Ushuru wa kuagiza mashine nje

Ushuru wa kuagiza mashine nje

MtamaMchungu

JF-Expert Member
Joined
Apr 10, 2011
Posts
10,083
Reaction score
15,016
Habari wanajamvi.

Nina mpango wa kuanziasha biashara ya kutengeneza matofali na pavement blocks. Sasa nimepata chimbo moja lina mashine safi sana kwa hii kazi. Tatizo langu sijawahi kuagiza mashine kutoka nje, nahitaji kujua gharama za kodi zinakokotolewaje, ili nifanye maamuzi ya busara; kama niagize au nitafute tu local solutions.

Machine yenyewe bei yake + shipping inakuwa kama 1,400 usd.
 
18%
 
Hii inaweza ikachajiwa VAT, Excise duty, import duty. Ingia kwenye website ya TRA kujua ni asilimia ngapi. VAT najua ni 18%. Ingekuwa ni ya kilimo au uongezaji thamani kwenye kilimo ungelipa VAT tu. Pia kumbuka ukiacha kodi kuna gharama za shipping line si pungufu dola 200 (inategemea ukubwa wa boxi lenye machine in cbm)
 
Habari wanajamvi.

Nina mpango wa kuanziasha biashara ya kutengeneza matofali na pavement blocks. Sasa nimepata chimbo moja lina mashine safi sana kwa hii kazi. Tatizo langu sijawahi kuagiza mashine kutoka nje, nahitaji kujua gharama za kodi zinakokotolewaje, ili nifanye maamuzi ya busara; kama niagize au nitafute tu local solutions.

Machine yenyewe bei yake + shipping inakuwa kama 1,400 usd.
Mkuu sio kodi tu, mimi nakupa jumla ya gharama za ku-clear machine yako bandarini, ambapo ni kama ifuatavyo;

1.Gharama za wakala wa meli (local shipping line agent/consolidator) haizidi $250 (Delivery Order fee, de-consolidation, sumatra charges, car service charges etc). hapa pia inategemea CBM za machine husika.
2.Gharama za bandari;
a). Handling charges, ambayo rate yake ni $7 plus VAT per CBM (Cubic Measurement yaani Urefu x Upana x Urefu). mfano machine yenye CBM 1.90, kwa hiyo handling charges: (1.90 x $7) + VAT = $15.694
b). Corridor Levy, ambayo rate yake ni $0.3 plus VAT per CBM, mfano machine yenye cbm 1.9: (1.90 x $0.3) + VAT =$0.58
c). Wharfage charges, ambayo kwa sasa TRA wanaikusanya kwa niaba ya Bandari, rate ya wharfage ni 1.6% ya C.I.F value. machine ina CIF value $1,400, wharfage charges: ($1,400 X 1.6%) + VAT =$26.43
3. Ushuru-TRA:
a) VAT -------18% ya CIF value.
b) Rail Development Levy (RDL)---1.5% ya FOB.
c). Customs Processing Fee (CPF)---0.6%.ya CIF
Note, Import Duty ya machine ni asilimia sufuri (0%).
4. Mwisho mkuu ni gharama za uwakala (agency fee), kampuni yangu itakutoza tsh.150,000 na tunapatikana kwa anuani ifuatayo;

S.A Link Traders Ltd (clearing & forwarding company)
2nd Floor-Elite City building (Opposite Harbor View Tower),
Samora Avenue/Morogoro Road,
Dar es Salaam- Tanzania.
Email: info@salink.co.tz
Mob: +255718 866 651 ( Call or Whatsapp )
Website: www.salink.co.tz
Facebook page: S.A LINK Traders LTD
 
Nashukuru sana mkuu, naona jibu lako limeshiba taarifa muhimu.
 
Back
Top Bottom