Ushuhuda wa tukio la ushirikina mjini kigoma

Hadi huku aisee..
TCRA hawana meno wameamua wawashike makalio sasa.
 
Tangazo la kifala sana hili.
Sisu sio washirikina bwege wewe.
 
Toa upuuzi hapa familia ya dewji wametangaza bilioni 1 muoneshe alipo MO mmeshindwa unatujia na ngonjera hapa. Mtawapata mafala tu.kwendraaaa..
 
F. KINGSLEE hakufanikiwa kupata mteja hata mmoja kutoka JF kwani walimshtukia mapema na mbinu yake ya kizembe

Habar zenu Wadau

Juzi shoga yangu alifukuzwa kazi hapa tukaelekezwa na rafiki yangu kwa Mzee Kingwele anaishi mpakan na CONGO.

Tulipatiwa huduma pale siku nne tuu.
Siku ya pili na ya tatu tulivyokwenda nikashuhudia folen kubwa sana ya watu wenye shida mbali mbali ila idadi kubwa ni wanawake.
Tukiwa pale kulikuwa na mteja mmoja ndio alikuwa anahudumiwa na babu.
Ndipo kwa mara ya kwanza kuona Babu akivuta Msukule kupitia Mitambo yake
Ndugu wa yule Mgonjwa walilia sana kwa furaha.
Ikawa sasa babu anahangaika na Madawa ili amrejeshe vizur akili yake aweze kuongea.
Wakat tupo pale baadae Nikaona tena wagonjwa wengine wakitoa shukran zao kwa kumpa Babu zawad.
Nilijaribu kudadisi kwa Wajukuu zake nikaambiwa
A) Mzee Mangi alikuwa na Kesi ya kuua lakin File la kesi yake lilipotea hivyo kesi ikafa na yule Afande aliyeshika kesi amepata Ajali amelazwa hospital..

B) Mama Omar alifanikiwa kurudiana na Mume wake aliyemtelekeza takriban miaka mitano
Mama huyu alihudumiwa na babu kwa siku saba tuu

C) Ustadh Hussen nae alifanikiwa kupata Utajiri kwa njia nyepesi bila kuua binadamu bali kuchinja Mbuzi mmoja kwa mwaka kila tarehe ikifika

D) Nikaona .......
akimkabidhi babu Solar baada ya kufanikiwa Kuua ndugu....... Aliyekuwa akimsumbua sana.

E) Mama Zuwena alitoa sh.... Ya shukran kwa Babu baada ya Mgahawa wake kujaza wateja sana na chakula hakilali hivyo dawa ya Mvuto wa biashara iliyochanganywa na ..... ilifanya kazi vizur..

Note: Shoga yangu nae alirudishwa kazin baada ya wiki moja na hivi sasa tupo Dar tumechukua likizo angalau tubadilishe mazingira...

Kiufup huyu babu ana wajukuu zake ambao ndio huwa anawatuma kuchimba Dawa na anachanganya na Vizimba na Mambo mengine anayoyajua yeye...

Mmh! najua kuna watakaotoa Povu ila uhalisia ni kwamba Uchawi/Ushirikina Upo na watu wanapata huduma mbali mbali wanafanikiwa ila watakaosema UCHAWI haupo basi hao hawajapata Matatizo.
Namba za huyo babu
(+255678134718) kwa ufafanuzi zaid...
 
Hapa napo watu na akili zao wanaweza anza kumpigia huyu kanjanja! Mkuu wakikupigia wapige pesa ndefu maaana watakuwa hawana marinda hao.
 
Shiriki
 
Hapana niliwauliza wajukuu wake siku ya pili na ya tatu wakati tunapatiwa huduma ili nipate kujua Uhalisia wa mambo ulivyo
Yaani umefika tu ukajua majina ya wagonjwa wote na jinsi walivyohudumiwa..
Trash
 
Hahaaaaa mtoa mada anakataa kama sio tangazo halaf kajisahau kumbe uzi kaweka kwenye jukwaa la "MATANGAZO MADOGO MADOGO"
 
Badala ya kuwapa dawa mrudishwe kazini kwanini asiwape dawa ili mmiliki makampuni yenu wenyewe?

Alafu ile bilioni moja ya Mo Dewji hamkuisikia, au mganga wenu yeye anataka solar tu?

[emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]

Huwezi amini kuna watu watapigwa hapa kishamba kabisa!

Ha ha ha ha ha ha ha, wapo wengi sana watapigwa humu humu.
 
Back
Top Bottom