Mm nilibahatika kupata msebule!Je ni kweli kuna member wenzetu wamefanikiwa kupata wachumba humu Jamii forum? na kama wapo tunaomba ushuhuda.
mimi nlmpata kihubaJe ni kweli kuna member wenzetu wamefanikiwa kupata wachumba humu Jamii forum? na kama wapo tunaomba ushuhuda.
Wewe bado eeh?Ndio, wapo
Funguka vuzuriNi kweli. Shuhuda Mimi hapa
He he me nimeshawolewaWachumba ni wengi tu mkuu! akina Mzigua90 Shunie Jolie Jolie na wengine wengi, Inategemea na criteria zako tu
MhNi kweli. Shuhuda Mimi hapa
Tia neno kidogo.... afu siku una kiburi ukiitwa huitiki!
Hongera kwa kuwa na mchumba uliniita wapi tenaTia neno kidogo.... afu siku una kiburi ukiitwa huitiki!
Hatar sana ,,, Kihuba?mimi nlmpata kihuba
Sijaona pete kidoleni bwana..He he me nimeshawolewa
JiongezeeNa je kama wapo mbona mimi sijapata?
Nawewe ni mchumba mmoja wapo.. aminNdio, wapo
Nakutumi pic pmSijaona pete kidoleni bwana..
Okay sawa, ya kufoji ninaijua lakini 😎Nakutumi pic pm