Ushuhuda wangu kwa mtumishi wa Mungu Askofu Gwajima

Ulimwengu WA roho ulinitoa nathibitisha hapa bila Shaka yesu Yu Hai kanitendea mengi...Na Hana njia Za kibinadam umchagua yoyote Katika njia yoyote
Unaongelea huyu handsome wa kizungu?:

1749186273448.png
 
all in all, aliyekosa ni gwajima, waumini wake makanisa 2000 hawajaongea chochote kwenye madhabahu, angeadhibiwa gwajima (kama ana kosa) waumini waruhusiwe kuendelea kusali, ni haki yao kikatiba, hawajavunja katiba wala sheria, serikali kufuta usajili ni attack ya moja kwa moja kwenye imani za watu hasa wakristo na hatujui atakayefuata ni nani kwasababu waziri wake kwa kujipendekeza amesema wataanza kutathmini makanisa, kwa nini watathmini makanisa ila hawatakuja kutathmin misikiti? target yao ni makanisa tu

Nilichosikitika ni pale bimkubwa anavyozidi kujiaivisha na hajui kama anajianika. kumtukana gwajima kuwa ni mtumishi wa shetani wakati ana wafuasi wengi sana, makanisa zaidi ya 2000 wote wapiga kura hao na wanamwamini, ni jambo la ajabu sana. halafu kwa mlokole, mtu asiyeamini kama mama na wengine kupanga nani wa shetani nani wa Mungu ni kichekesho kwa sababu mlokole yeyote awe wa gwajima au la huamini waislam na wasio walokole ni watumishi wa shetani.
IKITOKEA wakristo woteeee kwa umoja wao WAKASEMA na sisi hatupigi kura kwa mashetani ( WAISLAMU) ndio maana Kuna watu hawakustahili kuwa namba moja pale juu
 
Huo ndio udhaifu wangu, mke wangu ?
Mwanaume aliye kamilika awi Chawa WA MTU... Mimi Nina dhihirisha matendo ya Mungu kupitia Kwa mtumishi wake Na namwombea msamaha.. unaleta ujuaji
U
 
Ujumbe umefika japo mwandiko hausadifu kama kweli ni muhitimu wa chuo
Hata hajui kuwa tunaandika injili na siyo "injiri". Asome vizuri Biblia angalau ajue Kiswahili kinaandikwaje. Pia asimtukuze mtu bali Mungu kwa anayoona katendewa.
 
Namtukuza Mungu kupitia mtumishi wake

Mapungufu kila MTU anayo .... Wenda kuandika Ni mapungufu..... But ujumbe umefika... Mimi Na wewe Amna tofauti Dunia tutaviacha hii.... Amna ujuaj
Kwamba ukiweza kuandika vizur
 
Mwaka 2014. Ulikuwa mwaka WA kumaliza chuo kikuu Moshi... Nilianza first year Na GPA 3.8 kufika mwaka WA pili ilishuka had 2.9. Na kuanzia kulemewa Na masomo Na kuchukiwa Na ma lecture KWENYE kila course pale chuo. ..
Kufika mwaka WA Tatu wenzangu wanapoenda nyumban Nina sup ya masomo ma NNE including account. Nilibaki chuo ikiwa wenzangu wote wameenda makwao.. nikiwa Na uzun Na kufanya vibarua ndipo siku moja nipo town nakuta mkutano WA mtumishi WA Mungu Gwajima. Niliudhuria Kwa kwenda kuangalia kwamba anarudisha misukule cha ajabu aliitisha maombi KWENYE bahasha pamoja Na sadaka niliandika Kwa kutokuamin Sana

Lakin tangu siku Ile Ile sadaka ili Nena MEMA Kwan Aman ilirud sup nilifauru Na nilianza kupata Kazi mapema Zaidi hata wale walionitangulia .. ujumbe wangu Mungu umnyanyua yoyote Katika kufikisha ujumbe wake na kila MTU anaweza kuwa Na imjiri yake kuweza kuwafikia watu.. . Leo Gwajima alinosaidia Kwa njia ya iman kumjua Yesu wangap watasaidiwa wengine kupitia injiri yake...

Mungu aliye niwezesha Mimi kuvuka kiunzi cha kufeli chuo naomba akasimame Na mtumishi wake kama Kuna makosa namuombea Kwa Mungu amsamehe Na kama Kuna makosa Kwa rahisi namuombea Gwajima msamaha Na kama nimeandika vibaya naomba msamaha... But Mungu achinguziki apangiwi WA kumtumia uwa nyanyuwa walio wanyonge namshukuru Mungu Kwa utumishi wake kupitia mtumishi wake Amina
Gwajima sauti ya wanyonge haja wahi poteza pambano Tuendelee kusubiri tu tuwe watulivu Mungu anaende kudhilika Tanzania
 
Sawa
Namtukuza Mungu kupitia mtumishi wake

Mapungufu kila MTU anayo .... Wenda kuandika Ni mapungufu..... But ujumbe umefika... Mimi Na wewe Amna tofauti Dunia tutaviacha hii.... Amna ujuaj
Kwamba ukiweza kuandika vizur
Sawa. Sote tunajifunza na kuandika tulichojifunza. Ongezea na hii: Amna = Hamna
 
"Jitahidi Usafiri,,Ili Uweze Kujifunza Kati Usafi Na Ukafiri"
"""""""""""Karibu Duniani""""""
"""""""""""By Dizasta Vina""""""
 
Mwaka 2014. Ulikuwa mwaka WA kumaliza chuo kikuu Moshi... Nilianza first year Na GPA 3.8 kufika mwaka WA pili ilishuka had 2.9. Na kuanzia kulemewa Na masomo Na kuchukiwa Na ma lecture KWENYE kila course pale chuo. ..
Kufika mwaka WA Tatu wenzangu wanapoenda nyumban Nina sup ya masomo ma NNE including account. Nilibaki chuo ikiwa wenzangu wote wameenda makwao.. nikiwa Na uzun Na kufanya vibarua ndipo siku moja nipo town nakuta mkutano WA mtumishi WA Mungu Gwajima. Niliudhuria Kwa kwenda kuangalia kwamba anarudisha misukule cha ajabu aliitisha maombi KWENYE bahasha pamoja Na sadaka niliandika Kwa kutokuamin Sana

Lakin tangu siku Ile Ile sadaka ili Nena MEMA Kwan Aman ilirud sup nilifauru Na nilianza kupata Kazi mapema Zaidi hata wale walionitangulia .. ujumbe wangu Mungu umnyanyua yoyote Katika kufikisha ujumbe wake na kila MTU anaweza kuwa Na imjiri yake kuweza kuwafikia watu.. . Leo Gwajima alinosaidia Kwa njia ya iman kumjua Yesu wangap watasaidiwa wengine kupitia injiri yake...

Mungu aliye niwezesha Mimi kuvuka kiunzi cha kufeli chuo naomba akasimame Na mtumishi wake kama Kuna makosa namuombea Kwa Mungu amsamehe Na kama Kuna makosa Kwa rahisi namuombea Gwajima msamaha Na kama nimeandika vibaya naomba msamaha... But Mungu achinguziki apangiwi WA kumtumia uwa nyanyuwa walio wanyonge namshukuru Mungu Kwa utumishi wake kupitia mtumishi wake Amina
Huyu mchungaji na kanisa lime
 
all in all, aliyekosa ni gwajima, waumini wake makanisa 2000 hawajaongea chochote kwenye madhabahu, angeadhibiwa gwajima (kama ana kosa) waumini waruhusiwe kuendelea kusali, ni haki yao kikatiba, hawajavunja katiba wala sheria, serikali kufuta usajili ni attack ya moja kwa moja kwenye imani za watu hasa wakristo na hatujui atakayefuata ni nani kwasababu waziri wake kwa kujipendekeza amesema wataanza kutathmini makanisa, kwa nini watathmini makanisa ila hawatakuja kutathmin misikiti? target yao ni makanisa tu

Nilichosikitika ni pale bimkubwa anavyozidi kujiaivisha na hajui kama anajianika. kumtukana gwajima kuwa ni mtumishi wa shetani wakati ana wafuasi wengi sana, makanisa zaidi ya 2000 wote wapiga kura hao na wanamwamini, ni jambo la ajabu sana. halafu kwa mlokole, mtu asiyeamini kama mama na wengine kupanga nani wa shetani nani wa Mungu ni kichekesho kwa sababu mlokole yeyote awe wa gwajima au la huamini waislam na wasio walokole ni watumishi wa shetani.
Limesaidia watu wengi sana eti Leo limefungiwa sijui SERIKALI inawaza nini
 
Back
Top Bottom