Mimi huwa nawashangaa sana wachangiaji wa humu JF hasa hawa pro-CHADEMA,najiuliza upeo wao ni mdogo au ndo athari za secondary na vyuo vikuu vya kata! Mtu mzima povu linakutoka kuhusu habari ya kitoto kama hii ! hujiulizi hata maswali ya msingi kama credibility ya source ya habari yenyewe then u - establish authenticity ya habari yenyewe! Ni hatari sana kwa Chama cha Siasa kushabikiwa na VILAZA na chenyewe kuvimba kichwa kwamba kinaelekea "kuchukuwa" Nchi! Kwa taarifa yenu CCM sasa ni Imara kuliko mnavyofikiri na vichwa vidogo kama vya Panzi ninavyoviona kwa hawa pro- CHADEMA hawawezi kamwe kuiondoa CCM madarakani."the bitter truth which you have no option but to swallow!"