Ushoga: huyu ndugu simuelewi!

Ushoga: huyu ndugu simuelewi!

Jumong S

JF-Expert Member
Joined
Jul 3, 2013
Posts
7,450
Reaction score
10,807
Jamani hili ni janga. Kumbe mashoga wanajitangaza? Sasa hivi Channel 10 kuna shoga anahojiwa na anadai hata viongozi wanamnunua. Pia sauti ni ya kike kabisa na anadai anatoka mkoa wa Pwani. Jamani hivi tatizo ni nini mtu kuwa shoga? Pia kuna mfanyakazi mmoja wa kampuni fulani ya mbolea ni shoga live as kamtokea rafiki yangu anataka afanyiwe mambo. Hii ni laana jamani,

Ushauri jamani nani anawanunua hawa? Je, tufanyeje kuondokana na aibu hii?
AKIWA NI NDUGU YAKO UTAFANYAJE?

Sent from my BlackBerry 9220 using JamiiForums
 
we inakusumbua nini??? acha wagawe tigo
 
hivi jamii ya pwani kwanini inasumbuliwasana na kadhia hii ya USHOGA
 
Jamani hili ni janga. Kumbe mashoga wanajitangaza? Sasa hivi Channel 10 kuna shoga anahojiwa na anadai hata viongozi wanamnunua. Pia sauti ni ya kike kabisa na anadai anatoka mkoa wa Pwani. Jamani hivi tatizo ni nini mtu kuwa shoga? Pia kuna mfanyakazi mmoja wa kampuni fulani ya mbolea ni shoga live as kamtokea rafiki yangu anataka afanyiwe mambo. Hii ni laana jamani,

Ushauri jamani nani anawanunua hawa? Je, tufanyeje kuondokana na aibu hii?
AKIWA NI NDUGU YAKO UTAFANYAJE?

Sent from my BlackBerry 9220 using JamiiForums
Hata mimi nimetoka kumsikilza sasaivi,kavaa gauni ya chui chui,anahojiwa na Hoyce Temu,
Amejieleza vizuri sana chanzo,ameharibiwa na mwarabu mmoja na jamaa huyo mwarabu alimwambia asiseme,bt alishazoea, Pia Kuna Mbunge mmoja anawasaga wenzake sana,ni mwanamke,akikuona kwenye face book kama ni mdada tu atakutafuta weee na atakutongoza....haya mambo Mungu atusaidie jamani.....
 
We tuchangie ki utani utani tu,siku itakapomkuta mwanao au nduguyo ndo utajitambua. Tusaidiane tu namna ya ku do away with this devilish!

Sent from my BlackBerry 9220 using JamiiForums
 
....
AKIWA NI NDUGU YAKO UTAFANYAJE?

Sent from my BlackBerry 9220 using JamiiForums
mtafutie mwanamke wa tanga. wao wanajua sana mapenzi so wanaweza kumpagawisha 6x6 na kumfanya asahau wanaume wenzie.
 
ukiwa wafuatilia mambo yasiokuhusu na umbea mwingi lazima utageuzwa nyuma
so NO UMBEA NO USHOGA
 
Jamani hili ni janga. Kumbe mashoga wanajitangaza? Sasa hivi Channel 10 kuna shoga anahojiwa na anadai hata viongozi wanamnunua. Pia sauti ni ya kike kabisa na anadai anatoka mkoa wa Pwani. Jamani hivi tatizo ni nini mtu kuwa shoga? Pia kuna mfanyakazi mmoja wa kampuni fulani ya mbolea ni shoga live as kamtokea rafiki yangu anataka afanyiwe mambo. Hii ni laana jamani,

Ushauri jamani nani anawanunua hawa? Je, tufanyeje kuondokana na aibu hii?
AKIWA NI NDUGU YAKO UTAFANYAJE?

Sent from my BlackBerry 9220 using JamiiForums

yalikuwepo toka zamani enzi za mababu na mababu kwa hiyo huna budi kuyaacha kama yalivyo..
 
dunia hii imekwisha, kipindi cha sodoma na gomora ulawiti ulikuwepo according to the Bible, lakini hakuna hata serikali moja dunia nzima ambayo ilihalalisha na kuweka kwenye sheria zake. lakini kwa sasaivi, kuna serikali nyingi tu ambazo zimehalalisha ushoga. that means, maovu ambayo yanatendekea sasaivi ni makubwa na yanayomkera Mungu kuliko hata maovu yale yaliyotendeka kipindi cha sodoma na gomora hata akakasirika akaichoma miji ile kwa moto. hii ina maan akwamba, ghadhabu ya Mungu juu ya kizazi hiki cha sasa iko juu sana na amepanga siku atakayokuja kuwahukumu waliokufa na wale ambao wako hai kwa sasa. ....siku ambayo watu watasaga meno na kuona bora wasingelizaliwa. shetani amefumba macho wanadamu kiasi kwamba utakuta mtu mzima na akili zake anasapoti uchafu huu waziwazi hasa katika mataifa ya nje. Mungu atusaidie. kwa hapa Tanzania, soma kitabu hiki hapa chini utaona kuwa ushoga ni kosa kubwa sana la jinai linaloweza kumweka mtu lupango maisha au kifungo kisichopungua miaka 30. hii ni opportunity ambayo Mungu ametupatia tulio hai ili tumrudie, tutubu na kuacha njia zetu mbaya, hakuna malaika hapa ndio maana unatakiwa ujitakase ili siku ya hukumu uwe sawa, kwasababu hata kama wewe si shoga, utakuwa kuwekwa fungu pamoja na mashoga na kuchomwa moto. tubuni kwamaana ufalme wa Mungu umekaribia.
View attachment 101254
View attachment 101254
View attachment 101255View attachment 101255View attachment 101255
 
mi nimegonga sana ila nimeacha baada ya kukutana na shoga mmoja baada ya kunyonya dudu akataka nim ---- bila kinga akawa ananga'ng'aniza nikaone huu ukimwi
 
Duuuuuuh!
Hebu tuelimoshe uliachaje? Manake hili janha lisikie kwa wenzio, likiingia nyimbani kwako utaomba poo!
mi nimegonga sana ila nimeacha baada ya kukutana na shoga mmoja baada ya kunyonya dudu akataka nim ---- bila kinga akawa ananga'ng'aniza nikaone huu ukimwi
 
Hawa jamaa kwa uelewa wangu ni kwamba are socially created and biologically created in which way??? u may ask ni hivi duniani no one is born a gay but due to the social environment ndio tunapata mashostito wa kiume yaani jamii yenyewe ndio inazalisha mashoga mf kupitia media,muingiliano na watu mbalimbali nk pia kuna biologically hii unakuta mtu kazaliwa mwanaume kabisa ila kila akikaa anasikia kabisa kiu ya kugeuzwa na sio kwamba anapenda bali unakuta ana hormone nyingi za kike hii ikitokea kwa wanawake ndo unakutana na lesbians kwa hiyo wakati mnaponda its good also to know the other side of the coin u heard am outttttttt
 
Kuyajadili sana haya mambo ni kama tunayapa umaarufu na kuyafanya yazoeleke masikioni mwa watu na hivyo kupunguza ubaya wa tatizo. Hatuwezi kuyaacha kujadili kwa muda?
Samahani, ni mtazamo tu!
 
i am itching to ask you a question, but heey it aint my call.:drama:
ni kuhusu avatar yako pia, and this statement ila naogopa :boxing:
ila nimeona hizi issues zikumuua ndugu mmoja, baada ya kugundua mwanae ni gay. I am praying for all my generations to come aisee. ngumu mno!
i wouldn't wish it on my worst enemy
 
sasa kama alikuwa anajitangaza mbona walificha sura yake???? halafu tayari ni mwathirika wa ukimwi. dunia inaelekea mwisho
 
Hawa watu wabahitaji sana huruma na maombi, wengi wao wameonewa tu, wachache sana wamejitakia wenyewe,Wengi wao wametendwa na ndugu na jamaa zao wa karibu wakiwa bado watoto wadogo, kwa hiyo wakafikia mahali wameshaharibiwa kabisa, lakini wengine wamefundishwa mashuleni na kujikuta tayari wameshaingia kwenye tabia hii. Hawa wanahitaji sana maombi maana kuacha inahitaji mungu awabadilishe.
 
appoh. Naomba umrudie Yesu uongozwe sala ya toba, maana uliko kuwa ulikuwa sehemu hatari sana. Mungu akupe ujasiri wa kufanya toba.
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom