Ushuhuda wangu kuhusu kaburi la Hayati Magufuli

MzeeKipusa

JF-Expert Member
Joined
Feb 10, 2023
Posts
2,696
Reaction score
4,979
Ndugu zangu, Nawasalimu kwa Makabila yote, kwa Lugha zote na kwa dini zote! (Umoja wetu ni nguvu yetu)

Mimi pia ni miongoni mwa watu waliopata bahati na nafasi ya kwenda kuhiji jana tarehe 17.03.2023 kwenye kaburi la aliyekua RAIS WA AWAMU YA TANO (Hayati.Mhe. Dkt. JOHN JOSEPH POMBE MAGUFULI) a.k.a TINGA TINGA, MZEE WA KUTUMBUA MAJIBU.

Nilisafiri umbali mrefu sana, njiani nilikutana na maswaibu mengi lakini sikukata tamaa. Na hata mara baada ya kufika CHATO, haikua rahisi pia kwenda straight kuliona kaburi lake. Lakini at the end niliruhusiwa kwenda kuliona.

Kilichonikuta na kunitokea nikiwa ndani ya nyumba lilimo Kaburi la SHUJAA WETU, JEMEDARI WETU na KIONGOZI WETU SHUPAVU , kwa kweli siwezi kukielezea publically.

But naweza kukuhakikishia HE WAS, HE IS AND FOR EVER HE WILL BE [emoji146] THE KING OF THE LEADERSHIP AUTHORITY [emoji146]

NOTE: Huwezi kamwe kuwa Mzalendo AFRIKA na TANZANIA bila kuzifuata nyayo za JPM. Huyu ndiye Kiongozi pekee barani AFRIKA na TANZANIA, aliyeweza kuzifuata nyayo za watangulizi wake na kuzivuka, tena kwà umbali mrefu sana.

WARNING: Kama unataka kuharibikiwa kwenye maisha tafadhali usijiingize kwenye mkumbo wa kuzibeza jitihada za JPM, kumtukana au kufanya utani kwa kulitaja jina la JOHN JOSEPH POMBE MAGUFULI. Kiufupi, ni kiwiliwili chake tu ndio hatunacho, lakini bado yupo na anaishi katikati yetu.

Angalisho: Sijawaandikia ili kuwapa hofu, woga, wasiwasi au mashaka. I have written what I know and testified to what I have seen. Maisha yako ni jukumu lako.

Wenye macho na waone na wenye masikio na wasikie.

"INAWEZEKANA KUELEWA NI KUGUMU NA INAWEZEKANA KUTACHUKUA MUDA, LAKINI BAADAE SIKU MOJA WATAKUMBUKA; NA MIMI HILO NINA UHAKIKA" Hayati. Mhe. Dkt. John Joseph Pombe Magufuli

"MUNGU IBARIKI AFRIKA, MUNGU IBARIKI TANZANIA"
View attachment 2557692
 
Ndugu zangu, Nawasalimu kwa Makabila yote, kwa Lugha zote na kwa dini zote! (Umoja wetu ni nguvu yetu)

Mimi pia ni miongoni mwa watu waliopata bahati na nafasi ya kwenda kuhiji jana tarehe 17.03.2023 kwenye kaburi la aliyekua RAIS WA AWAMU YA TANO ( Mhe. Dr. JOHN JOSEPH POMBE MAGUFULI ) a.k.a TINGA TINGA , MZEE WA KUTUMBUA MAJIBU.

Nilisafiri umbali mrefu sana, njiani nilikutana na mswaibu mengi lakini sikukata tamaa. Na hata mara baada ya kufika CHATO...haikua rahisi pia kwenda straight kuliona kaburi lake. Lakini at the end niliruhusiwa kwenda kuliona.

Kilichonikuta na kunitokea nikiwa ndani ya nyumba lililomo Kaburi la SHUJAA WETU siwezi kukielezea publically.

But naweza kukuhakikishia...HE WAS, HE IS AND FOR EVER HE WILL BE

[emoji146] THE KING OF THE LEADERSHIP AUTHORITY [emoji146]

NOTE: Huwezi kamwe kuwa Mzalendo AFRIKA na TANZANIA bila kuzifuata nyayo za JPM. Huyu ndiye Kiongozi pekee barani AFRIKA na TANZANIA , aliyeweza kuzifuata nyayo za watangulizi wake na kuzivuta ...tena kwà umbali mrefu sana.

WARNING: Kama unataka kuharibikiwa kwenye maisha tafadhali usijiingize kwenye mkumbo wa kuzibeza jitihada za JPM, kumtukana au kufanya utani kwa kulitaja jina la JOHN JOSEPH POMBE MAGUFULI. Kiufupi, ni kiwiliwili chake tu ndio hatunacho, lakini bado yupo na anaishi katikati yetu.

Angalisho: Sijawaandikia ili kuwapa hofu, woga, wasiwasi au mashaka ...I have written what I know and testified to what I have seen. Maisha yako ni jukumu lako.

Wenye macho na waone na wenye masikio na wasikie.

"MUNGU IBARIKI AFRIKA , MUNGU IBARIKI TANZANIA".
Umeandika kwa hekima sana yenye ufunuo toka kwa Mungu wetu aliye hai. Hakika kila ambezae au kumdhihaki Dkt Magufuli malipo yake ni hapa hapa duniani, Mungu atulinde tutashuhudia mengi sana siku za karibuni.
 
Ndugu zangu, Nawasalimu kwa Makabila yote, kwa Lugha zote na kwa dini zote! (Umoja wetu ni nguvu yetu)

Mimi pia ni miongoni mwa watu waliopata bahati na nafasi ya kwenda kuhiji jana tarehe 17.03.2023 kwenye kaburi la aliyekua RAIS WA AWAMU YA TANO (Mhe. Dr. JOHN JOSEPH POMBE MAGUFULI) a.k.a TINGA TINGA, MZEE WA KUTUMBUA MAJIBU.

Nilisafiri umbali mrefu sana, njiani nilikutana na mswaibu mengi lakini sikukata tamaa. Na hata mara baada ya kufika CHATO, haikua rahisi pia kwenda straight kuliona kaburi lake. Lakini at the end niliruhusiwa kwenda kuliona.

Kilichonikuta na kunitokea nikiwa ndani ya nyumba lililomo Kaburi la SHUJAA WETU siwezi kukielezea publically.

But naweza kukuhakikishia HE WAS, HE IS AND FOR EVER HE WILL BE [emoji146] THE KING OF THE LEADERSHIP AUTHORITY [emoji146]

NOTE: Huwezi kamwe kuwa Mzalendo AFRIKA na TANZANIA bila kuzifuata nyayo za JPM. Huyu ndiye Kiongozi pekee barani AFRIKA na TANZANIA, aliyeweza kuzifuata nyayo za watangulizi wake na kuzivuta, tena kwà umbali mrefu sana.

WARNING: Kama unataka kuharibikiwa kwenye maisha tafadhali usijiingize kwenye mkumbo wa kuzibeza jitihada za JPM, kumtukana au kufanya utani kwa kulitaja jina la JOHN JOSEPH POMBE MAGUFULI. Kiufupi, ni kiwiliwili chake tu ndio hatunacho, lakini bado yupo na anaishi katikati yetu.

Angalisho: Sijawaandikia ili kuwapa hofu, woga, wasiwasi au mashaka. I have written what I know and testified to what I have seen. Maisha yako ni jukumu lako.

Wenye macho na waone na wenye masikio na wasikie.

"MUNGU IBARIKI AFRIKA, MUNGU IBARIKI TANZANIA"
Watu waliumizwa na kuteswa sana na wewe hujue haya mambo. Waache watu waseme ya moyoni, hakuna anayemchukia jpm bila sababu, tena wapo wengi wanampenda bila kujua wanapenda nini.
 
Hawa wanao mpopoa yesu kristo 😊🤓
Hawata shindwa ku mpopoa the late legendary JPM
 
Watu waliumizwa na kuteswa sana na wewe hujue haya mambo. Waache watu waseme ya moyoni, hakuna anayemchukia jpm bila sababu, tena wapo wengi wanampenda bila kujua wanapenda nini.
Ni suala la karma. Huwenda walipata mateso kutokana na matendo maovu waliyoyatenda hapo awali. Na tena wakaendelea kuishi kwà mazoea bila kujali Uongozi wake. Au wengine waliishi vyema kabisa kwà kutii mamlaka lakini awali waliifanyia makosa.

Yeye alikuja kuzirekebisha na kuzisimamia SHERIA, kanuni, taratibu na Miongozo kwà kutumia Busara, Hekima ,Utashi na UTU. Alitaka kila mmoja wetu aishi kwà haki na tena kwà kutembea kwenye BARAKA au riziki yake.
 
Back
Top Bottom