Ushuhuda wangu kwa mtumishi wa Mungu Askofu Gwajima

Quaty

Member
Joined
Oct 12, 2022
Posts
60
Reaction score
173
Mwaka 2014. Ulikuwa mwaka WA kumaliza chuo kikuu Moshi... Nilianza first year Na GPA 3.8 kufika mwaka WA pili ilishuka had 2.9. Na kuanzia kulemewa Na masomo Na kuchukiwa Na ma lecture KWENYE kila course pale chuo. ..
Kufika mwaka WA Tatu wenzangu wanapoenda nyumban Nina sup ya masomo ma NNE including account. Nilibaki chuo ikiwa wenzangu wote wameenda makwao.. nikiwa Na uzun Na kufanya vibarua ndipo siku moja nipo town nakuta mkutano WA mtumishi WA Mungu Gwajima. Niliudhuria Kwa kwenda kuangalia kwamba anarudisha misukule cha ajabu aliitisha maombi KWENYE bahasha pamoja Na sadaka niliandika Kwa kutokuamin Sana

Lakin tangu siku Ile Ile sadaka ili Nena MEMA Kwan Aman ilirud sup nilifauru Na nilianza kupata Kazi mapema Zaidi hata wale walionitangulia .. ujumbe wangu Mungu umnyanyua yoyote Katika kufikisha ujumbe wake na kila MTU anaweza kuwa Na imjiri yake kuweza kuwafikia watu.. . Leo Gwajima alinosaidia Kwa njia ya iman kumjua Yesu wangap watasaidiwa wengine kupitia injiri yake...

Mungu aliye niwezesha Mimi kuvuka kiunzi cha kufeli chuo naomba akasimame Na mtumishi wake kama Kuna makosa namuombea Kwa Mungu amsamehe Na kama Kuna makosa Kwa rahisi namuombea Gwajima msamaha Na kama nimeandika vibaya naomba msamaha... But Mungu achinguziki apangiwi WA kumtumia uwa nyanyuwa walio wanyonge namshukuru Mungu Kwa utumishi wake kupitia mtumishi wake Amina
 
Barikiwa na bwana kwa Ushuhudua huu.
 
Hongera sana mtumishi kufungia kanisa ni kiwango cha juu cha ukatili wa serikali dhidi ya waumini, tunamuomba Mwenyezi Mungu atende miujiza yake kadiri ya hitaji la mioyo ya waumini wa kanisa hilo!!
 
Mwaka 2014. Ulikuwa mwaka WA kumaliza chuo kikuu Moshi... Nilianza first year Na GPA 3.8 kufika mwaka WA pili ilishuka had 2.9. Na kuanzia kulemewa Na masomo Na kuchukiwa Na ma lecture KWENYE kila course pale chuo. ..
Kufika mwaka WA Tatu wenzangu wanapoenda nyumban Nina sup ya masomo ma NNE including account. Nilibaki chuo ikiwa wenzangu wote wameenda makwao.. nikiwa Na uzun Na kufanya vibarua ndipo siku moja nipo town nakuta mkutano WA mtumishi WA Mungu Gwajima. Niliudhuria Kwa kwenda kuangalia kwamba anarudisha misukule cha ajabu aliitisha maombi KWENYE bahasha pamoja Na sadaka niliandika Kwa kutokuamin Sana

Lakin tangu siku Ile Ile sadaka ili Nena MEMA Kwan Aman ilirud sup nilifauru Na nilianza kupata Kazi mapema Zaidi hata wale walionitangulia .. ujumbe wangu Mungu umnyanyua yoyote Katika kufikisha ujumbe wake na kila MTU anaweza kuwa Na imjiri yake kuweza kuwafikia watu.. . Leo Gwajima alinosaidia Kwa njia ya iman kumjua Yesu wangap watasaidiwa wengine kupitia injiri yake...

Mungu aliye niwezesha Mimi kuvuka kiunzi cha kufeli chuo naomba akasimame Na mtumishi wake kama Kuna makosa namuombea Kwa Mungu amsamehe Na kama Kuna makosa Kwa rahisi namuombea Gwajima msamaha Na kama nimeandika vibaya naomba msamaha... But Mungu achinguziki apangiwi WA kumtumia uwa nyanyuwa walio wanyonge namshukuru Mungu Kwa utumishi wake kupitia mtumishi wake Amina
Ulistahili ku sup
 
all in all, aliyekosa ni gwajima, waumini wake makanisa 2000 hawajaongea chochote kwenye madhabahu, angeadhibiwa gwajima (kama ana kosa) waumini waruhusiwe kuendelea kusali, ni haki yao kikatiba, hawajavunja katiba wala sheria, serikali kufuta usajili ni attack ya moja kwa moja kwenye imani za watu hasa wakristo na hatujui atakayefuata ni nani kwasababu waziri wake kwa kujipendekeza amesema wataanza kutathmini makanisa, kwa nini watathmini makanisa ila hawatakuja kutathmin misikiti? target yao ni makanisa tu

Nilichosikitika ni pale bimkubwa anavyozidi kujiaivisha na hajui kama anajianika. kumtukana gwajima kuwa ni mtumishi wa shetani wakati ana wafuasi wengi sana, makanisa zaidi ya 2000 wote wapiga kura hao na wanamwamini, ni jambo la ajabu sana. halafu kwa mlokole, mtu asiyeamini kama mama na wengine kupanga nani wa shetani nani wa Mungu ni kichekesho kwa sababu mlokole yeyote awe wa gwajima au la huamini waislam na wasio walokole ni watumishi wa shetani.
 
Mama aakipewa Mike anadhani wanamwelewa...ashukuru kura huwa haziamui chochote Ila zingemshangaza...MTU kaacha dhehebu lake kwenda madhehebu haya ya kilokole....Leo umwambie kamfuata shetani...walokole NI watunhata wakioa au kuolealwa NI ngumu kufuata dhehebu lengine...hata wakifuata wanakuwa NI geresha tu...
 
Mwaka 2014. Ulikuwa mwaka WA kumaliza chuo kikuu Moshi... Nilianza first year Na GPA 3.8 kufika mwaka WA pili ilishuka had 2.9. Na kuanzia kulemewa Na masomo Na kuchukiwa Na ma lecture KWENYE kila course pale chuo. ..
Kufika mwaka WA Tatu wenzangu wanapoenda nyumban Nina sup ya masomo ma NNE including account. Nilibaki chuo ikiwa wenzangu wote wameenda makwao.. nikiwa Na uzun Na kufanya vibarua ndipo siku moja nipo town nakuta mkutano WA mtumishi WA Mungu Gwajima. Niliudhuria Kwa kwenda kuangalia kwamba anarudisha misukule cha ajabu aliitisha maombi KWENYE bahasha pamoja Na sadaka niliandika Kwa kutokuamin Sana

Lakin tangu siku Ile Ile sadaka ili Nena MEMA Kwan Aman ilirud sup nilifauru Na nilianza kupata Kazi mapema Zaidi hata wale walionitangulia .. ujumbe wangu Mungu umnyanyua yoyote Katika kufikisha ujumbe wake na kila MTU anaweza kuwa Na imjiri yake kuweza kuwafikia watu.. . Leo Gwajima alinosaidia Kwa njia ya iman kumjua Yesu wangap watasaidiwa wengine kupitia injiri yake...

Mungu aliye niwezesha Mimi kuvuka kiunzi cha kufeli chuo naomba akasimame Na mtumishi wake kama Kuna makosa namuombea Kwa Mungu amsamehe Na kama Kuna makosa Kwa rahisi namuombea Gwajima msamaha Na kama nimeandika vibaya naomba msamaha... But Mungu achinguziki apangiwi WA kumtumia uwa nyanyuwa walio wanyonge namshukuru Mungu Kwa utumishi wake kupitia mtumishi wake Amina
"nilifauru" ndio nini?
 
Ulistahili ku sup
Namshukuru Mungu nilifanikiwa... Iman ikakuwa kuamin injiri ya bwana yesu Kwan kanipa mke mzuri watoto Wazur nyumba Zur Kazi Zur usafiri mzuri Na biashara zur. Bado namwombea msamaha mchungaji gwajima Kwa Mungu Na raisi wetu mpendwa Na wote wenye mamlaka
 
Mwaka 2014. Ulikuwa mwaka WA kumaliza chuo kikuu Moshi... Nilianza first year Na GPA 3.8 kufika mwaka WA pili ilishuka had 2.9. Na kuanzia kulemewa Na masomo Na kuchukiwa Na ma lecture KWENYE kila course pale chuo. ..
Kufika mwaka WA Tatu wenzangu wanapoenda nyumban Nina sup ya masomo ma NNE including account. Nilibaki chuo ikiwa wenzangu wote wameenda makwao.. nikiwa Na uzun Na kufanya vibarua ndipo siku moja nipo town nakuta mkutano WA mtumishi WA Mungu Gwajima. Niliudhuria Kwa kwenda kuangalia kwamba anarudisha misukule cha ajabu aliitisha maombi KWENYE bahasha pamoja Na sadaka niliandika Kwa kutokuamin Sana

Lakin tangu siku Ile Ile sadaka ili Nena MEMA Kwan Aman ilirud sup nilifauru Na nilianza kupata Kazi mapema Zaidi hata wale walionitangulia .. ujumbe wangu Mungu umnyanyua yoyote Katika kufikisha ujumbe wake na kila MTU anaweza kuwa Na imjiri yake kuweza kuwafikia watu.. . Leo Gwajima alinosaidia Kwa njia ya iman kumjua Yesu wangap watasaidiwa wengine kupitia injiri yake...

Mungu aliye niwezesha Mimi kuvuka kiunzi cha kufeli chuo naomba akasimame Na mtumishi wake kama Kuna makosa namuombea Kwa Mungu amsamehe Na kama Kuna makosa Kwa rahisi namuombea Gwajima msamaha Na kama nimeandika vibaya naomba msamaha... But Mungu achinguziki apangiwi WA kumtumia uwa nyanyuwa walio wanyonge namshukuru Mungu Kwa utumishi wake kupitia mtumishi wake Amina
pamoja na yanayoendelea baina ya mchungaji gwajima na dola ila hii ya kwako ni chai.
 
Mwaka 2014, mwandishi alimaliza chuo kikuu Moshi akiwa na changamoto za masomo, GPA yake ikishuka kutoka 3.8 hadi 2.9. Alibaki chuoni peke yake akiwa na masomo ya nyongeza, akifanya vibarua. Alipohudhuria mkutano wa mtumishi wa Mungu Gwajima, alitoa sadaka na kuandika maombi, akapata mafanikio ya kushangaza, ikiwa ni pamoja na kupata kazi mapema. Mwandishi anamshukuru Mungu kwa kumtumia Gwajima kumuokoa na kumudu masomo. Anaomba msamaha kwa makosa yoyote na anasifu utumishi wa Gwajima katika kueneza injiri.
 
Back
Top Bottom