Ushuhuda: Tuache kutafuta mahusiano MITANDAONI

H
Ni ujinga wa hali ya juu kitafuta mtu jf

Yaani kwa mfano unaanzaje kuchart na mtu usie na uhakika ka ni mtu ama ni jini ha ha

Its better i die single kama mtaani nimekosa kuliko kutatuta jf.

Kiukweli mimi ni kati ya watu wachache wanaoogopa sana mahusiano mapya hasa kama mtu simjui vizuri.
Hao wa mtaani unajuaje kama ni watu au majini? Kwa taarifa yako, walioko mitaani ndio wapo mitandaoni!
 
Kabla hujazaliwa umepangiwa utakufa kwa ugonjwa upi? Sipotezi muda kuangaikia yalopangwa na mola.
 
Samahani,,, nimecheka sana hii picha ya jeneza linavyofukiwa fasta[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
tapatalk_1534579654459.gif
 
watu wanaelewa sana na wanajitahidi sana tatizo vi tight na vi super mini vinajua sana kubadilisha akili kuekekea wehu. labda tungekua na macho utosini ingesaidia, lakini binadamu alivyo mbishi nafikiri angeinama ili apate kushuhudia [emoji23][emoji23]
 
Ni ujinga wa hali ya juu kitafuta mtu jf

Yaani kwa mfano unaanzaje kuchart na mtu usie na uhakika ka ni mtu ama ni jini ha ha

Its better i die single kama mtaani nimekosa kuliko kutatuta jf.

Kiukweli mimi ni kati ya watu wachache wanaoogopa sana mahusiano mapya hasa kama mtu simjui vizuri.
hongera kwa hilo... Don't ever beleave any on
 
watu wanaelewa sana na wanajitahidi sana tatizo vi tight na vi super mini vinajua sana kubadilisha akili kuekekea wehu. labda tungekua na macho utosini ingesaidia, lakini binadamu alivyo mbishi nafikiri angeinama ili apate kushuhudia [emoji23][emoji23]
Nyege haina utani kabisa
 
Back
Top Bottom