Dibo10
JF-Expert Member
- Apr 2, 2012
- 1,307
- 1,583
Habari wanajamvi.
Nipo katika hatua za katikati za kununua machine toka India,Nimeshampata supplier,tumeelewana bei ya bidhaa husika,na sasa yupo ktk hatua ya kunitumia proforma.
Pamoja na hayo bado ugeni wa kuagiza bidhaa toka nje unanikwaza, Supplier wangu amenitafutia shipping coy ambayo itasafirisha bidhaa husika mpaka port ya DSM, baada ya hapo gharama zote za mzigo zitakuwa juu yangu?
Je hiyo ni njia nzuri au nitafute agent wangu kutokea nyumbani? Pili ni documents za msingi ambazo supplier anatakiwa kunitumia kabla na baada ya kufanya malipo?
Supplier wangu amenipa njia mbili za kulipja bidhaa y.n TT au Paypal? ipi ni njia salama kwa pesa zangu? Angalau tt nina ufaham nayo,lakini paypal huwa naiona tuu sina ufaham kabisa,ni vipi unaweza kufanya malipk kupitia paypal?
Na ni nyaraka gani TRA huwa wanaziitaji sana ktk ukokotoaji wa kodi kwa bidhaa kama machine za juice, na mwisho ni kampuni ipi reliable ya hapa nyumbani naweza kuitumia kusafirishia bidhaa yangu?
Niliwasilina na silent ocean,lakini wanadeal sana na mizigo ya china.
Naomba kuwasilisha.