Acha hizo mkuu yaani bora ukae kimya anaweza kuja kuwa mwanao wa kiume,wengine sio maswala ya utandawazi ila ni maumbile,yaani mtu anazaliwa akiwa shoga,muombe Mungu tu akuepushie na hayo mambo,kuna vitu kama mapepo yanaweza kumtamani mwanao yakawa yanamuingilia ndotoni automatically atazoea na kujikuta ni shoga,kwa ushauri wangu ikiwezekana delete hiyo hoja yako maana itakuwa ni aibu mkuu.:heh:mimi sina swali coz sio shoga na sitarajii kama kuna ndugu yangu yeyote atakuja kuwa shoga
80% ya mashoga wanatokea kaskazini especially Arusha. Kwa ufupi, mwenye swali aulize.
MKUU NIDELETE KWANI NIMEMTUKANA MTU,mimi nimeeleza kile nilichokihisi ni sahihi kwangu,Acha hizo mkuu yaani bora ukae kimya anaweza kuja kuwa mwanao wa kiume,wengine sio maswala ya utandawazi ila ni maumbile,yaani mtu anazaliwa akiwa shoga,muombe Mungu tu akuepushie na hayo mambo,kuna vitu kama mapepo yanaweza kumtamani mwanao yakawa yanamuingilia ndotoni automatically atazoea na kujikuta ni shoga,kwa ushauri wangu ikiwezekana delete hiyo hoja yako maana itakuwa ni aibu mkuu.:heh:
nimefungua huo mtandao hapo juu nimeogopa zikuweza kuamini kama tumeweza kuendelea kiasi hiki!
mabaya sana sikutegemea kabisa kukuta upumbavu huu.
kinachotisha zaidi kuna vijana wenye umri mdogo ambao hawajui hata wanafanya nini wako huku
Kwa kweli wacha maghorofa yaanguke yatupunguze Tunahitaji kuadhibiwa zaidi ya hapa tulipo
MUNGU tusamehe na tuokoe watu watu wako
acha uduanzi, hii madata ina uhakika gani mjomba au unabonga tu ...... hiyo reserch yake ya kipimbi tu, yani 80% ????? hapana aisee, sio huku kwetu kwa mamoraniDuh, kumbe mashoga wengi wanatokea kulekule kwa akina "aisee chaliii yangu", halafu wanajifanya wagumu kumbe hawana lolote zaidi ya kupumuliwa kwa nyuma!!!
mwanzilishi kivipi?Haya niulizen mm coz ni mmoja wao na mwanzilishi wa TGN...