Usibishe huo ndo ukweli

Usibishe huo ndo ukweli

P I M

Senior Member
Joined
Feb 16, 2011
Posts
139
Reaction score
24
Kwa ubishi wako najua utabisha ila kweli ni kwamba JET LEE, BLUCE LEE na SUMA LEE ni ndugu wote ni watoto wa mzee SHANG LEE
 
Hahahha kama kweli vile lakini hili ni jukwaa la joks so kama kamba vile

Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
 
Hahahha kama kweli vile lakini hili ni jukwaa la joks so kama kamba vile Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
hahahah kweli hyo uliza uckie
 
nikweli kabisa maana na mie n'shafuatilia nikajua hivo:yo:
 
Back
Top Bottom