Nimeizoom vizuri hiyo ni kama ya mbalizi, hiyo ya Nanenane kuelekea uyole yenyewe haina hayo matangazo ya cocacola.
Inamaandishi tu ya karibu Mbeya na kwakheri na karibu tena.
That photo was taken around 2007, ni hiyo njia ya kutokea Uyole kuelekea Sae/Ilomba/Mwanjelwa huko...
Kule Mbalizi by the way hakuna msitu wa miti hivyo bali msitu wa nyumba za watu, plus mandhari yake haina mamiti miti pembeni na lami yake ni mbaya mbaya yenye kuchagizwa na kimwinuko (sio tambarare)