Ndugu zangu, Nawasalimu kwa Makabila yote, kwa Lugha zote na kwa dini zote! (Umoja wetu ni nguvu yetu)
Mimi pia ni miongoni mwa watu waliopata bahati na nafasi ya kwenda kuhiji jana tarehe 17.03.2023 kwenye kaburi la aliyekua RAIS WA AWAMU YA TANO (Mhe. Dr. JOHN JOSEPH POMBE MAGUFULI) a.k.a TINGA TINGA, MZEE WA KUTUMBUA MAJIBU.
Nilisafiri umbali mrefu sana, njiani nilikutana na mswaibu mengi lakini sikukata tamaa. Na hata mara baada ya kufika CHATO, haikua rahisi pia kwenda straight kuliona kaburi lake. Lakini at the end niliruhusiwa kwenda kuliona.
Kilichonikuta na kunitokea nikiwa ndani ya nyumba lililomo Kaburi la SHUJAA WETU siwezi kukielezea publically.
But naweza kukuhakikishia HE WAS, HE IS AND FOR EVER HE WILL BE [emoji146] THE KING OF THE LEADERSHIP AUTHORITY [emoji146]
NOTE: Huwezi kamwe kuwa Mzalendo AFRIKA na TANZANIA bila kuzifuata nyayo za JPM. Huyu ndiye Kiongozi pekee barani AFRIKA na TANZANIA, aliyeweza kuzifuata nyayo za watangulizi wake na kuzivuka, tena kwà umbali mrefu sana.
WARNING: Kama unataka kuharibikiwa kwenye maisha tafadhali usijiingize kwenye mkumbo wa kuzibeza jitihada za JPM, kumtukana au kufanya utani kwa kulitaja jina la JOHN JOSEPH POMBE MAGUFULI. Kiufupi, ni kiwiliwili chake tu ndio hatunacho, lakini bado yupo na anaishi katikati yetu.
Angalisho: Sijawaandikia ili kuwapa hofu, woga, wasiwasi au mashaka. I have written what I know and testified to what I have seen. Maisha yako ni jukumu lako.
Wenye macho na waone na wenye masikio na wasikie.
"MUNGU IBARIKI AFRIKA, MUNGU IBARIKI TANZANIA"