Kwani hizo nyumba ndogo wanakutana na wanaume? Si hao hao wanawake? Mbaya sana kugeneralize.duu?ya leo kali ilo gogo litakuwa limekudondokea v day,,,,,ila kweli nyumba ndogo ndo maana zinajipatia umaarufu kila kukicha
Unaweza kumuona mwanamke mzuri wa umbele kumbe hana lolote, hajafundwa na mila za kwao, wengi wamefundwa katika Kitchen Party hizi za wajanja wa mjini ambazo hata hao wanaoziongoza wameshindwa kabisa kutunza ndoa zao. Wanasema Kitchen Party ziko kwa ajili ya kukusanya vyombo tu.
Jamani wanawake hebu rudini kule vijijini mkafunzwe na Makungwi kama bado wapo..... maaana hii ni sababu kubwa ya kuvunjika kwa ndoa nyingi kwa sababu wanawake wengi wanalala kama magogo.
Jamani dunia inakwenda siko siku hizi na wanawake wamekuwa ni bure kabisa, hawawezi kuwafurahisha wanaume ndani ya ndoa, wengi wao wamekuwa magoigoi kwa kuwa hawezi kukatika wala kucheza ngoma zao za asili. Siku hizi wanawake wengi wanajiingiza katika masuala ya kuutaka uzungu na kuzikimbia asili za kwao.
Unaweza kumuona mwanamke mzuri wa umbele kumbe hana lolote, hajafundwa na mila za kwao, wengi wamefundwa katika Kitchen Party hizi za wajanja wa mjini ambazo hata hao wanaoziongoza wameshindwa kabisa kutunza ndoa zao. Wanasema Kitchen Party ziko kwa ajili ya kukusanya vyombo tu.
Zamani ukikutana na mwanamke kutoka Tanga, Tabora, Mwanza, Uzaramoni, Mtwara, Kigoma na kwingineko kasoro Moshi tu alikuwa akijua kukitumia kitanda bwana, mwanaume ulikuwa ukiridhika.... siku hizi hata chachandu hawavai eti wanavaa cheni za dhahabu. Wamebaki fremu tupu za uzuri lakini hawana kitu, umeshaziona zile fenicha zinazotoka nje ya nchi, basi uzuri wake ni bure kabisaaa, ni sawa na wanawake wa leo, ukimpa bia zako ukiiingia naye chumbani hupati starehe unayoitarajia ndiyo maana wanakimbilia kutoa tigo. unajuta hata kwanini ulimtongoza.
Jamani wanawake hebu rudini kule vijijini mkafunzwe na Makungwi kama bado wapo..... maaana hii ni sababu kubwa ya kuvunjika kwa ndoa nyingi kwa sababu wanawake wengi wanalala kama magogo.
je wewe mwanaume unajishughulisha? Au ukishasimamisha kazi imeisha?
Je wewe mwanaume unajituma, unataka mwenzio akatike je wewe unakatika? Kama haukatiki pole yako wazaire ( mfano wale wa saluni wataendelea kumega wake zenu)
je unajua mapenzi wanafanya watu 2? unajituma? Unajua hata panapomnye**sha mwenzio? Panapomhamasisha na kumtia ashiki? Au unaishia kumnyonya ulimi na kumwachia mimate yako yooote?
Je mnazungumza? Na kuambiana nini chakufanya? Mnapeana feedback baada ya mchezo?
mkuu umenikumbusha mbali..late sixties kinondoni b nyuma ya muslim nilikuwa na binti wa kimakonde original...alikuwa ananiuliza
'' unataka chipidi ya bachikeli au chukuchuku '' akimanisha spidi ya baskeli au tuku tuku..ukisema chukuchuku weee....
siku hizi nadra sana
Hivi mapenzi ni kukata viuno tu na kuonyesha ujuzi kitandani????
Usijali kama wanawake ni magogo, nenda kwa makaka poa wanaojua kukata viuno vizuri. :eyebrows:
Najua ya kuwa unawapondea wanawake lakini mwisho wa siku utaenda kumtongoza/kumuoa huyohuyo ambaye hajui kukata viuno.
Nashukuru Mungu katika hao wanawake ndani yake kuna dada zako, shangazi zako, mama zako na hata rafikizo.
Hivi huu ushauri umeshawahi kuwaambia live yaani ana kwa ana hao wanawake nduguzo au umekuja tu JF kuwachimba mkwara dada za wenzio???
Kama wanawake hawafai nenda karukiane na wanaume wenzio.
Kweli kabisa, mwenzio niliwahi kuinuliwa kitandani na kuambiwa niangalie dirishani huku nimefungwa khanga kiunoni nikipewa mambo na kutakiwa kuangali kama basikeli yangu ipo au imeibiwa. siku hizi hakuna kitu kaka.
Hivi ni wanawake tu ndo wanaotakiwa kuwaridhisha waume zao?kama hakatiki wewe mme si ukatike?