USHUHUDA : Watanzania tuwe wakweli, kufuga kuku siyo rahisi kama tunavyodhania

Hivi punde

JF-Expert Member
Apr 1, 2017
2,554
8,552
Tanzania kuna upotoshaji mkubwa sana, wengi wetu ni waongo waongo sana. Penye ukweli tunapindisha.

Ili ufuge kuku wa kienyeji, tena kwa banda la hali ya chini kabisa, ni lazima uwe na vitu vifuatavyo :-

(Kwa banda la mita 9 kwa mita 3)

1. Eneo la kutosha kwa ajili ya banda

2. Muda wa kutosha kuwahudumia kuku

3. Uwe na mtaji wa siyo chini ya Milioni 1.5 kwa ajili ya kujengea banda tu

Gharama ya fundi siyo chini ya laki 1.5 , mabati used siyo chini ya mabati 15 @ 8,000 TZS , matofali ya kuchoma 800 300 TZS, misumari ya bati 2 kg @ 5,000 TZS , Binding wire , bawaba , cement 12 bags , kufuli 1 @ 5,000 TZS , kitasa 1 @ 4,000, mbao ( 2 x 2 , 3 x 2 ) 800 Rft , mirunda 12 @ 5,000 TZS , Chicken mesh 1 Roller 80,000 TZS , Wavu mgumu 2 Rollers @ 12,000 , usafiri na mengineyo madogo madogo.

4. Uwe na walau laki 3 za kununua kuku wakubwa wanaokaribia kutaga

Ikumbukwe tu , kuku 1 ni kati ya TZS 10 - 15,000

Watanzania tuwe wakweli , tuache uongo na ushabiki wa vitu tusivyovijua kwa vitendo.
 
Ununuzi wa kuku gharama hupungua kwa kuanza na KUKU wachache. Upotoshaji mwingi huelezewa kwenye jinsi wanavyo ongezeka. Pia banda ni la kulala tu. Ukiwafugia humo watakosa uasilia. Kwa miji ufugaji huu bidhaa zake hushindwa bei na zitokazo vijijini. Matokeo ni mkwamo
 
Kuku wa kienyeji inategemea mahali ulipo, msimu wa kuwatunza (mdundo huja hasa mvua zinaponyesha), soko la haraka, choice ya walikotoka Ukiwapata sehemu ambapo magonjwa ya kuku ni common imekula kwako inabidi kuwapa dawa kama muarobaini na moringa ili kuwatoa magonjwa. Mimi sipendi dawa za dukani hiyo natumia local herbs ambazo hata kuku wanakula.

Hivi Siasa umeacha umeanza ufugaji sasa? Karibu kijijini kwetu sisi hatuna siasa.
 
Tanzania kuna upotoshaji mkubwa sana, wengi wetu ni waongo waongo sana. Penye ukweli tunapindisha.

Ili ufuge kuku wa kienyeji, tena kwa banda la hali ya chini kabisa, ni lazima uwe na vitu vifuatavyo :-

(Kwa banda la mita 9 kwa mita 3)

1. Eneo la kutosha kwa ajili ya banda

2. Muda wa kutosha kuwahudumia kuku

3. Uwe na mtaji wa siyo chini ya Milioni 1.5 kwa ajili ya kujengea banda tu

Gharama ya fundi siyo chini ya laki 1.5 , mabati used siyo chini ya mabati 15 @ 8,000 TZS , matofali ya kuchoma 800 300 TZS, misumari ya bati 2 kg @ 5,000 TZS , Binding wire , bawaba , cement 12 bags , kufuli 1 @ 5,000 TZS , kitasa 1 @ 4,000, mbao ( 2 x 2 , 3 x 2 ) 800 Rft , mirunda 12 @ 5,000 TZS , Chicken mesh 1 Roller 80,000 TZS , Wavu mgumu 2 Rollers @ 12,000 , usafiri na mengineyo madogo madogo.

4. Uwe na walau laki 3 za kununua kuku wakubwa wanaokaribia kutaga

Ikumbukwe tu , kuku 1 ni kati ya TZS 10 - 15,000

Watanzania tuwe wakweli , tuache uongo na ushabiki wa vitu tusivyovijua kwa vitendo.
Taarifa zinazotolewa hutegemea na masingira ya mhusika (si sawa kila sehemu Tanzania), kwa hiyo suala la gharama za kuanzisha, kuendeleza mradi ni tofauti na hata faida itakuwa tofauti kwa kuwa masoko pia ni tofauti. Cha msingi ni kuchukue zile taarifa za msingi mfano, tiba, aina ya chakula, utunzaji n.k.
 
...
anza na kuku moja na kamba yake. ...baadae zikiwa mingi.. changa ya moto itaelekeza...
...
 
Kweli ukweli hukimbiwa :D:D, mada ya 2018 hadi leo imesuswa sababu haisemi yenye kufurahisha.

Kiukweli Wabongo TUMEPINDA kwa sifa za kijinga, kila anayefanikiwa kwa kiwango fulani anataka sifa za kuonekana aliwekeza akili zaidi ya fedha. Utasikia anakwambia "mimi nilianza na mtaji mdogo tu wa elufu thaba...", manina...elfu saba uanze biashara ya juice ya embe hayo maembe unaokota au?

Hatupendi kuwa wakweli, tunauzana mchana kweupee. Mtu anawakusanya wamama waliokata tamaa na kuwajaza matumaini ya uongo kwa kuwatoza 10,000 au kuwauzia vitabu. Kama biashara hiyo kweli inalipa that much, mbona unafanya umachinga wa semina?
 
HII mada ya ufugaji, mbona huwa inazungumzwa Na madalali, kwanini huwa haizungumzwi Na wafugaji wenyewe? Kumbuka, kuku hufa sana Na magonjwa mbalimbali kama kideri, nk Na gharama za madawa ziko juu SANA.
Ufugaji Ni gharama SANA Na faida yake Ni ndogo MNO Na unaweza kufuga kwa hasara KBS

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kweli ukweli hukimbiwa :D:D, mada ya 2018 hadi leo imesuswa sababu haisemi yenye kufurahisha.

Kiukweli Wabongo TUMEPINDA kwa sifa za kijinga, kila anayefanikiwa kwa kiwango fulani anataka sifa za kuonekana aliwekeza akili zaidi ya fedha. Utasikia anakwambia "mimi nilianza na mtaji mdogo tu wa elufu thaba...", manina...elfu saba uanze biashara ya juice ya embe hayo maembe unaokota au?

Hatupendi kuwa wakweli, tunauzana mchana kweupee. Mtu anawakusanya wamama waliokata tamaa na kuwajaza matumaini ya uongo kwa kuwatoza 10,000 au kuwauzia vitabu. Kama biashara hiyo kweli inalipa that much, mbona unafanya umachinga wa semina?
Hahaaa.. kuna ile kauli ya viongozi "vijana mjiajili kwa kulima, kuna utajiri shambani, Tanzania ina ardhi kubwa bado haijaguswa". Huyo anaesema hivyo mwanae kamaliza chuo yupo nyumbani ana haha kutafuta kazi.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mtaji na umakini,Fuga kuku na uwahudumie mwenyewe au kijana ambaye atakuwa fully committed na hiyo mifugo.Kusipokuwa na uangalizi utalia sana kwani wanahitaji monitoring ya hali ya juu.Kunatakiwa kujua utagaji ukoje,unaongezeka au unapungua na afya yao ya kila siku,usafi wa banda na maji wanayotumia,madawa na chanjo.Kwakweli ili ufuge hawa kuku na upate faida hakuhitaji uzembe...
 
Unawapaje moringa na mwarobaini kuku wako?
Kuku wa kienyeji inategemea mahali ulipo, msimu wa kuwatunza (mdundo huja hasa mvua zinaponyesha), soko la haraka, choice ya walikotoka Ukiwapata sehemu ambapo magonjwa ya kuku ni common imekula kwako inabidi kuwapa dawa kama muarobaini na moringa ili kuwatoa magonjwa. Mimi sipendi dawa za dukani hiyo natumia local herbs ambazo hata kuku wanakula.

Hivi Siasa umeacha umeanza ufugaji sasa? Karibu kijijini kwetu sisi hatuna siasa.
 
Tanzania kuna upotoshaji mkubwa sana, wengi wetu ni waongo waongo sana. Penye ukweli tunapindisha.

Ili ufuge kuku wa kienyeji, tena kwa banda la hali ya chini kabisa, ni lazima uwe na vitu vifuatavyo :-

(Kwa banda la mita 9 kwa mita 3)

1. Eneo la kutosha kwa ajili ya banda

2. Muda wa kutosha kuwahudumia kuku

3. Uwe na mtaji wa siyo chini ya Milioni 1.5 kwa ajili ya kujengea banda tu

Gharama ya fundi siyo chini ya laki 1.5 , mabati used siyo chini ya mabati 15 @ 8,000 TZS , matofali ya kuchoma 800 300 TZS, misumari ya bati 2 kg @ 5,000 TZS , Binding wire , bawaba , cement 12 bags , kufuli 1 @ 5,000 TZS , kitasa 1 @ 4,000, mbao ( 2 x 2 , 3 x 2 ) 800 Rft , mirunda 12 @ 5,000 TZS , Chicken mesh 1 Roller 80,000 TZS , Wavu mgumu 2 Rollers @ 12,000 , usafiri na mengineyo madogo madogo.

4. Uwe na walau laki 3 za kununua kuku wakubwa wanaokaribia kutaga

Ikumbukwe tu , kuku 1 ni kati ya TZS 10 - 15,000

Watanzania tuwe wakweli , tuache uongo na ushabiki wa vitu tusivyovijua kwa vitendo.
Mimi nilishaachaga kusikiliza kusikiliza hizo stori kitambo tu,,,unakuta mtu anakwambia eti alianza na elfu 7 ndani ya miaka 3 ana miliki 20M +

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Unawapaje moringa na mwarobaini kuku wako?
Twanga muarobaini seeds, changanya na moringa seeds na majani yake ni chakula vile vile kwa kuku. Wape na kama una Lusina leaves wakatie. Ni kinga na chakula bora. Muarobaini mbegu na majani yake ni dawa sana hata kuua pestsides kwenye mboga. India wametumia sana sasa hivi vijijini hawatumii madawa ya dukani kwa mifugo na mimea. Muarobaini ni dawa sana. Mimi nimejaribu na nimeona matunda.
 
Nisieleze mengi kwakua Niko katika utafiti wavitendo ufugaji Kuku unalipa nitakuja namrejesho hapa siku moja ngoja niendelee nautafiti wavitendo nitaleta mrejesho Niko katika hatua za mwanzo ila zinaleta matumaini ila ukitaka kufuga angalia kwanza ni Chakula gani unaweza ukakipata eneo ulilopo Kwa gharama ya bila mtaji ila muda wako jifunze ubahili hata kama unahela faida utaiona
 
Back
Top Bottom