USHUHUDA: Waliowahi kupata wachumba JF

USHUHUDA: Waliowahi kupata wachumba JF

rugwebe78

JF-Expert Member
Joined
Aug 25, 2013
Posts
265
Reaction score
78
Mimi ni msichana bado sijaolewa, kabla sijasema kama natafuta mchumba au la, naomba kuuliza kama kuna aliyewahi kupata mwenzi humu na wapo wanaishia vizuri.
 
Mie nimewahigi kuwasikia watu wkitoa shuhuda zao kule Love Connect...ko wapo.........

Jaribu na wewe...Who Knows my dia
 
Nje ya JF kuna watu mamilioni umekosa, utapata hapa? all the best
 
Wachumba humu wamo wanaotafuta huwa tunawasaidia, ila baada ya kupata huwa hawaji hata kuleta shukrani, sasa wew tangaza nia watu waje alafu ndio tutajua..
 
inawezekana ila kama we ni mwanaume uwe umejipanga kimaisha usiwe choka mbaya /kabwela /mwanaume suruali.

ukiwa umejupanga inawezekana lakin ukiwa kabwela usijisumbue.

kwa wewe kwa vile ni msichana watajitokeza wengi ila uchague ambaye yuko sahihi, achana na wale watakaokimbilia kukuomba papuchu.

deal na mtu serious usiwai kugawa
 
mimi ni msichana bado sijaolewa, kabla sijasema kama natafuta mchumba au la, naomba kuuliza kama kuna aliyewahi kupata mwenzi humu na wapo wanaisha vizuri.

u better be smart ili upate the right man
ila wapo Waliobahatika
 
Kwa haraka haraka inaonekana hakuna ama kama wapo, basi ni wachache sana. Kila anayekuja anasema amewahi kusikia.Umefanya vema kutaka wahusika watoe ushuhuda.
 
Cc: Kaizer na mabazazi wengine.
 
Last edited by a moderator:
Huku ni sawa na karata tatu .............. ukipata kekundu umeliwa.
 
mimi ni msichana bado sijaolewa, kabla sijasema kama natafuta mchumba au la, naomba kuuliza kama kuna aliyewahi kupata mwenzi humu na wapo wanaisha vizuri.

Wapo baadhi ya members waliopata wachumba hapa hapa JF, na wanaishi vizuri tu.
Binti rugwebe78, wewe binafsi unaweza kupata mchumba hapa JF, still ukashindwa kuishi naye vizuri. Suala la ndoa linategemea mambo mengi tu.
 
Last edited by a moderator:
Im sorry to say this. Mtu anayekuja kutafuta mchumba humu awe mwanamke au mwanaume lazima atakuwa na matatizo, tena makubwa. Haiwezekani watu woooote hao unaokutana nao mtaani, maofisini, na sehemu mbalimbali ushindwe kujenga uhusiano, halafu ufikiri kuna magic partner utampata kwenye mtandao.
 
Back
Top Bottom