Mkuu mimi nilijua kupiga punyeto baada ya kujiunga na marafiko wajinga na mpaka leo nawalaani maana walisababisha ikawa sitaki hata mwanamke.Ni kweli kabisa...
Tatizo binadamu ni wabishi sana...
Ila za kuambiwa changanya na za kwako... hilo la punyeto wala siyo kwa sababu ya marafiki ni upweke wa binadamu mwenyewe...
Cc: mahondaw
hahahah sio marafikii mzee nafikiri domo lako lilikua na kilo nyingii namaanisha zito hata kufikiria kulifungua sio ulikua hutaki KEMkuu mimi nilijua kupiga punyeto baada ya kujiunga na marafiko wajinga na mpaka leo nawalaani maana walisababisha ikawa sitaki hata mwanamke.
kuna watu wanakunywa bia kila siku . na club kila wekend ila kwa maendeleo hawagusiki.. wanakwambia ukijua kutafuta hela kwa nguvu lazima ujue na kuitumia pia
Sawa lakini kuna kitu lazima kitakua kinampiga chenga tofauti na ukiwa hautumii kabisaa.
alafu kwa namna moja au nyingine we ni mbinafsi kwa sababu rafiki mzuri akuepuki anakushaurii....inaonesha wao ndoo walikua wanatakiwa kukuepuka coz ww uliwaona wakiaribikikiwa ukawaacha...Natumai marafiki zangu nyote mko salama na pia hatuna budi kumshukuru Muumba wetu ambae ndo muweza wa yote.
Katika kipindi chote cha maisha tunayoishi tunakutana na mitihani ambayo wengi wao wameshindwa kufaulu hususan kwenye kipindi cha mpito (teenage) kwa lugha ya kueleweka kipindi cha ujana maji ya moto.
Kipindi hiki unakutana na mambo mengi ambayo ukibahatika kuyaepuka mshukuru muumba wako kwa kuwa sio uwezo wako bali ni uwezo wa Mungu wako.
Vitu ambavyo tunakutana navyo ni kama ifutavyo:-
[emoji117] Epuka marafiki walevi: Hawa ni marafiki ambao ukijumuika nao hakuna kitu chochote kitakachoongelewa zaidi ya pombe ambayo haitaleta faida bali hasara kwako. Kikundi hiki niliepukana nacho hadi leo sijawahi kuonja hata kwenye kijiko cha chai.
[emoji117] Epuka marafiki wasio na malengo ya baadae: Hawa wanaingia kwenye makundi mawili,.. Wenye kazi na wasio kazi... Kuna wengine wana kazi na kipato kizuri tu ila hawakushawishi ufanye kitu cha maendeleo bali wanakurudisha nyuma... Kwa wale wasio na kazi, hata wapate kazi za vibarua basi pesa zao huishia kwenye kuponda mali mwisho wa siku wanarudi kwako kukuomba masaada ilihali za kwao wametumia ndivyo sivyo.
[emoji117] Epuka marafiki wanaozungumzia sana masuala ya punyeto: Hawa wanauwa kila kitu mwisho wa siku unajikuta unajaribu yanakukuta ya kuishia kwa waganga kutafuta dawa za kuongeza nguvu za kiume hawa nao ni marafiki feki.
[emoji117] Epuka marafiki wenye kupenda night club: Hawa nao sio wazuri watakufanya uwe zwazwa hautakua unawaza vitu vyovyote vya maelendeleo zaidi za kuponda mali.
Kwa kumalizia ikiwa una msimamo wako uliokuwa nzuri baki nao...
Hapana mkuu sio hivo.. Nilikua ndo kwanza kipindi nabaleghe sijui mwanamke kakaaje... Sasa katika mazungumzo ya vile vigenge akajitokeza mjinga mmoja akaanza kuleta hizo mada zake maana yeye alikua tayari ameshafikia ukubwa kunizidi mimi.. Sasa akaanza mbwembwe zake za kuanza kusema "mimi hapa naweza kuwatolea manii bila kutumia sabuni," sasa mimi nikajiuliza huyu atatoaje manii mwanamke? Si akatufundisha jinsi ya kufanya na kutujuza jinsi ya kutumia sabuni ??? Ndugu yangu Mungu anisamee nilienda kujaribu, sikuacha tena niliendelea nayo takribani miaka kumi..hahahah sio marafikii mzee nafikiri domo lako lilikua na kilo nyingii namaanisha zito hata kufikiria kulifungua sio ulikua hutaki KE
Yaani mkuu watu wamenizidi umri alafu niwambie nini ili wanielewe? Kwa mfano wewe hapo ulipo aje kijana uliemzidi sana unafikiri si utamjibu kwamba pesa ni za kwako na maisha ni ya kwako.alafu kwa namna moja au nyingine we ni mbinafsi kwa sababu rafiki mzuri akuepuki anakushaurii....inaonesha wao ndoo walikua wanatakiwa kukuepuka coz ww uliwaona wakiaribikikiwa ukawaacha...
Usitake kuharibu mada achana na suruali..Mkuuu, wewe ni ME? Mbona hicho kisuruali kimekushika mapaja kama binti mrembo?
alikuepusha kwenye ngono za utotoni mkuu mshukuru sanaa huyo alikua rafiki mzuri mtafute umshukuru snaaHapana mkuu sio hivo.. Nilikua ndo kwanza kipindi nabaleghe sijui mwanamke kakaaje... Sasa katika mazungumzo ya vile vigenge akajitokeza mjinga mmoja akaanza kuleta hizo mada zake maana yeye alikua tayari ameshafikia ukubwa kunizidi mimi.. Sasa akaanza mbwembwe zake za kuanza kusema "mimi hapa naweza kuwatolea manii bila kutumia sabuni," sasa mimi nikajiuliza huyu atatoaje manii mwanamke? Si akatufundisha jinsi ya kufanya na kutujuza jinsi ya kutumia sabuni ??? Ndugu yangu Mungu anisamee nilienda kujaribu, sikuacha tena niliendelea nayo takribani miaka kumi..
Mkuu acha mawenge we unafikiri alinitendea haki mpaka kufikia kuwa na mke nilikua naimis punyeto.. Kwakweli yule jamaa namuombea mabaya na ndio maana nikiona rafiki/ maraiki ni tofauti na nilivo mimi nampotezea.. Au kama anafanya starehe zake asihusishe mfuko wangu..alikuepusha kwenye ngono za utotoni mkuu mshukuru sanaa huyo alikua rafiki mzuri mtafute umshukuru snaa
sema we una kihereheree mkuu ulisikia stry vijuweni ukaenda kufanya hukufundishwaaa alaf ulivoipenda kuliko ukaichapa kwa miakaa 10 daah kwanza una umri gan ww mkubwa mwenzanguuMkuu acha mawenge we unafikiri alinitendea haki mpaka kufikia kuwa na mke nilikua naimis punyeto.. Kwakweli yule jamaa namuombea mabaya na ndio maana nikiona rafiki/ maraiki ni tofauti na nilivo mimi nampotezea.. Au kama anafanya starehe zake asihusishe mfuko wangu..
Yale mapombe meupe yanayouzwa kwenye makopo..Kangara ndo nini blaza
Hakika mkuu umenena vyema, maana kipindi nipo Kigoma kikazi baadhi ya wezangu walikua wanaonja onja bia na alikua hana tabia hiyo... Lakini alipokwenda kwao Zanzibar hakutumia tena kabisaa... Sasa nikasema mda mwengine unatakiwa ujitambuwe wewe mwenyewe na sio kufata mkumbo.HAPA SIRI NI KUJITAMBUA TU MKUU, UKIJITAMBUA VEMA NA KUSIMAMIA IMANI YAKO BINAFSI HAKUNA MTU MWENYE UWEZO WA KUKUBADILISHA! Ni kitu ambacho nakiamini na nakiishi pia!!