Musundi
JF-Expert Member
- Dec 21, 2016
- 1,583
- 2,600
Ukitaka kuwasaidia wanaume wenzio weka formula hadharani na condition zake. Kila mtu atachangua inayomfaa kwa hali yake. Sorry lakini kwa kuingilia yasiyonihusu. I'm just concerned na hali hi maana hata mie iliwahi kumpata mtu wangu sometime japp sijui kama ilikiwa sababu ya mustab . It's really frustating.Ndugu zangu mm nimeamua kujitolea bure kwa ushuhuda nilionao katika vitu nine experience ni kwamba haya ni kama maradh mengine ya stim ama ya spital huwez kumpa ARV mgonjwa wa HIV aloathirika kwa hatua mbaya utamuua huwez kumpa Dawa muathirika was Dawa za kulevya huko soba aloathirika sana utamuua mm nawapenda ndugu zangu mm sijui we umeathirika VP wengine ndo kwanza hata hausinyai uume anawah tu kukojoa nikimpa formula kubwa atachoka jaman musinitukane nafanya hivi kama ahadi yangu nimefatilia haya matibabu binafsi kwasababu najuabsio wote wana pesa wengine wanauza izi formula mm niliambiwa laki 3 jaman msinitukane kwaio mm naiandika hio formula ili musinilaumu hadi SAA 2 itakua nishaieka asanteni
Sent using Jamii Forums mobile app
Sent using Jamii Forums mobile app