Shuhuda za namna watu walivyopona tatizo la upungufu wa nguvu za kiume

Hongera Mzee Baba nakuongezea nondo....asipokimbia na kuacha chupi sijui...

At least kwa wiki mara tatu....chukua maziwa blend na tende weka na asali kijiko kimoja. Tende ina vitamin nyingi sanaaa hasa potassium ambayo inaongeza stamina..

Na masaa machache kabla ya game blend kipande cha tikiti..mix na tangawizi mbichi ambayo umesha itwangwa huo mchanganyiko usiweke maji wala sikari....kunywa.

NB: Ninefanya haya mambo ndani ya wiki moja kabla sijakutana na mrembo, baada ya game amenisifia balaaaa.
Ni kweli mkuu; mi nachoka mwenyewe kukaa kifuani
 
Bado unajiboost, viagra ni viagra tu either iwe ni ya nyumbani au ya wamasai...kwaio bila tangawizi, garlic, asali sijui na maziwa huwezi kula show?

Ni kweli wewe ni ndivyo unavyokula...virutubisho unavyo vipata kwenye hizo boosters unaweza kuzipata sorce zingine.

Hupaswi kukamia, kuchagua au kutegemea aina fulani za milo, kula vyakula mbalimbali tena vya kawaida. Magnesium na zinc zinazopatikana kwenye hizo boosters pia zinapatikana kwenye vyakula vya kawaida.

Kama tatizo ni anxiety na depression, kuna njia za kukabiliana nazo na kama tatizo ni mzunguko wa damu zpo njia nyingi za kufanya ili kumaliza tatizo.

Matunda yana sukari pia na wanga ni sukari....usituambie umeacha wanga, tuambie umemodify wanga ili kuongeza na vitamin 'c'
umenifanya nimkumbuke Ally Bakari aliyedai kajirekebisha kwa kuacha kunywa gongo na kuanza kunywa konyagi.

Kula vitunguu swaumu na tangawizi sini mateso?

Satan
Hayajakukuta mkuu. Subiria 40 plus ukifika ndo utajua nini maana ya kusimamisha dushee.
 
Mtu yoyote ambaye damu inazunguka vizuri mwilini mwaka hawezi kusumbuliwa na tatizo la nguvu za kiume hata kama hajiamini/ hana imani...tatizo likikutokea ndo unapoteza ujasiri hata hamu ya kukutana na mwanamke una kosa

Mkuu achana nao hao wengine, Tatizo ukiwa hujawhi patwa na hilo tatizo unakua na maelezo mengi yakubomoa wenzio.
 
Unachokisema ni kweli mkuu. Kulikuwa na jamaa alikuwa anasumbuliwa na hilo tatizo mzee mmoja akashahuri atumie asali na kitunguu saumu kwa sasa jamaa anasema mambo safi na ana mke na watoto.
 
Kiukweli sijawahi tumia asali ya nyuki wadogo, ila cha msingi badilisha ratiba yako ya kula ili kupata matokeo unayoyataka. Asali kabla hujala chochote asubuhi..mchana na jioni kabla ya kulala, usisahau package ya matunda na tikiti maji kama unaweza kupata tangawizi na kitunguu saumu tumia.

Acha kabisa matumizi ya nyama ya ngombe/mbezi nk
Tumia maini/mayai/karanga/korosho/maziwa/maindi kuchoma/ Dona/wali/njegere/maharage
Usikubali kujilimbikizia wanga kwenye mwili wako mkuu kama unaweza kuepuka epuka

Ndani ya mwezi let'a mrejesho mkuu

Mkuu mabadiliko umeanza kupata au kuhisi baada muda gani?
 
Mkuu tupe izo njia za kumaliza ilo tatizo la mzunguko wa damu.
Kula vizuri, balanced diet
Kuepuka vyakula vyenye sukari na mafuta mengi
Kuepuka matumizi ya sigara
Kuepuka vinywaji vya baridi sana
Kupata usingizi wa kutosha n.k
 
Habar ndugu zangu shkamooni wakubwa kiukweli mm. Nilikua mmoja kati ya wanachama wa (CHAPUTA) nilishiriki tangia 2010 kipindi nipo form 4 na kueza kuacha rasmi mwezi wa 6 mwishon mwaka huu 2018

Kiukweli nilikua mtumwa kwa kipindi. Chote nilifika kipindi hata Mara 3 kwa siku nafanya nilikua memba wa porn sex zote na ukizingatia wanawake nilikua nao ila nilikua sina hata ham nao na nikimis sex ni lazima nianze puunyeto wakat dem yupo njian ata nikianza nao mm nakua natafuta bao LA pili na mechi wanaisoma

Niliendelea na huu mchezo hadi nilipoamua kusema nauacha hapo sijaona madhara yoyote zaid ya mwili kuchoma kuumwa kichwa mgongo ila hata hivo nilishindwa nikarudia kwasababu ugonjwa huu kwangu sikuweza kupisha nikikaa camp akipita mdada anavutia mm nyeto Instagram gigy kakaa uchi nyeto

Kiufup utumwa huu uliniathir mno nikaamua kuacha tena kwa Mara ya 2 hata week sijafika nikioga sitok nikill mafuta hata mate tu mm najirizisha

Sasa imefik kipindi nimeamua kua na mchumba adi nimeposa na nikaacha wanwake wote still nyeto sikuacha

Sasa hapo nikawa nishaanza kuona athari maana nikionana na mchumba wangu nafika kileleni sekunde tu na siwez simamisha tena na ikisimama ndan ya uke husinyaa aibu ilioje kwa Mara ya kwanza nikasingizia nimechoka Mara nyengine Yale Yale kwaio nikatunga uongo wa kudumu kua naumwa na manyama kwaio akaamini kwasababu magonjwa ya manyam yanajulikana kua misuli ikikaza huwez kusimamisha wachezaj mpira wanayajua hali hii ndo ikasababisha niache puunyeto kwakuogopa aibu na ukiZingatia naingia kwenye ndoa soon

Nikaamua kuacha huu ujinga nikaanza kutafuta Tiba mitandaoni maana ni ngumu kumhadisia MTU ndio nikaona post nyingi zinazohusu nguvu za kiume zinatoka humu jf nikaamua kujiunga na kusoma tiba ata ukiangalia lini nimejiunga utaona kama mwezi

Nilipata madoctor wengi wa maela mengi nikajarib kuongea nao ata punguzo ila ikawa ngumu basi nikaona nifate maelekezo ya baadhi ya page kula matunda mbogamboga na kufanya mazoez ya viungo bila kusahau mazoez ya kengel Yale yakubana mkojo

Huwez amin nikaanza kijiskia tofaut na nilistope sex kama week 3 nafanya mazoez na nilimueleza mchumba wangu kua nafanya mazoez ya manyama. So kaelewa nimeliza juzi baada yakujiona tofaut nikasema. Nisex

Aaaah mungu mkubwa sasa kazi imekua kubwa kwa mchumba haelew zaid ya kusema baby umepona

Saiv ni zaid ya mwanzo nasimamisha bila ya kuchoka uume umerefuka na una nguvu tele nachelewa kukojoa na nainjoy

Jamani puunyeto ni mbaya tuache wanaoendeleza na waloathirika njoo inbox nikupe formula ya matunda na mazoezi no bureeeee asanteni

Sent using Jamii Forums mobile app

PIGA mechi na Mdada wa humu jf then atuletee uthibitisho humu ndio tutaamini kama kweli upo kwenye form
 
Ningekua na nia ya pesa nisingesema bureeee na kujua wingi wa wapiga nyeto hapana ila ukweli hata nikasema inbox naweza weka formula ila wengine isiwasaidie kwasababu si matunda yote yanaponesha MTU akija inbox ataniambia VP yeye anahisi nijue formula gan nimpe naweza eka formula ikakusaidia we mwengine ikamzuru na siwez eka aina zote za formula cm yangu inasumbua touch

Sent using Jamii Forums mobile app
Hapo kwenye .....naweza kumpa mtu formula ikamdhuru, unatudanganya aisee. We ni kanjanja na una nia fulani kuwapeleka watu inbox. Kama ni tiba ya mchanganyiko wa matunda itamdhuluje sasa? Au unachanganya na sumu kidogo, LOL

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom