Mkuu kama unaweza nieleza uvumilivu na imani kikomo chake ni kipi itakuwa vizuri.pia sijaja kutangaza hii meditation na mifano yake nimeifahamia humuhumu jf sio kosa kuiulizia hapahapa jamvini. Self discipline unayoizungumzia ni ipi? Kutaka kuifahamu viziri hii meditation?makosa yako
1)"Nimejaribu"
2) umekuja kutangaza humu
3) huna uvumilivu/imani
NB: you lack 'self di
scipline'
Ukiwasoma akina Pasco,Rakims na Mshana jr, unaweza kuona kama kunamanufaa ila kiukweri mpaka sasa sijaprove kitu.Its bullshit you're just wasting your time, omba Mungu, ingia chumbani kwako piga magoti, mweleze Mwenyezi shida yako atakupa unachotaka... Meditation!?? Bullshit
Meditation inafaida kubwa sanaaa katika kimwili kiakili na kiroho pia.....kwa kufanya meditation unaweza pata solution za vitu mbalimbali katika maisha endelea kufanya meditation mala kwa mala at least mala mbili kwa siku...
Una hakika gani kuwa hiyo unayofanya ni meditation labda unakosea je???
Una mwalimu aliekuongoza siku za mwanzoni au unafanya tu mwenyewe??
Ulitegemea kupata faida gani??? (Pesa au??) maana kulingana na swali lako ni kama ulitegemea kupata kitu flani mara tu ilipoanzia kufanya taamuli.
Pia faida kubwa ni kujitambua sasa we kulingana na huu uzi wako ni kwamba bado hujajitambua.... Unahitaji kujitambua zaidi mkuu ili niweze kupata faida za taamuli kimwili na kiroho pia.
Senior boss, kwa mujibu wa waliotoa hizi mada za meditation au ukifuatilia mitandaoni, hii kitu imeanzia hukohuko kwa wenzetu
Siri ya utajiri ni kazi ( working smart ) na ubahili baaas. Hakuna uchawi, miujiza, sijui meditation wale dada yake nani.
Aisee umenivunja mbavu, ila sijasema nataka utajiri.Ninachotaka ni wale waliofaidika nayo ndiyo wanieleze ili nami nifaidike na maelezo yao. Manufaa sio lazima upate pesa nyingi.
Yawayo mafanikio yoyote, iwe pesa,iwe vipawa mbalimbali au hata ule utofauti tu waliouna kabla na baada ya meditation