Hata mimi na wewe tutahangaika hapa duniani mwisho tutakufa.Hakuna hatakaeishi milele ila tuombe tufe kama JPM yeye alikufa kwa kufanya toba mbele ya askofu kadrinali pengo na Shekhe zuberi hii nafasi ni wachache huchaguliwa tuombe mwisho mwema ndugu yangu.AU NYIE NDIO WATU WAZURI MSIOKUFA.Yooote haya mwisho wa siku kakufa tu
R.I.P JPMHata mimi na wewe tutahangaika hapa duniani mwisho tutakufa.Hakuna hatakaeishi milele ila tuombe tufe kama JPM yeye alikufa kwa kufanya toba mbele ya askofu kadrinali pengo na Shekhe zuberi hii nafasi ni wachache huchaguliwa tuombe mwisho mwema ndugu yangu.AU NYIE NDIO WATU WAZURI MSIOKUFA.
The living legendary. Ataongelewa kizazi na kizazi na kizazi na kizazi na kizazi...vizazi na vizazi. Usipotaka ni kama umetaka na ukitaka ni kama umetaka tuu!!!Mada juu ya huyu mtu haziishi tu?!
Kichaa mpya mjini huyu hapa 😄😄😄Ndugu zangu, Nawasalimu kwa Makabila yote, kwa Lugha zote na kwa dini zote! (Umoja wetu ni nguvu yetu)
Mimi pia ni miongoni mwa watu waliopata bahati na nafasi ya kwenda kuhiji jana tarehe 17.03.2023 kwenye kaburi la aliyekua RAIS WA AWAMU YA TANO (Mhe. Dr. JOHN JOSEPH POMBE MAGUFULI) a.k.a TINGA TINGA, MZEE WA KUTUMBUA MAJIBU.
Nilisafiri umbali mrefu sana, njiani nilikutana na mswaibu mengi lakini sikukata tamaa. Na hata mara baada ya kufika CHATO, haikua rahisi pia kwenda straight kuliona kaburi lake. Lakini at the end niliruhusiwa kwenda kuliona.
Kilichonikuta na kunitokea nikiwa ndani ya nyumba lililomo Kaburi la SHUJAA WETU siwezi kukielezea publically.
But naweza kukuhakikishia HE WAS, HE IS AND FOR EVER HE WILL BE [emoji146] THE KING OF THE LEADERSHIP AUTHORITY [emoji146]
NOTE: Huwezi kamwe kuwa Mzalendo AFRIKA na TANZANIA bila kuzifuata nyayo za JPM. Huyu ndiye Kiongozi pekee barani AFRIKA na TANZANIA, aliyeweza kuzifuata nyayo za watangulizi wake na kuzivuta, tena kwà umbali mrefu sana.
WARNING: Kama unataka kuharibikiwa kwenye maisha tafadhali usijiingize kwenye mkumbo wa kuzibeza jitihada za JPM, kumtukana au kufanya utani kwa kulitaja jina la JOHN JOSEPH POMBE MAGUFULI. Kiufupi, ni kiwiliwili chake tu ndio hatunacho, lakini bado yupo na anaishi katikati yetu.
Angalisho: Sijawaandikia ili kuwapa hofu, woga, wasiwasi au mashaka. I have written what I know and testified to what I have seen. Maisha yako ni jukumu lako.
Wenye macho na waone na wenye masikio na wasikie.
"MUNGU IBARIKI AFRIKA, MUNGU IBARIKI TANZANIA"
Nilifikilia una la maanaNdugu zangu, Nawasalimu kwa Makabila yote, kwa Lugha zote na kwa dini zote! (Umoja wetu ni nguvu yetu)

Mental case.Ndugu zangu, Nawasalimu kwa Makabila yote, kwa Lugha zote na kwa dini zote! (Umoja wetu ni nguvu yetu)

Sukuma gang mtaangaika sana lakini jua mungu wenu kafa na Serikali pamoja na Wananchi wamewapuuzaNdugu zangu, Nawasalimu kwa Makabila yote, kwa Lugha zote na kwa dini zote! (Umoja wetu ni nguvu yetu)
Mimi pia ni miongoni mwa watu waliopata bahati na nafasi ya kwenda kuhiji jana tarehe 17.03.2023 kwenye kaburi la aliyekua RAIS WA AWAMU YA TANO (Mhe. Dr. JOHN JOSEPH POMBE MAGUFULI) a.k.a TINGA TINGA, MZEE WA KUTUMBUA MAJIBU.
Nilisafiri umbali mrefu sana, njiani nilikutana na mswaibu mengi lakini sikukata tamaa. Na hata mara baada ya kufika CHATO, haikua rahisi pia kwenda straight kuliona kaburi lake. Lakini at the end niliruhusiwa kwenda kuliona.
Kilichonikuta na kunitokea nikiwa ndani ya nyumba lililomo Kaburi la SHUJAA WETU siwezi kukielezea publically.
But naweza kukuhakikishia HE WAS, HE IS AND FOR EVER HE WILL BE [emoji146] THE KING OF THE LEADERSHIP AUTHORITY [emoji146]
NOTE: Huwezi kamwe kuwa Mzalendo AFRIKA na TANZANIA bila kuzifuata nyayo za JPM. Huyu ndiye Kiongozi pekee barani AFRIKA na TANZANIA, aliyeweza kuzifuata nyayo za watangulizi wake na kuzivuta, tena kwà umbali mrefu sana.
WARNING: Kama unataka kuharibikiwa kwenye maisha tafadhali usijiingize kwenye mkumbo wa kuzibeza jitihada za JPM, kumtukana au kufanya utani kwa kulitaja jina la JOHN JOSEPH POMBE MAGUFULI. Kiufupi, ni kiwiliwili chake tu ndio hatunacho, lakini bado yupo na anaishi katikati yetu.
Angalisho: Sijawaandikia ili kuwapa hofu, woga, wasiwasi au mashaka. I have written what I know and testified to what I have seen. Maisha yako ni jukumu lako.
Wenye macho na waone na wenye masikio na wasikie.
"MUNGU IBARIKI AFRIKA, MUNGU IBARIKI TANZANIA"
I regard him kama Rais mouvu kuliko wote, ila haya ni maoni yangu kama wewe unavyo muona shujaa wenu Sukuma gangNi mwili wake ndio umekufa. Sote tutapitia hali hii. Kikubwa uzima...kuendelea kuishi baada ya mwili kuwa ardhini.
Adolf Hitler, Nduli Idd Amin Dadaa na wengineo jamii ya Magufuli wanaenziwa wapi?Tuwaenzi VIONGOZI WETU WANAOTENDA MAMBO MEMA katika Bara letu na katika TANZANIA yetu.
Kuna watu walimwita huyo shetani mungu so hata wewe una haki ya kumwona vyovyote ikufaavyo. Lakini shujaa wenu alikuwa laana kwa taifaHawa wanao mpopoa yesu kristo [emoji4][emoji851]
Hawata shindwa ku mpopoa the late legendary JPM
Achomwe moto huko alikoR.I.P JPM
1John 4:17 ,"And as we live in God, our love grows more perfect. So we will not be afraid on the day of judgment, but we can face him with confidence because we live like Jesus here in this world."Ruhusu Yesu aishi ndani yako