USHUHUDA:Kuhusu kupima HIV/AIDS

PAZIA 3

JF-Expert Member
Jan 30, 2018
1,067
1,827
Nimeishi zaidi ya miaka 4 nikiwa na hofu ya kuambukizwa virusi vya Ukimwi,ila tangu nilipopimwa,nimekuwa na amani sana moyoni,haswa pale nilipoambiwa afya yangu iko salama,sitasahau wasiwasi nilioishi nao kwa kipindi chote cha miaka 4, jamani,tupime afya zetu tuwe huru
===
Hii inatokana na aina ya maisha niliyopata kuishi,nimeishi visiwani,nikashiriki ngono bila kinga, lakini pia niliwahi shiriki denda na demu ambaye aliniambia kuwa ni mwasirika wa ukimwi,ambaye alinihurumia kuniambukiza,ila akaishia kunipa kiss,tangu hapo mpaka naoa,niliishi kwa wasiwasi sana,mpaka mke wangu anapata ujauzito,wasiwasi ukaja kuhusu kwenda klinic,ila namshukuru Mungu tulikutwa tuna afya nzuri,siku hizi nalala kwa amani tena mpaka nakoroma,maana mh,niliteseka sana,jamani tusiogope kupima,ukipima unakuwa huru
 
Mimi sijui kama nitapima manake naona siku nikienda kupima huyo nurse, nahisi kama ndie atakae nipiga sindano ya ukimwi. Halafu nisha gegeda wadada wengi sana kama nyuki anavyo tengeneza asali kwenye maua.
 
Unaweza kuwa na wapenzi wengi ila ukawa salama,pima ndugu,uwe huru
 
"niliishi kwa wasiwasi sana,mpaka mke wangu anapata ujauzito"

Nimesikitika hapo tu, ulikuwa umediriki kumwambukiza mkeo sababu ya Woga wako?

Usiache kumshirikisha mkeo huu ushuhuda.
 
Nimeishi zaidi ya miaka 4 nikiwa na hofu ya kuambukizwa virusi vya Ukimwi,ila tangu nilipopimwa,nimekuwa na amani sana moyoni,haswa pale nilipoambiwa afya yangu iko salama,sitasahau wasiwasi nilioishi nao kwa kipindi chote cha miaka 4, jamani,tupime afya zetu tuwe huru
===
Hii inatokana na aina ya maisha niliyopata kuishi,nimeishi visiwani,nikashiriki ngono bila kinga, lakini pia niliwahi shiriki denda na demu ambaye aliniambia kuwa ni mwasirika wa ukimwi,ambaye alinihurumia kuniambukiza,ila akaishia kunipa kiss,tangu hapo mpaka naoa,niliishi kwa wasiwasi sana,mpaka mke wangu anapata ujauzito,wasiwasi ukaja kuhusu kwenda klinic,ila namshukuru Mungu tulikutwa tuna afya nzuri,siku hizi nalala kwa amani tena mpaka nakoroma,maana mh,niliteseka sana,jamani tusiogope kupima,ukipima unakuwa huru
Mdau umenishangaza sana....Sasa wewe umefanya ngono zembe alafu unaleta ushuhuda!!!! Pili uliona ni sawa kumuambukiza mkeo...Duh hii kiboko!!!
 
Duuu! Kweli wewe ni kiboko walahukujali uhai wa mkeo
Mshirikishe mkeo usbuhuda huu ili atambue wewe ni nani kwake
 
Kwahiyo ulioa huku ukijua kua wewe huenda ni muathirika?! Mbaya sana!

Kama ungekua muathirika ina maana ungemuambukiza mpaka huyo mtoto ambae angezaliwa?!

Mkuu una roho ya hatari sana na huruma yako iko mbali sana,wewe ni mbinafsi,tubu kwa mola wako na ubadilike.
 
Nilishatubu mkuu,ndo maana nimetoa ushuhuda ili na wengine wenye tabia kama zangu watubu na wapime ili wawe huru,mke wangu nilishamsimulia kila kitu
 
2 Reactions
Reply
Back
Top Bottom