa kura katika historia ya Taif hili wakijua dhahiri Magufuli hana asilimia 30 ya kura za Watanzania.
 
Amani ambayo manufaa yake mmeyaona ninyi, koo zenu pamoja na mahawara zenu? Kwa nini mnapenda kuwadanganya raia? Amani hii ni matunda ya CCM 100%? Au ni kasumba ya Watanzania kusema hewala kwa kila jambo? Sawa, naweza kusema 85% ya misingi ya Amani iliwekwa na Utawala wa Mwalimu Nyerere (akiwa CCM), lakini kwa sasa CCM hii si ile ya Mwalimu! Acheni kutumia amani kama silaha ya kuwatishia wapiga kura!
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom