Ushuhuda: Tuache kutafuta mahusiano MITANDAONI

kisaikolojia naona yuko okay,anajiona na yeye akiwa kaburini ndio maana kaposti hizo picha za makaburi..anajiona siku chache zijazo atakua mmoja wa waliopo hapo
haaaahaaa wazee wa kudadavua
 
Kwenye huu uzi kunaweza kuwa na mwathirika ambaye anamficha mwenzie na wanamegana bila kinga, kama upo tafadhari kuwa na huruma na okoa maisha, utaenda mahali salama peponi.
Pua wewe ndugu wa aliyeathirika, tafadhari mfahamishe huyo demu/ jamaa wa huyo ndugu yako kuwa ni muathirika. Utakuwa umefanya jambo la kijasiri sana kuokoa maisha ya mtu.
Kuna hii kasumba sikumwambia sababu mwathirika ni ndugu yangu.

Binafsi niwe mkweli napata awareness za huu ugonjwa na mafunzo toka kwa waliokumbana na huu ugonjwa kwa kujua au kutokujua zaidi kupitia JF kuliko sehemu nyingine yoyote. Shukrani jf. Na kutokana na jf niko makini, hivyo kuupata huu ugonjwa kupitia ngono zembe sidhani kama itatokea.
ungesoma ujumbe wote ungeelewa....ila asante kwa taarifa
 
"Tuache kutafuta mahusiano mitandaoni". Najaribu kujiuliza, hivi huwezi kukutana na mwathirika bar, barabarani, kanisani, kazini, beach na ukamtongoza na mkafanya yenu? Kwanini mnaisingizia mitandao? Mitandao ni sehemu ya kukutania kama zilivyosehemu nyngine bhana.
Utafikiri hawa wa kwenye mitandao wana Dunia yao sasa, kumbe ndo hao hao tunapishana mitaani.
 
Msingi wa hii mada upo kwenye Aya ya pili toka mwisho" inayosema UKIMPATA MCHUMBA MPYA HAKIKISHA UNAPIMA NAYE MAGONJWA YA ZINAA " UKISHINDWA TUMIA CONDOMS "...

mimi nadhani tulipaswa kujikita hapa zaidi" na sio kwenye" ubishi wa watu" wanaotumia" mitandao" wanatoka huko" huko mitaani"... kwahiyo kama wanatoka mitaani ndio hawastahiki kupimwa afya zao" ama kuzingatia matumizi ya protection dhidi yao""?!!!...... Yaelekea humu sehemu kubwa ya members wa humu ni washirika wa mapenzi ya mitandaoni", mimi sioni kwamba hilo ni jambo baya",.... lakini tunapaswa kuzingatia ushauri wa mtoa mada" kama tuna desturi ya kupima na watu ambao tuliwapata uraiani" basi wembe unapaswa kuwa ule ule wakupima nao wale wapenzi wetu tunaowapata mitandaoni".. it doesn't matter eti na wao wanaishi mitaani", ndio wanaishi mitaani but makutano yetu yamepatikana kwenye mazingira tofauti na mtaani". ..... tuzingatie hayo bandugu " na sio kuanza kubishana bishana" tu ... au hamtaki kupima nini""? kwakuwa mnajijua kuwa mmeshaupata stigllers gorge...so mnataka muwapate wakuwaambukiza ""!!!!
 
Nijuavyo mimi HIV virus huwa ana life cycle za aina mbili ya kwanza inaitwa lytic na ya pili inaitwa lysogenic cycle. Kwa wale waliopiga MD wanajua hii kitu.(na wanaficha )

1.LYTIC CYCLE
Huu ni mzunguko wa muda mfupi mno wa kirusi kuanzia kilipoingia ndani ya mwili wa mwanadamu na hapo huweza kuchukua muda mchache kabla ya kuanza kujigawa na madhara huanza kuonekana mapema mno.

2.LYSOGENIC CYCLE
huu ni mzunguko wa muda mrefu ambapo kirusi huchukua hata miaka 10 mpaka kuja kuanza kuleta madhara kwa mara ya kwanza na sababu kuu huwa kinaweza kuingia ndani ya cell na kisha kika ungana na Nucleus ya muhusika kisha kikawa in active yaani kikawa kinajigawa na cell husika na cell ikifa baadhi hubaki baadhi hutoka sasa ikitokea either umekula vyakula vya chemical au uko exposed kwenye x-ray hivi virusi hupata energy ya kutosheleza na kuamka sasa hapo ndipo hushambulia mwili kwa spidi kubwa ila max miaka ya kuamka ni 10 years lazima viamke .
N.b
KINACHOMUUA MUATHIRIKA WA UKIMWI SIO KIRUSI BALI NI MADAWA NA STRESS KIRUSI HUSHUSHA KINGA YA MWILI HIVYO KUACHIA MWANYA KWA MAGONJWA MENGINE YALIYOKUWA TAYARI NDANI YA MWILI AU YAKE YA NJE KUKUSHAMBULIA KWA MUDA MFUPI MNO NA KUKUMALIZA :
 
Asante....hii ndio point ya muhimu
 
Oh...kumbe...
 
Pole sana ndugu,ila please ukianza kukooa na homa za mara kwa mara nijulishe,ninatengeneza na majeneza mazuri ya kisasa kabisa, hivyo nakutegemea mno Mkuu,usiniangushe
 
Back
Top Bottom