a sinner saved by Christ
JF-Expert Member
- Feb 19, 2017
- 2,204
- 2,411
USHUHUDA sehemu ya kwanza 01.
mapepo roho za nguvu za giza/majini wachawi na mawakala wa kuzimu wapo kazini masaa 24 siku zote wakiwinda roho za wanadamu,ili kuweza kupata uhalali wq kumuingia mwanadamu ni mpaka mwanadamu mwenyewe afungue mlango kuruhusu kuvamiwa na roho hizi chafu/mapepo /majini/uchawi.
JINSI MWANADAMU ANAVYOFUNGULIA MLANGO kuruhusu kushambuliwa na mapepo kupitia njia zifuatazo.
1)DHAMBI..hapa dhambi zipo za aina nyingi sana sio waumini wote wanajua aina zote za dhambi,vipo vitu ambavyo tunavifanya kwa mazoea tukifikiri kuwa sio dhambi ila ni dhambi..tuombe ROHO MTAKATIFU atufundishe na kutufafanulia tujue dhambi zote na kuziacha hata zile ambazo kwa akili ya binadamu tunafikiri isiyo sahihi kuwa siyo dhambi kumbe ni dhambi.Ipo njia ionekanayo kuwa ni njema machoni pa mwanadamu ila kumbe mwisho wake ni mauti.
Dhambi ni uasi kwa Mungu kutokutenda lile Mungu amekuagiza/amrisha.au na kutenda lile Mungu amekuamrisha usitende..dhambi ni roho inaanzia ndani ya nafsi unavyofikiri waza nafsini moyoni baadae inatimilika katika matendo.
Gal 5:19-21
Basi matendo ya mwili ni dhahiri, ndiyo haya, uasherati, uchafu, ufisadi, ibada ya sanamu, uchawi, uadui, ugomvi, wivu, hasira, fitina, faraka, uzushi, husuda, ulevi, ulafi, na mambo yanayofanana na hayo, katika hayo nawaambia mapema, kama nilivyokwisha kuwaambia, ya kwamba watu watendao mambo ya jinsi hiyo hawataurithi ufalme wa Mungu
IBADA YA SANAMU PEKE YAKE ni kundi kubwa la aina tofauti za dhambi siyo tu kuabudu sanamu za kuchonga/kuchora n.k
1 Kor 6:9-11
Au hamjui ya kuwa wadhalimu hawataurithi ufalme wa Mungu? Msidanganyike; waasherati hawataurithi ufalme wa Mungu, wala waabudu sanamu, wala wazinzi, wala wafiraji, wala walawiti, wala wevi, wala watamanio, wala walevi, wala watukanaji, wala wanyang’anyi. Na baadhi yenu mlikuwa watu wa namna hii; lakini mlioshwa, lakini mlitakaswa, lakini mlihesabiwa haki katika jina la Bwana Yesu Kristo, na katika Roho wa Mungu wetu.
Masengenyo, hasira(MATHAYO 5:21), matusi, uvutaji wa sigara , bangi, ulevi wa sigara au madawa ya kulevya, rushwa, ushirikina, ibada ya sanamu na mambo mengi yanayofanana na haya, yote ni dhambi.
KUMBUKUMBU LA TORATI 5:32, YOSHUA 1:7).
Neno la Mungu limetuagiza kuomba, kama huombi tayari ni dhambi. (1 THESALONIKE 5:17, 1 SAMWELI 12:23).
hizi ni baadhi tu ya dhambi dhambi zipo nyingi sana na tunahitaji Roho mtakatifu atufunulie tuzijue aina zote za dhambi hata zile tulizozea kuzifanya kwa mazoea na zinafanywq na wengi bila kujua hata walioamini.
2)VITU VILIVYOLAANIWA.
Kama mapambo ,urembo..kama bangili,pete,midoli,mikufu,culture au wrist bracelets za kuvaa mikononi ,mawigi,lipshine rangibza midomo,nywele bandia rasta,baadhi ya mavazi ya fasheni,yanayohisiana na urembo mapambo
maudhui ya vipindi vya television,sinema ,movies,series,
nyimbo miziki ya kidunia
bidhaa za vyakula na vinywaji.
bidhaa hizi zinakuwa zimelaaniwa na mapepo ,au waigizaji wa hizo maudhui wanaingiza vipande scene fupi za maudhui ya kuzimu rituals matambiko ya kuzimu,laana,kuna baahi hata waigizaji wake na waimbaji ni mapepo halisi hata katuni vipindi vya watoto katika LUNINGA/television ,simu janja, tadio n.k ni ibada kamili za kuzimu
3)MARAFIKI WABAYA maajenti wa falme za giza kuzimu.
wanakushauri vibaya na kikufarakanisha na familia yako na Mungu wako ,pia kuvunja nguvu maisha yako ya maombi.
3)MANENO UNAYOJINENEA KWA KINYWA CHAKO MWENYEWE.
Kila neno unalolitamka na kujitamkia linaumba katika ulimwengu wa Roho hata kama unafanya MZAHA ambapo pia kufanya mizaha ni dhambi,na mapepo yapo karibu yanasikia kila neno unalolitamka yanalinakili,ukijitamkia kushindwa kufeli au mabaya au mauti yanakuingizia roho chafu hiyohiyo unayojinenea mwenyewe.
mwisho wa siku utatolea hesabu ya kila neno ulilolitamka hata lisilo naaana,ambapo pia ni dhambi kunena nena ovyo maneno yasiyokuwa na maana.
Maneno huumba maneno yanaweka MAAGANO.
1.4)HOFU kukuletea roho ya hofu kukuondelea imani yako kwa Mungu wako. ambapo ni ile ile dhambi ya kukosa imani HOFU
1.5)KUONDOA AMANI na upendo katika familia hiweka atmosphere au energy ambayo inaweka ukuta,hivyo mapepo huuleta roho ya ugomvi malumbano kuondoa maelewano muanze kulumbana,kufokeana,kukemeana ku shoutiana kuzozana ili mfungue mlango mapepo maroho yawaingie ambapo ni ileile DHAMBI ya malumbano,kuwaka hasira n.k kama mlango.
5)NDOTO MBAYA
Kila ndoto mwanadamu anayoiota siyo kwa bahati mbaya tu au haina maana NO.. kiroho ndoto zote zina maana na NI HALISIA yani unachokiota ndio ukweli na halisi.
a)kukimbizwa na mtu/watu,mnyama,ndege,mdudu
b)Tendo la kukutana kimwili/ndoa/kuzini ndotoni.
c)kula chakula ndotoni,kulishwa
d)unaoga maji machafu,matope,
e)upo katika eneo ulilokuwepo zamani au kipindi cha utotoni au hatua ambayo ulishaipita miaka ya nyuma mfano upo shule ya msingi,kijijini,sekondari hata kama ni chuo hatua ambayo ulishaipita KURUDISHWA HATUA ZA NYUMA ulizokwishazipita.
f)WAFU waliokwisha kufariki kuongea na wafu
g)Kuchelewa mahali,kuchelewa usafiri ukakuacha,kuchelewa mahali kwenye tukio..KUWA NYUMA YA MUDA kuibiwa muda
h)unafanya MTIHANI mgumu ukafeli
i)kushikiliwa kizuizini kwenye nyumba chakavu yenye giza/kifungoni mateka
j)upo uchi mtupu--aibu
k)upo sehemu yenye kinyesi kupakwa kinyesi--aibu
l)kuvamiwa na watu kupigana na watu mtu akakushinda,ukapigwa,ukaumiza,chomwa na kisu,mishale,risasi,n.k ,kujeruhiwa kuumizwa
kuumww na mdudu ,mnyama ,ndege
nyoka ,mijusi, mamba kenge reptilia
buibui..utando wa bui bui..n.k
m)kuanguka shimoni
n k zipo nyingi na nyingine zinazofanana na hizo..
n)MISIBA makaburi,majeneza,mazishi n.k
kukosa amani ndani ya nafsi,kuingiwa na kujawa hofu,
NINI CHA KUFANYA
Kufunga milango yote ya kiroho kutokufungulia mlango mapepo yakushambulie kwa kukutupia roho chafu za mapepo ya kuzimu.
VITA VYETU NI VYA KIROHO si vya kimwili,mana wakishakushinda rohoni automatically na mwilini wameshakushindabukimwengu wa roho ndio una nguvu.
tutashinda kwa DAMU YA MWANAKONDOO damu ya Yesu
Maombi kwa jina la Yesu.
1)MAOMBI maisha ya maombi mara kwa mara ,kwa imani isiyokuwa na mashaka.
2)KUFUNGA KULA KUNYWA kufunga ni silaha kubwa katika vita vya kiroho.
3)SADAKA na ZAKA.
Yn 5:14
Baada ya hayo Yesu akamkuta ndani ya hekalu, akamwambia, Angalia, umekuwa mzima; usitende dhambi tena, lisije likakupata jambo lililo baya zaidi.
DHAMBI KAMA MLANGO wa kuruhusu mapepo kukushambulia YESU anamwambia aliyemponya kuwa sawa amemponya wakati huu wa sasa ila ASITENDE DHAMBI TENA..
na kama akitenda dhambi tena atakuwa amefungua mlango wa kuruhusu kuingiza kuvamiwa na mapepo mengine saba mabaya zaidi kuliko lile moja la kwanza ,jumla mapepo nane kumuingia kwa sababu ya DHAMBI ,na hali yake itakuwa mbaya zaidi kuliko alivyokuwa mwanzo kabla hajaombewa.
Pia tusiruhusu kuweka imani yetu katika vitu ,vitu vingine vina maagano na kuzimu laana ya kuzimu,vimebena maroho ya kuzimu ,vina rituals matambiko..vitu hivyo ni kama vitu vya upako kutoka kwa manabii wa uongo kama mafuta ya upako,maji ya upako,keki ya upako
na vitu vya urembo na mapambo kama mawigi,marasta VITU BANDIA vya urembo..na havitakasiki mana ni mali ya shetani vina mpa uhalali shetani mapepo kukuvamia mana una vitu vyao kama ni pete,bangili,kacha ,nywele bandia,n.k,midoli sio vyote vinatoka kwa Mungu vingine vinatoka kuzimu,Roho mtakatifu atusaidie kuvitambua.
vingine vina punguza nguvu ya maombi mana badala ya kuomba utakuwa unategemea mafuta ya upako kama ndio msaada wako ni kama hirizi flani hivi.
NGUVU YA MAOMBI YA KUFUNGA KULA NA KUNYWA.
Mt 17:21 SUV
[Lakini namna hii haitoki ila kwa kusali na kufunga.]
kuna mapepo mengine au jaribu unayopitia hayawezi kutoka kwa maombi pekee yake ,bali kwa maombi na KUFUNGA vyote viwili kwa pamoja ndio unaongeza nguvu SILAHA ZA KIVITA.
MAOMBI + KUFUNGA.
NGUVU YA SADAKA,ZAKA,KUJALI WANYONGE WAHITAJI
Matendo 10:31
akasema: ‘Kornelio! Sala yako na sadaka zako kwa maskini zimekubaliwa na Mungu.
Bwana? Akamwambia, Sala zako na sadaka zako zimefika juu na kuwa ukumbusho mbele za Mungu.
Mal 3:10-12
Leteni zaka kamili ghalani, ili kiwemo chakula katika nyumba yangu, mkanijaribu kwa njia hiyo, asema BWANA wa majeshi; mjue kama sitawafungulia madirisha ya mbinguni, na kuwamwagieni baraka, hata isiwepo nafasi ya kutosha, au la. Nami kwa ajili yenu nitamkemea yeye alaye, wala hataharibu mazao ya ardhi yenu; wala mzabibu wenu hautapukutisha matunda yake kabla ya wakati wake katika mashamba, asema BWANA wa majeshi. Na mataifa yote watawaiteni heri; maana mtakuwa nchi ya kupendeza sana, asema BWANA wa majeshi.
Pia tusipotoa ZAKA tunakuwa tumeiba mana ZAKA ni mali ya MUNGU kutokutoa zaka ni kuiba mali ya Mungu ,tuombe Roho mtakatifu atusaidie ili tutoe ZAKA KAMILI kwa uaminifu. 🙏
Nguvu ya sadaka ziko na zaka na kuwajali wanyonge masikini yatima na wahitaji ,zipo faida nyingi sana na zinafungua mambo mengi kuna baraka nyingi.
**KUACHA KUTENDA DHAMBI TENA...tusitende dhambi tena..
**MAOMBI ya mara kwa mara at least kiwango cha chini mara tatu kwa siku kama DANIEL.
***KUFUNGA(SILAHA YA VITA VYA KIROHO)
***SADAKA +ZAKA+ KUSAIDIA WAHITAJI UDIAKONIA.