Usibishe,inaburudisha sana.

Usibishe,inaburudisha sana.

Inaburudisha sana pale unapoenda kufanya mtihani ambao haukujiaandaa vizuri halafu unafika Notice board unakutana na tangazo la mtihani kuahirishwa mpaka wiki ijayo.
 
inahuzunisha pale unapofariki kwenye folen ya mshahara wako wa kwanza toka uanze kazi.
 
inasikitisha sana unapomfukuzia demu mkali kwa muda mrefu,unafika nae kitandani baada ya ubishi mwingi,mvutano wa hapa na pale,ile umemvua tu chupi bwana mkubwa akasinzia fofofoooo!
 
utakuwa na matatizo.
 
ndovu3.gif

NDOVU BARIDIIIIIIII INABURUDISHA SANA:
 
inasikitisha sana unapomfukuzia demu mkali kwa muda mrefu,unafika nae kitandani baada ya ubishi mwingi,mvutano wa hapa na pale,ile umemvua tu chupi bwana mkubwa akasinzia fofofoooo!

Mwee! hiyo inaliza kabisa!
 
inasikitisha sana unapomfukuzia demu mkali kwa muda mrefu,unafika nae kitandani baada ya ubishi mwingi,mvutano wa hapa na pale,ile umemvua tu chupi bwana mkubwa akasinzia fofofoooo!
huo ugonjwa wa siku nyingi!la sovyo shughuli yake huwa ni pevu!
 
inafurahisha unapomfumania demu unayetafuta 7bu za kumtosa akiwa na mchizi sita kwa sita.
 
inasikitisha sana JF inavyonimalizia muda wa mambo mengine.
 
Back
Top Bottom