Usibishe huu ndo ukweli

Wazungu!?kwann wazungu???
 
Utafiti wako ulikuchukua muda gani mkuu hadi kupata hizo %
 
Warefu wapo mengi sana.. Inategemea upo pande zipi...
 
Cjakuelewa babuu...yani wazungu Na ufupi vinahusiana vipi?
Una kichwa kigumu soma vizuri nilitolea mfano ujue kwamba kwa dunia nzima race zote wanawake wengi ni wafupi ukilinganisha na wanaume
 
Ukiona mtu mfupi huyo anatakiwa awe mkulima maana yupo karibu zaidi na ardhi. Mtu mrefu huyo awe mfugaji au fundi wiring.
 

Sio kweli hata kidogo.
Urefu wa MTU hauna uhusiano na Sex ya MTU.

Kuna wadada warefu kama akina Kerry Hilson wengi sana mitaani.


Japokua wanawake wengi hawapendelei kua na mahusiano na vijeba. Wengi watataka angalau hata akivaa "high heels" bado sikupite.


Kapo kama ya akina JACK WOLPER na HARMONIZE ,Amber na HARMORAPA wana stories tofauti na hii ya kwako.
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…