mgao wa umeme
Member
- May 16, 2011
- 47
- 4
Nimeagiza kagiri kwa CIF ya USD 2950 Japan. Toyota passo ya Mwaka 2010. TRA wakaongeza 492.24 USD, kwamba bei niliyonunulia gari iko chini ukilinganisha na thamani ya gari. Mambo kama haya ndo yana sababisha rushwa. Kwa nn TRA wakatae bei alisi ya gari kwani ata ukingia kwenye website ya Be forward ndo bei yake.