Ushuhuda: Namna CCM inavyofanya ugaidi nchini

Ushuhuda: Namna CCM inavyofanya ugaidi nchini

Mnajua kujipa matumaini.
Hicho ni kiapo na ccm hawajawahi kukanusha.

Hakuna jipya, mnapenda kutunga uongo bila kufanya homework. Ni kitu gani kinachoyafanya maandishi katika document hiyo kuwa authentic? Hayo ni maandishi tu ambayo mtu yeyote anaweza kuyaandaa bila wasiwasi na akawaeleza watu kuwa ameletewa na watu fulani kutoka kikosi cha siri cha CCM au hata Chadema.
 
Alichosema huyu kijana ni kweli tupu. Busanda walibadilisha masanduku ya kura. Dereva taxi aliyebeba kura "ready made" toka Mwanza alinieleza kwa mdomo wake. Vivyo hivyo dereva wa gari ya serikali aliyebeba za Igunga alinithibitishia hayo. Ni jirani yangu yupo ofisi ya Pinda mpaka leo hii. Ni Shiiidah!
 
Aliyoyatunza Nape Mnauye moyoni ni maangamizi mazito kuliko yale anayoyaongea dhidi ya upinzani, Hizi propaganda za kuokoteza okoteza ni madogo kuliko mipango iliyopangwa ikashindwa kutekelezeka.
 
images
images
Z

CCM NI SAWA NA ALISHABABU HAPA TZ
 
Naona leo mmeendeleza uuaji wenu huko Ludewa...haya yana mwisho
 
Alichosema huyu kijana ni kweli tupu. Busanda walibadilisha masanduku ya kura. Dereva taxi aliyebeba kura "ready made" toka Mwanza alinieleza kwa mdomo wake. Vivyo hivyo dereva wa gari ya serikali aliyebeba za Igunga alinithibitishia hayo. Ni jirani yangu yupo ofisi ya Pinda mpaka leo hii. Ni Shiiidah!
Duh! Noma sana !
 
Umasikini umeingiza vijana katika kazi ya hatari sana .

Inatakiwa ujitambue haswa kwa sababu CCM ndiyo wanaowajazia huu umasikini hawa vijana ili akija akipewa buku7 @ day na kibastola basi anaona amepata ajira ya kweli.

Hii mikoa ambayo bado iko nyuma tuna safari ndefu kidogo ya kuikomboa kifikra kutoka ktk utumwa wa dhalimu CCM
 
Back
Top Bottom