Usibabaike na fremu za wanawake

mkuu,uliposema kasoro MOSHI,nikastuka,maana nina toto la kichaga zuri kweli lakini kwenye bed kwa kweli ni bure hajishughulish kabisaaa,ndipo nilipoamini toto za kichaga bureee,hakuna lolote,labda bussiness tu.

Kuna mtu (mwanamke) aliropoka nadharia moja kwamba "ukiona wanawake wa eneo fulani hawajui mapenzi basi na wanaume wao wako hivyo hivyo-kwamba na wanaume wao ni bure kabisa kitandani". Kwa kuwa mimi ni mwanaume siwezi kuthibitisha hilo, ila kina dada mnaweza kutusaidia hapa kwa kuweka mambo hdharani kuhusu hii nadharia niliyoisikia.
 
Asante kwa maneno yako matamu najua nimekugusa ndio maana unasema hivyo, jiulize kwanini mnaitwa viburudisho?

Umenigusaje wakati kila mtu anacheza na keyboard?? sawa nimekusoma mzee wa fremu! kwangu mie hata mwanaume kiburudisho..kwenye burudani wote tunaburudishana.. Ila tuiteni majina yoyote mnayotaka na nyie mna yenu kumbukeni!!
 
Hapo sasa umenena Belinda leo mada ni wanawake ambao kwa njia moja ama nyingine ndio wanaotongozwa na wanaume na kupewa ofa za ushawishi ili kwenda kustarehe nao. siku nyingine nitaandika udhaifu wetu siye wanaume. nilikuona umeingia kwa hasira na kuanza kutaja dadaz, mamaz na mashangazi nikajua umekasirika nikahisi labda nimekugusa. Kumbuka utamaduni wa Kiafrika hauniruhusu kumuongele undani wa dasa, mama yangu na shangazi zangu.
 
mkuu umenikumbusha mbali..late sixties kinondoni b nyuma ya muslim nilikuwa na binti wa kimakonde original...alikuwa ananiuliza
'' unataka chipidi ya bachikeli au chukuchuku '' akimanisha spidi ya baskeli au tuku tuku..ukisema chukuchuku weee....
siku hizi nadra sana
 
mkuu,uliposema kasoro MOSHI,nikastuka,maana nina toto la kichaga zuri kweli lakini kwenye bed kwa kweli ni bure hajishughulish kabisaaa,ndipo nilipoamini toto za kichaga bureee,hakuna lolote,labda bussiness tu.
Kweli kaka wako bomba na ukimpata mzuri utafurahi la roho yako ila sasa tatizo ndiyo lilelile....ukimalisa funika....
 
mkuu umenikumbusha mbali..late sixties kinondoni b nyuma ya muslim nilikuwa na binti wa kimakonde original...alikuwa ananiuliza
'' unataka chipidi ya bachikeli au chukuchuku '' akimanisha spidi ya baskeli au tuku tuku..ukisema chukuchuku weee....
siku hizi nadra sana
Kweli kabisa, mwenzio niliwahi kuinuliwa kitandani na kuambiwa niangalie dirishani huku nimefungwa khanga kiunoni nikipewa mambo na kutakiwa kuangali kama basikeli yangu ipo au imeibiwa. siku hizi hakuna kitu kaka.
 
Ndiyo kuburudika ni mhimu jamani! wewe umpe bia halafu haburudiki hailipi eti. Umenikumbusha rafiki yangu alipata demu kule kwa Pinda yaani mpanda, basi demu alikuwa hajishughulishi kabisa anasema alivyomshitua alimjibu " Mimi nalala wewe endelea ukimaliza ukumbuke kufunika" ananiambia hamu ilimwishia hapo hapo.
 
Kuna mtu (mwanamke) aliropoka nadharia moja kwamba "ukiona wanawake wa eneo fulani hawajui mapenzi basi na wanaume wao wako hivyo hivyo-kwamba na wanaume wao ni bure kabisa kitandani". Kwa kuwa mimi ni mwanaume siwezi kuthibitisha hilo, ila kina dada mnaweza kutusaidia hapa kwa kuweka mambo hdharani kuhusu hii nadharia niliyoisikia.
Hili si kweli niliwahi msikia binti wa mkongeni akiniambia wanaume wa kwao si strong na wajuzi kama wa kule kwetu wakati huo huo mie niliona yeye na wengine wa mkongeni wako vizuri na wa kwetu hawako vizuri.
 
Yesu wangu! Hivi ntabaki na mbavu kweli leo, mkuu umefika kuwalinganisha viburudisho hivi na fremu, au fenicha za kichina? Mwe mwe mwe mweeeeeeeee! Aisee tegemea mashambulizi ambayo huuwahi hata kuyawaza, we subiria wanakuja sasa hivi!

lisemwalo lipo mkuu, hayo mambo aliyoyasema sio ya kubeza mkuu
 
je wewe mwanaume unajishughulisha? Au ukishasimamisha kazi imeisha?

Je wewe mwanaume unajituma, unataka mwenzio akatike je wewe unakatika? Kama haukatiki pole yako wazaire ( mfano wale wa saluni wataendelea kumega wake zenu)

je unajua mapenzi wanafanya watu 2? unajituma? Unajua hata panapomnye**sha mwenzio? Panapomhamasisha na kumtia ashiki? Au unaishia kumnyonya ulimi na kumwachia mimate yako yooote?

Je mnazungumza? Na kuambiana nini chakufanya? Mnapeana feedback baada ya mchezo?
 
ninachofahamu mimi ni kwamba mwanaume ana weza kuji-satisfy hata mwanamke akiwa gogo
 
Simba Mkali naona umeamua kwatumulia vumbi wanawake lakini kama hawaelekei si umfundishe, wakijitia wanajua utasikia malaya wakiona aibu ili mmchangamshe hajui lipi lililo bora?
 
Back
Top Bottom