The Icebreaker
Platinum Member
- Apr 24, 2014
- 34,348
- 103,627
Ni kweli mkuu,ujumbe ni mzuri sana,tuchukue tahadhari sana!lkn ina ujumbe mzuri
Mtu unaweza kujikuta unaharibu mustakbali wa maisha yako yote kwa starehe ya madakika tu!
Ni kweli mkuu,ujumbe ni mzuri sana,tuchukue tahadhari sana!lkn ina ujumbe mzuri
kabisaNi kweli mkuu,ujumbe ni mzuri sana,tuchukue tahadhari sana!
Mtu unaweza kujikuta unaharibu mustakbali wa maisha yako yote kwa starehe ya madakika tu!
Endelea kumuomba Mungu mkuu ili aendelee kukulinda na atulinde binadamu sote,kwani juhudi zetu zinategemea pia ulinzi toka kwake.Kwenye huu uzi kunaweza kuwa na mwathirika ambaye anamficha mwenzie na wanamegana bila kinga, kama upo tafadhari kuwa na huruma na okoa maisha, utaenda mahali salama peponi.
Binafsi niwe mkweli napata awareness za huu ugonjwa na mafunzo toka kwa waliokumbana na huu ugonjwa kwa kujua au kuyokujua zaidi kupitia JF kuliko sehemu nyingine yoyote. Shukrani jf ni kwa kiasi niko makini, kuupata huu ugonjwa kupitia ngono zembe sidhani kama itatokea.
Kwahiyo huwataki tena wa mitandaoni?lkn ina ujumbe mzuri
ndio uinywe sasa""hii chai.
hahahaa hahahaaa" imenibidi nicheke wallahi"..Kwa hiyo mkuu unamaanisha mpaka mda huu umeunganishwa na stigllers gorge
wa mitandaoni ndio hawa wa barabarani na majumbani, huwezi kusema huwataki....point hapo ni kuwa makini.Kwahiyo huwataki tena wa mitandaoni?
VP lkn afya yako kijana......umeshaanza dawa?
Umejibu vyema!wa mitandaoni ndio hawa wa barabarani na majumbani, huwezi kusema huwataki....point hapo ni kuwa makini.

asante, habari yako!Umejibu vyema!![]()
![]()
![]()
Yaah kijana anaonesha kaadapt vizur condition yake. Kwa mwendo huo ataishi mda mrefu kdgokisaikolojia naona yuko okay,anajiona na yeye akiwa kaburini ndio maana kaposti hizo picha za makaburi..anajiona siku chache zijazo atakua mmoja wa waliopo hapo
Asante kwa ushuhuda mkuu,nimejifunza kitu kikubwa sana kwa huu ushuhuda,Mungu atulinde maana kwa akili zetu pekee hatuwezi, majaribu yapo, mengine utatashinda ila kuna mengine unaweza jikuta umeshindwa,Neema ya Mungu ituongoze,pole sana mkuu."Yule alikua muathirika wa UKIMWI, nilishindwa kukwambia kwakuwa alikuwa ndugu yangu, ni vibaya kumtoa kasoro marehemu lakini nenda kacheck afaya yako"siku moja nilikuwa nasoma ujumbe mbali mbali kwenye magroup ya mahusiano huko whatsapp.
leo ni usiku mida ya saa 6 nilimkumbuka msichana mmoja ambaye nilikutana naye kwa bahati mbaya...
Ilikuwa ni bahati mbaya kukutana naye na jana ikawa bahati mbaya kukuta ukrasa wake ukiwa umepambwa na R.I.P nyingi...tena amefariki miaka 2 iliyopita.
nilihudhunika sana kugundua kuwa huyu msichana hivi sasa ni marehemu.
View attachment 839457
JINSI TULIVYO KUTANA
Kuna msichana mmoja kiukweli alinivutia sana, alikuwa anazungumza mambo bila kificho. Alikuwa mrembo haswa. Katika kuchangia mada ndani ya lile group mimi na yeye tulitokea kuelewana sana, urafiki wetu wa ghafra uliza kukutana, baada ya siku tatu mtoto huyoo chumbani kwangu nilimvua nguo tukapeana mambo kisawasawa (Mungu amsamehe na anisamehe sana).
Alikuwa anajua mapenzi sana lakini nilivyo mgeuza mgongo staili ile ya Mbuzi kagoma kwenda (dog) mgongo wake ulikuwa na vipele viwili vitatu nikakumbuka kauli ya mwalimu wangu wa biology kuhusu dalili za muathirika wa ukimwi kuwa ukitumbua kipele cha kawaida huwa kinatakiwa kitoe maji maji lakini kipele kikitoa damu hapo shituka, niliendelea kungonoka na huyu manzi lakini nilimtumbua kipere kimoja pale mgongoni kwake kikatoa damu (nyeg.e bwana wala siku shituka ndio kwanza nikaendelea kumsokomeza ududu mtoto wa watu na yeye hakuwa nyuma kwa kilio cha mahaba na mauno)
Tuliendelea kuwa na urafiki wa kawaida kisha mimi na yeye tukapotezana
Inaendelea......
View attachment 839464
Tulipotezana hadi jana nilipo ona ujumbe mbali mbali za majonzi kwenye ukrasa wa yule msichana juu ya kifo chake kilichotokea miaka miwili iliyopita.
View attachment 839449
Nilihudhunika sana, nikaamua kutafuta ndugu wa marehemu mmoja ambaye nilikuwa na mawasiriano naye, ndipo akaniambia kuwa ndugu yake (huyo msichana marehemu) alikuwa Muathirika wa ukimwi, na aliurithi ugonjwa huo kutoka kwa wazazi wake ambao wote wamesha tangulia Mbele haki, akaendelea kuwa kabla ya kifo chake aliumwa sana hadi umauti ukamfika.
View attachment 839467
Ujumbe huo ulinihudhunisha sana lakini haUku niogopesha Kwani huwa napenda sana kupima afya yangu mara kwa mara.
KILICHO NIFANYA NIANDIKE USHUHUDA HUU.
nimeona watu mbali mbali wanatafuta wachumba kwenye mitandao ya kijamii haswa hapa JAMIIFORUMS...naomba niwakumbushe ndugu zangu ukimpata mchumba hakikisha unapima nae magonjwa ya zinaa.
Ukishindwa tumia kondomu.
Nyeg.e za siku moja inaweza kukuharibia maisha yako.
R.I.P HYNECY
Najua umetangulia kutuwekea nafasi wote njia yetu ni moja
Asante UBARIKIWE sanaAsante kwa ushuhuda mkuu,nimejifunza kitu kikubwa sana kwa huu ushuhuda,Mungu atulinde maana kwa akili zetu pekee hatuwezi, majaribu yapo, mengine utatashinda ila kuna mengine unaweza jikuta umeshindwa,Neema ya Mungu ituongoze,pole sana mkuu.
haaaahaaaaYaah kijana anaonesha kaadapt vizur condition yake. Kwa mwendo huo ataishi mda mrefu kdgo
Mimi nipo safi kabisa....sina virusi...Wewe hujatupa majibu ulivyopima maana umeleza vizur sana wewe vip