Candy kisses
JF-Expert Member
- Jun 4, 2011
- 297
- 211
- Thread starter
-
- #61
Maneno mengi bt still wasema hujui kuongea. Usikute naye anakereka na tabia zako za kujidai mkimya ilhali nyuma ya keyboard waongea kama chiriku.
King'asti your group ni zuri balaa na mshukuru mungu kuwapata hao.
Ni wazi mwenzetu na mwenzie yawezekana hawaendani, slip ni confidential information at least uombe ama kuuliza ehe shost hv mshahara wako ni kiasi gani au je naweza ona ur slip? But kuchukua kama yako, cdhan km alifanya vyema japo nae alipaswa mweleza on the spot.
Sikupingi mpenzi ila hata mie natamani ningepata mashosti km wako ila ni wachache na je wanapikana lini au wapi?
You seem like a hater mkeyamasai from you first comment nimekusoma umekaa kishari sana ....FYI I would never date a guy just kumridhisha rafiki yangu na hata nikidate siwezi tuma kila pic kwa rafiki yangu bt pia sina wivu hata kidogo,you don't know me a bit so dont judge me!!!!!
Na sio lazima kila friendship i work some people dont just click....by the way mangapi yanaongelewa humu ndani???watu wanaleta hadi matatizo ya wake zao na waume zao mie kuleta la shost ndo useme mnafiki????? Mnafiki wewe hapo unaejifanya kuumizwa sana na matatizo ya watu wa online ambao hutakaa ukutane nae wakati unamatatizo yako binafsi!
Waelewa na wastaarabu wame comment wameondoka nakushangaa umeniganda kama Luba kama vipi kesha na mimi...hakikisha simu yako inachaji ya kutosha tu.
nimeshindwa kumaliza kusoma,,,,,,,, ila wanawake mna mambo ya ajabu ajabu sana!
sishangai unaposema huna rafiki wa kweli............
hata wanaume wenye tabia hizi wapo sana, mie nikikaaga na wanaume kwenye stories huwa nawasikia wakisemana vitu vya kijinga sana mara oh sijui fulani gari sio lake. Yani full ujinga
tofauti ni kwamba wanawake unasemaga yaliyo moyoni mwetu publically
labda vijana wa sekondarihata wanaume wenye tabia hizi wapo sana, mie nikikaaga na wanaume kwenye stories huwa nawasikia wakisemana vitu vya kijinga sana mara oh sijui fulani gari sio lake. Yani full ujinga
tofauti ni kwamba wanawake unasemaga yaliyo moyoni mwetu publically
Hahahaa Nimeipenda
Habari wanajamvi....nimekaa nikifikiri nikaona niwashirikishe na nyie.
Tangu nakua nakupata ufahamu sikumbuki kama nshawahi kua na best friend na imekua hivyo hadi ukubwani sasa japo nina marafiki ambao interests zinatofautiana kutoka mmoja hadi mwingine....kwa kifupi sina shosti wa changu chake chake changu!!!
Sasa tangu nimeanza kazi nimezoeana na watu ila kuna mdada naona ye yupo ki shosti ushindani zaidi!Wiki hii nikienda saloon nikishonea weaving naye yumo,tukitoka job she'z behind my back si mnajua ile ya wadada kutaka kusindikizana na kiukweli so kwamba mi namuomba ila fine nakua tu polite.Juzi juzi kaja ofcn kwangu kakuta salary slip kaanza kusoma(sikupenda bt I was jus polite nikamuacha) after all I'm so ahead of her.
I swear after 2 days naona kadraft barua ya kuomba apandishwe mshahara nilishangaaa kiukweli she has a diploma na amemaliza degree bt hana cheti bado sasa kaandika kuomba mshahara wa degree(mind you me nina zaidi ya degree) nilishindwa hata kumshauri kwamba alitakiwa aonyeshe vyeti n blah blah coz angeona nataka kumzibia.
So again this dear shosti of mine anadate na anajua my rltnshp status kua I'm currently single sasa basi akitoka out na shemeji anatuma picha watsap hadi nachoka(honestly what is she trying to prove coz sio kwamba siwezi date ila ukitendwa lazima ujipange ),akipika watsapp,akinunua nguo or kitu kipya watsap...nshangaaga bt thn its her character sina la kufanya!
Nshwahi kumkaribisha kwangu nimepanga nyumba nzima bt nashare na dada mwingne on the other hand my friend anachumba kimoja siku amekuja hapa alikua anapiga tu picha picha picha(kip in mind mi ni polite or rather mvivu wa kuongea so I let her be). Hayo ni kwa ufupi tu sasa najaribu tu kuwaza wale wenye mashosti wa kufa na kuzikana sijui mnawezaje,I mean mi hapa nshachoka yani coz najiona I'm good on my own i love minding my own bussy life;na sio kwamba sina marafiki wapo bt sio wakugandana hivi coz najua smtymz ukiwa na rafiki wa kugandana nae kuna vikwazo pia!!!!
Ye ni muongeaji sana mi sio kwa vifupi I'mpolite kuliko yeye.Nisaidieni wenye uzoefu na bestfriends/mashosti wa kushibana is she normal or am I abnormal (I'm crazy n talkative nikiwa na dada zangu n cousins bt kwa mtu baki naeza kaa nae muda sana hadi kumzoea)

Wanawake bana, mnapenda taarabu kweli..oo mimi ninaelimu zaidi yake..! nimepanga..! nyumba nzima..! yeye anaishi kwny gorofa..!so what?? tatizo umekosa mwenza, single then nyumba nzima???!.
Kama hakufai usiambatane naye kwn unalazimishwa?..fanya mambo yako bana..aagh!
labda vijana wa sekondari
House Wife, ndo maana mie naona urafiki wetu ni wa kiume. Mi nikikuona unapekua slip yangu kama staki ujue ntakuwasha kibao cha kishkaji mkononi nikuambie 'weeh acha uchawiii' na tuendelee kucheka. Lazma tukubaliane tunatoka familia tafauti, tumepitia makuzi tafauti na tuna mitizamo tafauti. Tena mtu mwinhine anaweza kuuliza unalipwa vizuri? Kama unataka utayaja salary, hutaki ukisema yah not so bad si kiutu uzima ushaelewa jamani?
Well, nikiri hawa ni very old friends. It seems ni kazi sana kuwa na new friends mnaoendana. Ila ukiishughulikia nafsi yako ikajua jinsi ya kukaa na watu mbona inakuwa easy tu. Unamjua flani ana wivu, unaweka mafanikio yako mbali. Unajua flani ni mchoyo, unaacha mkono wako mbali. Unajua flani mdaku, humuambia your dirty stories. Maisha very simple na matamu kwa siku chache hapa duniani