Kisa kingine .....
Kuna binti alikuja kikijini kwetu kutokea mkoa fulani basi ,kutokana na mambo ya shule sikuwa napata muda wa kuwajua wageni wapayaa palee kijijini na ukizingatia nko advance mbali na home so sikuwa napata muda mrefu ku interact kitaaaa.
Straight to the point ,mwaka 2019 yule dogo alianza nizoeaaa though mie sinaga story sana na stranger hasa wa kike, basi kuna huduma tulikuwa tunaifanya pale kijijini ikanifanya niwe na kutana nae frequently ,basi akaanza kunizoea japo sio kwa storiiiiiij saaaaana ni hizi za kawaida salam basi sana.
Akaja niomba urafiki fb ,nkaaa cheki kwanza dp akapita hii stage muhimu sana .... Nika accept , but jina alokuwa anatumia fb aio lake ni jina la ndugu yake. Tukawa tunapiga normal chats dogo akawa anazidi kuwa comfortable na mie ,na wala sikuwa na nia ya kutongozaa.
Hakutaka kunipa namba yake ,tulikuwa tukichat messenger tu akidai anaogopa akichat kwa normal messages or whatsapp , so nikawa mdau wa messenger namie.
Badae baada ya kufahamiana akaja nambia ye hana mtu pale kijijini na ni bikira, nkawa namshauri tu ajitunze na uongo uongo mwingi paleee ,ckuwa interested nayeee at that time.
Siku zimepita akaniangushia namba yake tukawa tunachat whatsapp na normal text siku anapigaa akiwa na dakika japo mkikutana face to face ni muoga sana kama akiwa kwa simu.
So jukumu langu lilikuwa ni kumfanya awe comfortable namie nkafanikiwa kwa kiasi.
To shorten a story,..........
Miaka miwili jmepita tangu tujuane vzuri,nlikuwa nkimhuliza issue za mahusiano anasema ye bado mtoto ,at 2019 she had 17 years ka sikosei, so anawait hadi akuee Kwanzaa. Ikumbuke hakuwa akisoma shule but ni shopkeeper tu
Ndani ya miaka miwili hio nlikuwa nachat nae story za mapenzi sana na stories zngne za life na mahusiano.
Siku za hivi karibuni ni kawa nafanya feasibility study



nkawa naingizia kama namtaka hivi dogo anakataaa ,tena anasema sitaki wewe bro wangu


.
Ukiuliza sababu utasikia....
1.Wasomi mnadharau sana
Nkamuuliza unasma unataka Mume toka kwa Bwana ,je akikupa mtu msomi ... Utaona hakana point ya ziada
Juzi 2021 ,04 30 ,tulikuwa tunachat kuna maswali nkawa namuuliza kuhusu kuolewa, AKANIJIBU namuomba Bwana atanipaa mme mwema.
Sasa kimbembe kikaanza hapooo .....
Nkaaaamua nimchane kwa mazuri,nkamuambia mambo kadhaaa mengine ntayaandika hapaa kama naweza kuyakumbuka.....
1.Ni kweli mme bora anatoka kwa Bwana,but u cannot sit down there ukataka huyo mume ajee ,ni lazime upigee magoti ufunge na kuomba Mungu ndo akusaidiee ila sio kukaaa chini huombi wala nini ukitegemeaa Mungu atakuleteaaa.
2. Nkamuambia achgue kama kweli anataka mume bora akubali gharama yake ,nkamtolea mfano wa Hannah aliekuwa na shauku yakupata mtoto alivojikaribisha karibu na Mungu kwa bidiiii... Vilevile nikambkumbusha life has no extra time, na umri kwa mdada ndo kila kitu so asikatae wanamme akisema kuwa mme bora anatoka kwa Bwana na asitake any measures ili Mungu ampatie huyo mume bora akajikuta umri umeenda akaja kuolewa na mtu ambae hakutegemeaa ,ikiwa wale walokuwa wanamtaka kwa kipindi hicho washaoa na watoto tayari.
3.Nkamkumbusha kumuuliza hao wanaomuambia kuwa asubiri mme kutoka kwa Bwana kama wao walifanyaaa hivyooo na kulishana upepo tuuu.
Baada ya hizo sms kikatawala kimyaa ambacho sio cha kawaida kwa siku kama mojaaa.
Sasa siku 2 zimepita nafikir 01 05 2021 kanitafuta tumechat tena ,kuna maswali simple nikawa namuuliza akawa short answer maswali ya explanation .....nkaona sio mbayaa nkamtell vipi mbona maswali yangu majibu ndo kama hivoo na mengine hujibu .... Akanambiaa kuwa magumu ,nkamuuliza lipi gumu ,,hajibuuu.... Mara paaaaap akapoteaaa hewani with no any alert.
Hapo ndo akawa ameharibu kwa kuwa sio mara yake ya kwanza kupoteaa hewan akiona kaulizwa maswali afu kesho anaqeza akaja na excuse au asije nayo ,akja nayo utasikiaa nlipitiwa na usingizi....namie nakubali coz nataka life liendele tu.
Sasa jana kanitafuta.... Sijajibu sms yake yeyote, leo kapiga mara kadhaaa sinapokeaa.
Lengo la kutopokea ni kutaka ajue life goes on even with or without her.
MAMBO MACHACHE NLOJIFJNZA KWA HUU URAFIKI WETU.
1.Anakutafuta akiwa yuko bored, ili apate wa kumliwazaa.
2.Anakutafuta akiwa amebakiwa na dakika nyi gi let say za week na znaenda kuisha so hana wa kuongea nae au wameongea then no new anymore. Hili nimelijua akiwa ananambia mwenyewe kuwa amebakiwa na dakika zinae da isha sio muda.
3.Anakjtafuta akiwa na shida,anaomba vocha though ni mara chache chache.
4.Hana jambo hana la kuchangia ,akikutafuta anataka wewe ndo umpe stories as if she is not living in this world with full of stories to tell,
So baada ya kuona hivo,nimeamua tu nikae pembeni coz sina la kupotezaa kama stories mie ndohuwa teller na creator so nothing to loose.
MY TAKE TO MEN.
Hawa dada zetu kuna muda wako nasi kwa ajili ya interest fulani iwe ni kuwaliwaza wakiwa wamegombana na wapenzi wao, wanashida za kifedha ,so dont sacrifice much of your time to them.
Wape muda ukiwa nawe huna la kufanya ,usiache kusukuma slides eti uchat nae sijui umtembelee kwake.
Mapendo daima, daima mapendo. Tupendane.