Ni kweli huwezi kujua kila kitu lakini kama unamuamini Mungu basi huweza kukuepusha na majanga mengi hadi unabaki kushangaa na kumshukuru na kumuomba aendelee kukunusuru zaidi. Binadamu wengine wana ile kitu inaitwa sixth sense ambayo iko very sharp. Mara nyingi sana wanakuwa very accurate kwa kumdhania huyu mtu si mtu mwema hivyo inabidi kuwa extra careful au kujiepusha naye kabisa, lakini kama ulivyosema si rahisi kugundua kila kitu. Sasa kama mtu umeshindwa kumuamini kwa mienendo yake mbali mbali haihusu kitu kuendelea kupoteza muda wako bali ni kusepa haraka sana.